ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #121
☺️🤣Hii hapa 😊
☺️🤣Hii hapa 😊
Sawa nibless namimi basiSawa sawa hii nzuri
Ni ku bless niniSawa nibless namimi basi
Wewe dada wewee wewee unasema 😳😳
Ile kitu iliyomtoa Adam mbinguniNi ku bless nini
HahahahaaaaEeeeh mimi nani nikupinge mzee na umeona jua kabla yangu
Mimi nasema igweeeeee🔥🔥🤣🤣🤣
Unanikumbusha binti yangu wakati anakua (kavunja ungo) ,kaanza kupata siku zake za Mwezi, akawa ananionea aibu. Nikamkalisha yeye na mama yake akiwapo nikamdadavulia A to Z kwa kumueleza .....binti yangu sasa umekua, mwili wako umebadilika sio wa utotoni kama zamani, utaona siku zako, utahitaji taulo za kike (mama yako atakufunza ) namna ya kuzitumia na kuziteketeza.Acha basi mie binti yako naona aibu uwiiiiiii🫣
Asije akakuongopea mtu yyt, mwanaume asiyemkaza kisawasawa mkewe anamuweka matatani hasa ikitokea akampata mwanaume wa nje akamfanya vilivyo!!!! ndoa inaishia hapo hapo.Aisee sijui unifunde kama binti yako
Nikimpata nimshike ☺️
🔥🔥🔥Nawasikiliza tu hapa mnapimana nn sijui mara hutakiwi kuomba hela ukae kwenye mahusiano miaka bila ndoa unatafuta mume sahihi.
We siku Ukihisi unahitaji ndoa we Ingia kwenye mahusiano na moto mpaka ndoa ifungwe.
Ndoa huku ndani ni uvumilivu tu sasa unavumilia hawara nn???
Kubadili wanaume si umalaya!!!!! Kwanza ndio unapata pia kuujua na mwili wako vizuri na ukishaujua hakuna mwanaume atakusumbua wala kukuchafua ovyo.
Hii comment yangu pia ni kutokana na mada na baadhi ya comment nilizosoma
Habari za mchana wadau mimi kwa upande wangu kuwa na mahusiano mengi wengi tunaingia kwenye hali hiyo kwasababu tunapenda kuingia katika mahusiano na kufanya mapenzi haraka paspo kupeana muda mrefu wa kujuana tabia mara baada ya kufanya tendo matamanio huishi na kuanza kuzoeana ...Kuna watu wanaohesabu hii kama umalaya
Kuna wengine wanaamini ni sehemu ya kujaribu mpaka umpate yule mtu ambaye mnaendana
Mimi binafsi naona kuwa na mahusiano mapya mara kwa mara sio tatizo sana
Nadhani hii hutokea pale unapokutana na mtu, mkajenga ukaribu, halafu ukagundua kwamba kumbe hamwendani
Mara chache sana utagundua hilo mwanzoni
Mara nyingi linajitokeza baada ya mazungumzo ya mara kwa mara na kuanza kujuana kwa undani
Ukikaa makini utaanza kugundua akili ya mtu kupitia maongezi yake
Namna anavyoongea akiwa na hasira, akiwa na huzuni, akiwa na furaha au akiwa kwenye changamoto mbalimbali
Hapo ndipo unaanza kuona huyu mtu ni nani hasa
Kosa ambalo naona linawagharimu wengi ni kufanya sex mapema
Sex ya mapema ikishafanyika halafu baadaye ukagundua kuwa hamwendani kwenye mambo mengi, ndipo watu huanza kujilaumu
Wengine hujihisi kama walijitoa kwa mtu ambaye hakuwastahili, wakaanza kuona kama waliji-expose kwa mtu ambaye asingepaswa kuwafikia
Lakini kama baadhi yetu tungekuwa tunapeana muda wa kujuana kwanza, hata kama si mrefu sana, naamini majuto yangepungua
Pia kila mmoja angeweza kulinda heshima yake na kufanya maamuzi akiwa na uhakika zaidi
Lakini sasa kujuana leo kesho jigijigi 😎
Kwa upande wangu, sioni tatizo kuwa na mahusiano mapya ikiwa lengo ni kumpata mtu ambaye mnaona mnaweza kwenda naye sawa
Maana unaweza kumdate mtu, halafu kadiri muda unavyokwenda unaanza kushangazwa na matendo yake, na namna anavyofikiri Mwishowe unajikuta unauliza, Hivi huyu kweli kwa akili hizo hakuna kitu hapa sioni kama kuna tatizo ukiachana nae kuliko kupandisha maji mlima
Swali la mjadala:👇
Wewe unaonaje? Ni vibaya kuanzisha mahusiano mapya mara kwa mara?
Na kama ni vibaya kwa nini?
Au unagubu mwanetu? 😎
ShesRise_1 ✋️
Haya mambo sio mchezo kilicho mkuta daudi hadi kushindwa kujizuia kisituvunje moyo.... tunatakiwa tuwe kama yusuph!hongera unaweza kuwa kanisani wakasema ni kipindi cha kutoa ushuhuda ikasimama utadhan na yenyewe inaenda kutoa ushuhuda inabidi tumuombe sana M-ngu atusaidie
Hakuna kuomba pesa before marriageHakuna ubaya mkuu....
Ila kikubwa hakuna kufanya sex before marriage!
Yeah yan nyie 😊Aisee
SawaKuna kitu watu wengi wanakichanganya hapa. Kuwa na mahusiano mapya mara kwa mara hakumaanishi moja kwa moja ni umalaya, lakini pia hakumaanishi moja kwa moja kuwa unafanya jambo sahihi. Kila kitu kinategemea sababu na matokeo yake.
Ohoo okayKama kila baada ya muda fulani ni lazima uwe na mahusiano mapya kwa kisingizio cha kusema haujampata anayekufaa au anayeendana na wewe, itafika mahali swali litabadilika, kwamba ni kweli dunia imejaa watu wasiokufaa, au umejenga kiwango cha kutoridhika ambacho hakuna binadamu anayeweza kukifikia?
Kuna matatizo hayatibiki zaidi ya kukaribisha msongo wa mawazoUnajua tatizo walilo nalo wengi ni kuwa na matarajio yasiyo halisi au tabia ya kukimbia changamoto badala ya kuzitatua.
Sina experience sana hapa kwakweliExperience niliyo nayo mimi ni kwamba watu wengine huwa hawaingii kwenye mahusiano kwa ajili ya kujengana, wengi huwa wanaingia kwa ajili ya kukagua makosa ya mwenzake, matokeo yake, kosa dogo tu linakuwa sababu ya mtu kwenda kutafuta mahusiano mengine, matokeo yake huyo mtu anajikuta amekuwa na orodha ndefu sana ya Maex
Kukumbatia watu ndio kunabadili matokeo ?Huwezi kuwa unabadilisha watu kila baada ya muda fulani halafu ukategemea matokeo yatabadilika wakati mtazamo na tabia zako ni zilezile.
Kutodumu na mtu msie na mitazamo sawa sioni tatizo lolote kabisaKutafuta mtu sahihi ni jambo la kawaida lakini kutokudumu na mtu yeyote kwa kisingizio cha kutokuendana hilo ni tatizo, na huenda hujajifunza maana halisi ya commitment, patience na compromise.
Kuvumilia hawala hii nayo inafikirishaNawasikiliza tu hapa mnapimana nn sijui mara hutakiwi kuomba hela ukae kwenye mahusiano miaka bila ndoa unatafuta mume sahihi.
We siku Ukihisi unahitaji ndoa we Ingia kwenye mahusiano na moto mpaka ndoa ifungwe.
Ndoa huku ndani ni uvumilivu tu sasa unavumilia hawara nn???
Utapigwa mawe dada 🤣🤣Kubadili wanaume si umalaya!!!!! Kwanza ndio unapata pia kuujua na mwili wako vizuri na ukishaujua hakuna mwanaume atakusumbua wala kukuchafua ovyo.
Sawa mahiHii comment yangu pia ni kutokana na mada na baadhi ya comment nilizosoma
Ni umalaya TuKuna watu wanaohesabu hii kama umalaya
Kuna wengine wanaamini ni sehemu ya kujaribu mpaka umpate yule mtu ambaye mnaendana
Mimi binafsi naona kuwa na mahusiano mapya mara kwa mara sio tatizo sana
Nadhani hii hutokea pale unapokutana na mtu, mkajenga ukaribu, halafu ukagundua kwamba kumbe hamwendani
Mara chache sana utagundua hilo mwanzoni
Mara nyingi linajitokeza baada ya mazungumzo ya mara kwa mara na kuanza kujuana kwa undani
Ukikaa makini utaanza kugundua akili ya mtu kupitia maongezi yake
Namna anavyoongea akiwa na hasira, akiwa na huzuni, akiwa na furaha au akiwa kwenye changamoto mbalimbali
Hapo ndipo unaanza kuona huyu mtu ni nani hasa
Kosa ambalo naona linawagharimu wengi ni kufanya sex mapema
Sex ya mapema ikishafanyika halafu baadaye ukagundua kuwa hamwendani kwenye mambo mengi, ndipo watu huanza kujilaumu
Wengine hujihisi kama walijitoa kwa mtu ambaye hakuwastahili, wakaanza kuona kama waliji-expose kwa mtu ambaye asingepaswa kuwafikia
Lakini kama baadhi yetu tungekuwa tunapeana muda wa kujuana kwanza, hata kama si mrefu sana, naamini majuto yangepungua
Pia kila mmoja angeweza kulinda heshima yake na kufanya maamuzi akiwa na uhakika zaidi
Lakini sasa kujuana leo kesho jigijigi 😎
Kwa upande wangu, sioni tatizo kuwa na mahusiano mapya ikiwa lengo ni kumpata mtu ambaye mnaona mnaweza kwenda naye sawa
Maana unaweza kumdate mtu, halafu kadiri muda unavyokwenda unaanza kushangazwa na matendo yake, na namna anavyofikiri Mwishowe unajikuta unauliza, Hivi huyu kweli kwa akili hizo hakuna kitu hapa sioni kama kuna tatizo ukiachana nae kuliko kupandisha maji mlima
Swali la mjadala:👇
Wewe unaonaje? Ni vibaya kuanzisha mahusiano mapya mara kwa mara?
Na kama ni vibaya kwa nini?
Au unagubu mwanetu? 😎
ShesRise_1 ✋️
PoleYeah yan nyie 😊
Nipe nafasi niongeze maaujuzi kidogo... 🌞Uende wapi weye???? Baki hapaa tuzeeshane usintaniee😊😊😊
Kwahiyo hapa tatizo ni nini maana hujasema hiyo sababuHabari za mchana wadau mimi kwa upande wangu kuwa na mahusiano mengi wengi tunaingia kwenye hali hiyo kwasababu tunapenda kuingia katika mahusiano na kufanya mapenzi haraka paspo kupeana muda mrefu wa kujuana tabia mara baada ya kufanya tendo matamanio huishi na kuanza kuzoeana ...
Kumbe kuna mdau huko juu kasema umalaya eti ni nadharia tuNi umalaya Tu
Hii ndio kusema ukweli na uhakikaHahahahaaaa
Unanikumbusha binti yangu wakati anakua (kavunja ungo) ,kaanza kupata siku zake za Mwezi, akawa ananionea aibu. Nikamkalisha yeye na mama yake akiwapo nikamdadavulia A to Z kwa kumueleza .....binti yangu sasa umekua, mwili wako umebadilika sio wa utotoni kama zamani, utaona siku zako, utahitaji taulo za kike (mama yako atakufunza ) namna ya kuzitumia na kuziteketeza.
Nikamueleza mengi, kubwa kuliko nilimuasa sana kuhusu kupata mimba bila mipango......alikuwa akiona aibu nampa makavu hadi nilipotoka akawa anaongea na mama yake anamuambia mmmhhhh!...Yan baba yangu anaongea mambo yote haoni aibu. Mama yake akamuambia mshukuru anakueleza hayo yote kwaajili yako
Aisee mtu apewe okayAsije akakuongopea mtu yyt, mwanaume asiyemkaza kisawasawa mkewe anamuweka matatani hasa ikitokea akampata mwanaume wa nje akamfanya vilivyo!!!! ndoa inaishia hapo hapo.
Asante sana mzee japo nasoma huku nacheka 🤣🤣🤣🥹Ukimpata mwanaume ambaye kwenye vigezo vyako unaona mnaweza kuishi pamoja olewa naye. Lakini nakupa siri.......kamwe katu asilani hakikisha unamkamatia vilivyo kwa kumpa " chiu " maana hapo ndipo Kuna Siri kubwa sana iliyofichika ya kutulegeza sisi wanaume. Mwanaume hata awe mbabe namna gani lakini mbele ya "chiu" wa mwanamke lazima atulie tu