Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Kiufupi mimi ndo naombaga pesa japo sio mara kwa maraPoor Brain hivi mdogo wangu wewe una hudumia au mshangazi wako anajitolea kama kazi ya kanisa?
Wanasema mtaji wa masikini nguvu zake wewe mtaji wako ni ke.......de wallah mishangazi itakuua mdogo wanguπ’Kiufupi mimi ndo naombaga pesa japo sio mara kwa mara
Mfano kesho kuna mmaza mmoja umesema anataka huduma ya shave πͺ πͺ daaah nikastuka ila its oky dau lipo kubwa tuu...
Ila sasa nawaza je ntaweza kuvumilia
Napitia maisha magumu sana hawa watu wanajua kunilaghai
Yaaan acha kabisa mpaka sasa bi mkubwa kaingilia kati anasema mda huu sasa niachane na hayo mambo kwanini nisitafute wa rika zangu.Wanasema mtaji wa masikini nguvu zake wewe mtaji wako ni ke.......de wallah mishangazi itakuua mdogo wanguπ’
Yooo πYaaan acha kabisa mpaka sasa bi mkubwa kaingilia kati anasema mda huu sasa niachane na hayo mambo kwanini nisitafute wa rika zangu.
Ila hao wa rika zangu sasa hatuwezan mi nikiombea pesa naona sipendwi na kutoa siwezi wamama wamenizoesha vibaya
Ninazo wapi nja tupu..πππYooo π
Ukiombwa hela ?
Hizo hela unazoπ
Kwa stahili hii endelea kula ndaza πββοΈπββοΈNinazo wapi nja tupu..πππ
Duu anakuta namuanzishia ugomvi wa ajabu ajabu kumbe pesa aliyoniomba sina..
We usawa huu mi uniombe 30k natoa wapi, kuna watu ka wamelogwa πππ
Kuna wengine wanaona mi bahili kumbe mwenzao.pesa sina ujue πππKwa stahili hii endelea kula ndaza πββοΈπββοΈ
Wakuache mdogo wangu mi nakuelewa πKuna wengine wanaona mi bahili kumbe mwenzao.pesa sina ujue πππ
Nzuriii hyo...Wakuache mdogo wangu mi nakuelewa π
Saafiπ₯Nzuriii hyo...
Ngoja niendelee. Kubembeleza mtu hapa