Mahusiano ya hivi kitaalamu yanaitwaje?

Muoe haraka hiyo mwanamke. Usione anafanya hayo ukajua anaigiza. Ni aina yake tu. Ni mmoja kati ya 100 ndio huyo. Hakuna mtego wowote hapo, vinginevyo asingekukaribisha kwa 100%.
Pia anajua maisha na biashara pia. Hasubiri kupewa,anajitafutia. Anajitambua. Wasiwasi wangu tu wewe ndio unaweza kumtoa kwenye reli mtoto wa watu. Kwako sasa muulize tu kwa uwazi hizo biashara kazipataje? Kuna uwezekano kazipata baada ya kugawana na mumewe walieachana. Acha kuzubaa panga maisha na huyo dogo. Anza kutengeneza mstari mmoja nae. Huyo ni mke dogo oa fasta.
 
Mmh miaka 28 ana mtoto yupo form one,.
Chazo Cha huo uchumi wake ni nin urithi au mgawo kutoka Kwa mmewake coz Kwa umri huo kuwa na gari, supermarket, office ya huduma za kifedha mmh kibongobongo kweli mPambanaji.
Umeshau nyumba na kiwanja kikubwa kinachoanza ujenzi.
 

Muhimu wewe unatakaje?

Kama umemuelewa, jadilineni kisha huo uhusiano wenu muupandishe cheo.

Usisahau. Maisha ni michezo wa makosa. Usiogope kukosea!
 
Mkuu, ume-digest maelezo yako vizuri sana. Acha niyafanyie kazi lakini kwa uangalifu mkubwa.

Pengine huyu mwanamke ni mwema tu, ila mashaka yangu ndio yanaweza kufanya nimpoteze.

Asante kwa ushauri mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wema bado wapo mkuu....ila kwa vile tushazoea mauzauza ndio maana unashangaa 😝
 
Muhimu wewe unatakaje?

Kama umemuelewa, jadilineni kisha huo uhusiano wenu muupandishe cheo.

Usisahau. Maisha ni michezo wa makosa. Usiogope kukosea!
Sio usiogope kukosea, jitahidi usikosee, Natdhani hii imekaa sawa
 
Amicus Curiae Ndugu umepata mke, acha kuhangaika, ishi nae fanyeni kazi, ila uwe unamuuliza mara kwa mara kuhusu mahusiano yake ya nyuma kwaajili ya usalama wako, pia kama ana sponsor akuambie ili usijeingia matatizoni
 
Amicus Curiae Ndugu umepata mke, acha kuhangaika, ishi nae fanyeni kazi, ila uwe unamuuliza mara kwa mara kuhusu mahusiano yake ya nyuma kwaajili ya usalama wako, pia kama ana sponsor akuambie ili usijeingia matatizoni
Umenitia moyo sana mkuu.

Ushauri wako nitauzingatia. Inawezekana ni mwanamke wa kuoa Mungu kaniletea ila shetani ananitia hofu ili nimpoteze niangukie kwa wanawake wasiojielewa.

Nashukuru sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahyo mpka hapo hujastuka mpaka tukushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…