Ukimpata mtu sahihi, wakati wa uchumba ukaona mnaelewana sana basi mvumiliane tu, huyo ndiyo mtu sahihi, ila pia sex kwa wanaume sisi haiepukikiNatamani ningepata.mtu...tukapendana na kuvumilia mpakaNdoa...UZINZI na ZINAAA nimetokea kuzichukia Sana Sana Sana.
MOLa nipe nguvu
Mimi kuna binti ninaye kimahusiano kwa muda wa karibu mwaka sasa, lakini kuhusu kunitunuku alisha goma kabisa mpaka nimuoe,, anadai anaweza kunitunuku halafu mi nikaishia na kumwacha, sasa kwa binti kama huyu unakuwaje wakuu?
Acha Negative thought mtu mpaka ufunge ndoa jogoo hawiki?... Labda mbelen hukowee kuvumilia yataka moyo eti....umevumilia mmefunga ndoa kumbe jogoo hawiki utamlaumu nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
How old are u mkuu, sema unaweza mvumilia na usile vile vileMimi kuna binti ninaye kimahusiano kwa muda wa karibu mwaka sasa, lakini kuhusu kunitunuku alisha goma kabisa mpaka nimuoe,, anadai anaweza kunitunuku halafu mi nikaishia na kumwacha, sasa kwa binti kama huyu unakuwaje wakuu?
Mbona mi namla sana kila weeknd, piga sana tako3 subiria mkikarbia ndoa nikuachie najua utakuwa na kipururu kinoma noma[emoji23]Mimi kuna binti ninaye kimahusiano kwa muda wa karibu mwaka sasa, lakini kuhusu kunitunuku alisha goma kabisa mpaka nimuoe,, anadai anaweza kunitunuku halafu mi nikaishia na kumwacha, sasa kwa binti kama huyu unakuwaje wakuu?
ndoa ndo tataAcha Utata
mwenye nia ya kuoa anajulikana na asie muoaji anajulikana na asie na mpango wa kuoa anaanzaje kukwambia tusubiri ndoaNa mmoja lakini mpaka ufikie hatua ya ndoa utakua tayari umeshatumika sana , kabla ya ndoa utakutana na wasio oa, watakula watakuacha
[emoji848][emoji848][emoji23][emoji23]wee kuvumilia yataka moyo eti....umevumilia mmefunga ndoa kumbe jogoo hawiki utamlaumu nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera kwa mikakati hiyo, inaonekana unapenda sana kunakomwenye nia ya kuoa anajulikana na asie muoaji anajulikana na asie na mpango wa kuoa anaanzaje kukwambia tusubiri ndoa
weeee hujawahi sikia mtu kaolewa na hajawahi kuguswa na mumewe wanakaa kama kaka na dada yaani hata honeymoon haikua na maajabuAcha Negative thought mtu mpaka ufunge ndoa jogoo hawiki?... Labda mbelen huko
hayo ni mawazo yako tu hata sipendi 😂😂😂Hongera kwa mikakati hiyo, inaonekana unapenda sana kunako
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]hayo ni mawazo yako tu hata sipendi [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna dada aliwahi kuolewa na shoga, siku ya arusi mwanaume kajifanya amechoshwa sana na shughuli za harusi kajifanya ana usingizi. Kesho yake katoka usiku usiku [emoji1787][emoji1787]weeee hujawahi sikia mtu kaolewa na hajawahi kuguswa na mumewe wanakaa kama kaka na dada yaani hata honeymoon haikua na maajabu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hayo ni mawazo yako tu hata sipendi [emoji23][emoji23][emoji23]
wenzio wanakulaMimi kuna binti ninaye kimahusiano kwa muda wa karibu mwaka sasa, lakini kuhusu kunitunuku alisha goma kabisa mpaka nimuoe,, anadai anaweza kunitunuku halafu mi nikaishia na kumwacha, sasa kwa binti kama huyu unakuwaje wakuu?
Ila zaidi kwenye mada ninaongelea uvumilivu na utayari wa binti yaani kijana wa kiume kumtunza binti na binti husika kumuelewa na kuwa na uwezo wa kuvumilia mpaka ndoa, kutokana na experience yangu ndo nauliza, je kwann kwa mabinti limekuwa gumu hili ?vijana wanaogopa kuuziwa mbuzi kwenye gunia, wanataka waonje ili wasaminishe kwanza alafu kizazi cha leo ngumu sana labda karne ya 15
Unaanzaje KUTAMANI AU kuoa wakati hapandi mtungi, huoni unakuwa unajidhalilisha? Mi nashangaa sanawee kuvumilia yataka moyo eti....umevumilia mmefunga ndoa kumbe jogoo hawiki utamlaumu nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana mkuu sio wanaume wote.Ukimpata mtu sahihi, wakati wa uchumba ukaona mnaelewana sana basi mvumiliane tu, huyo ndiyo mtu sahihi, ila pia sex kwa wanaume sisi haiepukiki