ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #101
Uzuri sipo kuomba mlango ufunguliwe 😂hii nimeipendaaa sana
Uzuri sipo kuomba mlango ufunguliwe 😂hii nimeipendaaa sana
Mimi Huwa namgundua mtu kama hanifai kuanzia anavoongea na matendo yake😛.Kuna watu wanaohesabu hii kama umalaya
Kuna wengine wanaamini ni sehemu ya kujaribu mpaka umpate yule mtu ambaye mnaendana
Mimi binafsi naona kuwa na mahusiano mapya mara kwa mara sio tatizo sana
Nadhani hii hutokea pale unapokutana na mtu, mkajenga ukaribu, halafu ukagundua kwamba kumbe hamwendani
Mara chache sana utagundua hilo mwanzoni
Mara nyingi linajitokeza baada ya mazungumzo ya mara kwa mara na kuanza kujuana kwa undani
Ukikaa makini utaanza kugundua akili ya mtu kupitia maongezi yake
Namna anavyoongea akiwa na hasira, akiwa na huzuni, akiwa na furaha au akiwa kwenye changamoto mbalimbali
Hapo ndipo unaanza kuona huyu mtu ni nani hasa
Kosa ambalo naona linawagharimu wengi ni kufanya sex mapema
Sex ya mapema ikishafanyika halafu baadaye ukagundua kuwa hamwendani kwenye mambo mengi, ndipo watu huanza kujilaumu
Wengine hujihisi kama walijitoa kwa mtu ambaye hakuwastahili, wakaanza kuona kama waliji-expose kwa mtu ambaye asingepaswa kuwafikia
Lakini kama baadhi yetu tungekuwa tunapeana muda wa kujuana kwanza, hata kama si mrefu sana, naamini majuto yangepungua
Pia kila mmoja angeweza kulinda heshima yake na kufanya maamuzi akiwa na uhakika zaidi
Lakini sasa kujuana leo kesho jigijigi 😎
Kwa upande wangu, sioni tatizo kuwa na mahusiano mapya ikiwa lengo ni kumpata mtu ambaye mnaona mnaweza kwenda naye sawa
Maana unaweza kumdate mtu, halafu kadiri muda unavyokwenda unaanza kushangazwa na matendo yake, na namna anavyofikiri Mwishowe unajikuta unauliza, Hivi huyu kweli kwa akili hizo hakuna kitu hapa sioni kama kuna tatizo ukiachana nae kuliko kupandisha maji mlima
Swali la mjadala:👇
Wewe unaonaje? Ni vibaya kuanzisha mahusiano mapya mara kwa mara?
Na kama ni vibaya kwa nini?
Au unagubu mwanetu? 😎
ShesRise_1 ✋️
Ndivyo ilivyo binti yangu. Usikubali kuolewa na mwanaume ambaye ukiwa naye faragha anakugusagusa tu anakuparua parua , anakuonea huruma, anakutia shombo kisha anakuacha unabakia na nyegge zako, utaenda kucheat halafu ndoa itakushinda .Heh we mzee 😂😂🙌🙌
Nashindwa kuelewa 😂😂Kuhusu mada; dhana ya kusema huyu ni malaya, huu ni umalaya ni ya kusadikika. Ni dhana ya kumtenga binadamu na nature yake.
Jana usiku wangu ulikua mgumu nililala naweweseka mzuie Yamal huyo😂😂 so sad Messi kakosa kiatu kakosa kikombe Mbappe na Spain hatutowasahuKuhusu jana: Sio tuu weekend, jana ilikuwa ni historia ya kukumbuka kwa vizazi vingi vya wapenda boli. 😊
Unataka kuongea peke ako 🙄Mimi Huwa namgundua mtu kama hanifai kuanzia anavoongea na matendo yake😛.
Hutaki tabia za juma lokole jamana babe☺️Kuna Wanaume wanaongea Jamani hadi Kero.
Sifa ya mwanaume ni kuwa mtulivu na msikilizaji,kutoa ushauri panapotokea tatizo.
Akiwa anaongea kupitiliza nakimbia 😛
hiyo ya mshindi kuchukua cheti niliifanya mimi mwenyewe.Mango utaufungua muda ukifika hakunaga maombi.
Uzuri sipo kuomba mlango ufunguliwe 😂
hongera unaweza kuwa kanisani wakasema ni kipindi cha kutoa ushuhuda ikasimama utadhan na yenyewe inaenda kutoa ushuhuda inabidi tumuombe sana M-ngu atusaidieahahahahahaaaa yani kama ana makebo ndo balaa mkuu, kama ni mimi nakuwa busy tu kusoma zaburi 103 halafu na meditate!
AsanteSawa mkuu asante kwa maoni karibu tena
Sio kuongea peke yangu hapana.Unataka kuongea peke ako 🙄
Hutaki tabia za juma lokole jamana babe☺️
LiabilityVyote si nzuri kwao. Akifika 40 anakuwa hafai. Tena kama hana pesa ndo mbaya zaidi.
Eeeeh mimi nani nikupinge mzee na umeona jua kabla yanguNdivyo ilivyo binti yangu. Usikubali kuolewa na mwanaume ambaye ukiwa naye faragha anakugusagusa tu anakuparua parua , anakuonea huruma, anakutia shombo kisha anakuacha unabakia na nyegge zako, utaenda kucheat halafu ndoa itakushinda .
Acha basi mie binti yako naona aibu uwiiiiiii🫣Mume akukung'ute kisawasawa hadi ujiskilizie kwamba eeeeenhhhhh....hapa nimet***mbeka. Kiasi kwamba hata baada ya kumaliza , Kila ukikaa peke yako unarecall matukio ya vile alikuwa anakushughulikia unacheka Cheka mwenyewe.
Aisee sijui unifunde kama binti yakoNOTE; hii sio ya Kila siku, ni mara chache chache Kila baada ya muda fulani (shoo za msimu), ukiachilia mbali zile shoo za kawaida za mara kwa mara Kila mnapojisikia kustareheshana. Ujue silaha yenu kubwa sana nyie wanawake dhidi yetu wanaume ipo huko chini Kuna nguvu ya ajabu sana sema wengi wenu hamjui namna ya kuitumia
Exactly switooSio kuongea peke yangu hapana.
Ila mwanaume anapaswa kuwa mtulivu jamani.
Nashindwa kuelewa 😂😂
Wewe dada wewee wewee unasema 😳😳hiyo ya mshindi kuchukua cheti niliifanya mimi mwenyewe.
Dada alikuwa kwenye uchumba sugu nikaingia nikapita na bwana mpka ndoa akabaki anashangaa mpka kesho.
Nimepoa asante ila ile emoji hamna naona kama unanifokea😞Pole kwa kuweweseka; mpira ni burudani, mpira ni mchezo ajabu, ni mchezo wa kikatili pia.
Sawa PlatinumKuhusu kuelewa: Wewe elewa tuu, umalaya ni dhana tuu, kama utakatifu ni dhana tuu.
Sawa sawa hii nzuriKwa mwanamke ibanie mpaka uolewe kwa mwanaume tongoza kadri uwezavyo
Nimepoa asante ila ile emoji hamna naona kama unanifokea😞
😜Exactly switoo