Mahusiano Mapya ya Mara kwa Mara ni Umalaya au Safari ya Kumtafuta Mtu Sahihi?"

Ukiona haikutatizi jua utu wako ushabadilika

Namaanisha unamabadiliko ya ndani ambayo ni hatari sana

Itoshe kusema wewe ni nyani mng'ata kila Embe na sio shida zako

Ila binadamu tupo pembeni kushuhudia uharibifu wako
 
In my opinion, mahusiano ya mara kwa mara ni kupoteza muda labda kama mtu yupo foolish age. After all unakuwa unatafuta nini hasa cha kuendana na wewe?! Binadamu hatutofautiani sana, ukimpata mwenye mapungufu machache jifunze kuishi nae.

Ukiona wewe unakuwa na mahusiano mapya ya mara kwa mara, jichunguze. Huenda tatizo ni wewe au una udhaifu ambao una attract wenzio kukutumia na kukuacha.

BTW, hii mara kwa mara tunazungumzia walio date angalau mara ngapi?
 
Asante kwa maoni mkuu
 
Asante kwa maoni dear
BTW, hii mara kwa mara tunazungumzia walio date angalau mara ngapi?
Zaidi ya mara 2
 
Hivi kuna watu, I mean couple inayoundwa na watu wanaoendana au ni watu tu wanaamua kuwa matured enough kubebeana changamoto zao na kulisongesha mbele gurudumu la maisha.
Hatafutwi mtu mkamilifu hapana
Ila walau yule mnaendana kwa vingi
 
Hatafutwi mtu mkamilifu hapana
Ila walau yule mnaendana kwa vingi
Kuendana kwa vingi kukoje?
Kwa mfano mimi mke wangu ni muongeaji lakini mmi in real life si muongeaji.
Mke wangu anapenda western movies lakini mimi si mpenz wa movie
Mke wangu anapenda miziki ya Kidini wakati mimi napendelea mizki ya kidunia hususani ya kimarekani.
List ni ndefu ila ndio nipo naye miaka na miaka pamoja na hizo tofauti lukuki.
Kuendana unakoongelea ni kupi?
Off course kwenye some aspects tuna share some values. Kwa mfano huwa hatuweki kitu chochote cha kifamilia kwenye mitandao yoyote ya kijamii iwe picha au video.
 
Hapa naongelea characters
Hapo wewe umetaja zaid hobby
ukitoa hiyo ya kuongea sana

Off course kwenye some aspects tuna share some values. Kwa mfano huwa hatuweki kitu chochote cha kifamilia kwenye mitandao yoyote ya kijamii iwe picha au video.
Hii ndio maana hasa ya kuendana
Kua na mawazo na mitazamo sawa
Hasa kwenye vitu sensitive vinavyohusu familia nk.
 
Back
Top Bottom