Mahusiano ya kimapenzi kati ya kaka na dada wa tumbo moja

[emoji1303][emoji1303][emoji1303]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ushauri muruwa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1756][emoji1756][emoji1756]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hiyo ni laana za baadhi ya koo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini hadi kufikia ndugu wa damu kufanya hivyo, huwa kuna mahali katika malezi hapakuwa sawa.

Kaka anaanz vipi kumtamani Dada yake.
 
Tunateseka kweli na maswala ya ngono!

Tumejivika miiko mingi, hofu, makatazo, wasiwasi, ukakasi na kila aina ya hisia za kukerwa!

Maswala ya ngono yaachwe tu kama yalivyo! Watu wafanye wanaloona ni sawa!

Zaidi ya hapo ni kujaribu kuzuia bahari kwa kijiko!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mistake kufanya maisha yawe magumu kiufupi wazazi ndio wenye makosa kwa kujifanya WAPO busy, watoti wakiumena wakike hawatakiwi kuwafungia ndani, full stop
 
duuu mungu atusaidie dada yako tumbo moja kweli dah sasa hapa inakuwaje wakulungwa maana ni aibu san hii kitu kwanza unaanzaje kuzaa na dada yako yani daaa aiseeee khaaaa noma kweli
 
Mkuu Dunia imeisha, seriously wazee wanawavunjia ndoa mabinti zao sababu ya kuwagonga, mi Niko Pwani.
Mimi pia nimeona familiia 4 za hivo....japo ni baba na wana..

Ila 2 sio wazawa wa pwani..

1..mke aliitisha kikao cha familia baada ya kuwa na ushahidi wa simu, mabint walikuwa wawili mmoja akamwambia mwenzake mbele ya kikao ,na Baba yao akiwepo.. huyo baba ni mjeuri ila hapo alibanwa."Wewe kwa nini ulikubali? Mbona hata mimi baba alinitongoza nikakataa?"...

Ingine ni mtoto mchanga kabisa ...faza house anatoka kazini kabla ya muda anakwenda nyumbani kumsaidia dada wa kazi kukaa na mtoto....kumbe ujinga mtupu...anamwekea mdomoni ....

Nimechoka kuandika ila.....nimekumbuka matukio ni 5....kuna tukio limojawapo mzazi unaweza kuchanganyikiwa au kufa kabisa..Hili ni la ulawiti watoto wa nyumba moja fom 3 na darasa 4...huyo mkubwa ni mtoto wa dada wa mke.....nilitamani nilie kwa kelele..mwenye mtoto alikuwa anaugualia ndani wa ndani.


TUKIOMBA TUOMBEE WATOTO.
 
Hizi Ni roho za kishetani zinazowaingia wanna familia kwa lengo la kuteketeza famia hiyo. Umakini wa wazazi Ni juu yao kizingatia makuzi ya watoto wait na kuwasaidia pale wanapokwama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wadada wawe wanavaa vixuri we unaona kaka stroke baba kakaa sebleni MTU anapita na kiduksi huku bonge kalio jamani MKUYENGE hauna ndugu,
Kuna baba yangu mdogo alikuja home na Binti (mkewe) tofauti ya umri na Mimi ni 1 yr alileta Shida kuna kipindi waliondoka wakubwa home tukabaki 3 Mimi, house girl na ma mdogo nilikuwa polygamist leo nakula beki tatu kesho ma mdogo hadi akaondoka na kibendi naomba kuishia hapa.
 
Kuna watu nadhani wamezaliwa tu na laana, hata kufikiri tu kumvua nguo nduguyo ni uchafu uliopindukia.
 
Nikujibu namba nne,ndugu wa damu kuoana iko kwenye prohibited degree na sheria ya ndoa ya 1971 inakataza walio katika hali hiyo kuoana.Ikitokea mkaoana basi hiyo inakuwa void abnitio yaaani ni jambo batili lisilotambulika uwepo wake.Mtu yeyote aweza lipinga mahakamani na likawa declared null and void.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupat boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…