ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #81
Baaasiiiiiiiii Platinum jana ilikua weekendUmalaya ni kitu cha kufikirika. Hakuna binadamu malaya, ni neno/dhana tuu imewekwa kwa ajili ya kumtenga binadamu na nature yake ya kujamiiana kama kiumbe hai. Umalaya haupimiki, wala hauna kikomo na wala haupo.
Ndani ya mada kumbe umalaya ni jambo la kusadikika🙄