Mahusiano na wake za watu yameniponza na kunirudisha nyuma

Dah hongera kwa uandishi mzuri simulizi halikuchosha pia Kuna somo kubwa sn la kujifunza
 
Asante kwa ku share nasi. Nimejifunza mengi kwa kweli.

Ubarikiwe.
 
tuheshimu sanaaaa wake zetu aiseee hasa kama mke wako ni mtu wa dini sanaaa binafsi mke wangu ni mtu wa maombi sanaaa tumebarikiwa watoto wawili ila zamani kidogo huko tumewahi pitia misukosuko kwenye ndoa ambayo chanzo chake ni mm coz nilikuwa na mchepuko ambao alikuja kufuma mpaka picha zake kwenye simu yangu hii nilisahau kufuta chats siku moja aiseee alilia sanaaa usiku ule na alikuwa mjamzito ilibidi nimbembeleze sanaaa na kuomba msamaha ila alinisamehe yakaisha na amani ikarejea ndani ya nyumba
 
Vipi huyo mchepuko na yeye alikuwa mke wa mtu?
 
Hapana huyu hakuwa mke wa mtu ila alikuwa mwanafunz wa chuo alikuwa kapanga mtaa wa pili kutoka mtaa ninaoishi.
Alikuwa michepuko wangu na Mimi ndo nililipia Kodi aiseeee... Maisha Ni duara..WANASEMA ulichokiona kwa mchepuko wangu na Mimi nakiona kwa mke wako ngoma droo...wake za watu huwa sitongozi aisee
 
 
Samaqhani naomba namba ya Sauda broo, pia kwa sasa nipo hapa kona ya Nairobi nitafute basi nije nikukope mafuta ya Alizeti hapo shamsi 😀
 
Wanawake ndiyo chanzo Cha matatizo ya dunia hii Toka enzi ya Adam ,Lilith na Hawa wengi wanajitongozesha sana na jamaa akikuchoka anataka akugeuze ukiendelea kuvileta hulipwi Tena,shenzy kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…