Mahusiano ya kimapenzi kati ya kaka na dada wa tumbo moja

Mahusiano ya kimapenzi kati ya kaka na dada wa tumbo moja

Mungu shusha rehema zako haya mambo ni ya hovyo huwezi zaa licha tu ya kutamani kulala /kupata hisia na ndugu yako wa kike au kiume.Yaani ni laana kwenye familia na ukoo kwa ujumla.Japo tunayaona sio sawa kabisa.Nawaza na wale ndugu wa damu toka ni toke ambao hawajuani wazazi wamezaa huko hawatambulishwi inakuwaje? Dunia imekwisha aisee.Baba kulala na mwanae au mama napo janga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule mama aliandika ile sms kwa hisia sana kachanganikiwa mwanae wa kuzaa kawapa mimba dada zake 2 tena double na corona hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii hasa hasa inachangia kuwalea watoto kigeti kali sana watoto wanakosa ata faragha ati adi waoe au kiolewa, mtu unabarehe unamiaka 13 unakuja kuoa unamiaka 29 unafikiri iyo miaka yote 15 atapiga nyeto.. Tuwape watoto uhuru kwakwel. Watoto wa geti kali ndio maana uwa wazembe ata ktk ugunduzi au vipaji fulani uwa hawapo ni watoto wa uswahilin tu ndio konki wa vipaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi hii inachangia mkuu wanakula dona kila siku unafikiri hizo nguvu watazipeleka wap.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku niliko wazee wa huku wanawagonga mabinti zao wa kuwaza kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi kusikia kisa Kama hichi huko morogoro kulikua na kesi ya mfano wa hivyo


Kwamba mzee alianza kutembea na mtoto wake wa kike baada ya mke wake kufariki the rest I do not know


Kuhusu haya ya watu wa damu moja kuoana au kuzaa kwa kweli halijakaa sawa hata kisheria haliruhusiwi kwa kua Kuna siku nilisoma Hizo sheria za ndoa kipengele kimoja kinasema uhusiano huo usiwe wa ndugu wenye uhusiano wa damu


Lakini pia kwa watu ambao ni ndugu kuzaa Kuna uwezekano mkubwa wa watoto watakao zaliwa kuzaliwa na weakness nyingi katika miili yao sijui vizuri kuelezea kwenye hili maybe Hawa watu wa afya wanaweza kueleza vizuri hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo yalikuwepo ila ilikuwa ni siri kubwa sana na wazee walijua sana kutunza siri na waliweka mazingira ya kuweka vijana wao mbali na Dada zao hivyo walilijua hili.

Mimi babu Yangu alikuwa hapendi kabisa nikae jikoni au nyumbani na wanawake alipenda nifanye Kazi au nitembee ntarudi wakati Wa kula.

Lakini siku hizi watoto wakiume na Wa kike wamewekewa ukaribu mkubwa sana hasa familia zenye kauwezo hivyo hii huwa inachagiza kuwaona Dada zao kama wanawake wengine na wanaona ni jambo la kawaida.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji13]
tapatalk_1535649651911.jpg


Dark Side
 
Siyo mbaya bro kafanya kama Lutu na binti zake sasa sijui walimnywesha k vant au balantine? Na hili suala la binti kuzaa na baba mdogo wake au na mjomba ni sawa au ndo kirambasi?
 
Back
Top Bottom