Mahusiano yangu magumu mwanaume wangu hana hela

Mahusiano yangu magumu mwanaume wangu hana hela

Kuna issue nasikilizia hawafai,.Kama wanavyochaguachagua nasi tuna haki kuchagua a man for our best future.... Maisha ni sasa,mambo ya nasikilizia nini sijui,hapana
Bado kuna mchongo naskilizia kama unaona nakuchelewesha nenda kwa hao mapedeshee ukachezee za uso[emoji1787]
 
Kama hapendi kazi muache

Wanawake mmeumbwa kuja kupata furaha hapa duniani😂😂
 
kwanini wewe usitafute hela zako mwenyewe hivi kuomba omba huwa hamuoni aibu? sawa wewe ni mwanamke lakini huoni aibu kuomba buku? kingine hutaki kazi ya udereva unasema afungue biashara mtaji utampa wewe au atapata wapi mtaji kama buku tu hana?[emoji3]🫢
Sijui kama nakosea lakini mimi ishu ya kuomba omba ata kama ni kitu kingine tofaut na pesa huwa sipendi kabisa kama sina bora nitulie tu.
 
kumbe ulimpenda kwa sababu uliambiwa kuw ni engineer nimegundua kitu wew unapenda pesa sio bure...badilika dada acha kila mmja apambanie ndoto zake
 
Yote kenda kumi shukuru anafanya kazi ya halali maisha ya wabongo tunayajua wenyewe
 
Nina mahusiano na mwanaume kazi yake ni udereva, tulianza mahusiano mwaka Jana mwezi wa 11 hadi sasa tuko pamoja huyu mwanaume ana cheti kizuri tu cha kidato cha nne hata pharmacy anaweza soma akihitaji lakini hataki kwenda shule anasema anapenda udereva

Shida ni kwamba hana pesa anasema anasubiri kazi za serikali, though akipata tenda anafanya means kama boss yeyote anamuhitaji lakini tu magari yawe ya private.

Hapendi kuendesha daladala wala magari ya mikoani anachopenda ni fursa za barabarani yaani kama imetokea issue za kutengeneza barabara, au kuendesha maboss (ma afisa)infact Mimi nampenda lakini kazi yake ya udereva sijawahi ipenda na ninatamani aiache tu afungue hata biashara

Kila ukimuomba hela ye hana nisaidie buku tu niweke vocha anakuambia sina though siku moja moja ukimuomba anakupatia lakini kwa ugomvi mkubwa buku tu hilo.

Unaweza omba Leo akakutumia kesho kutwa mtaanza kugombana hapo utasikia sina hela mama boss hajanipa bado. Siku ukimuomba elfu tatu ndo kabisa mtavutana hapo utasikia tu nitakutumia ,nitakutumia mara sina hela sina hela.

Sasa jamani hela ndogo ndogo tu anashindwa kunipa juzi kalalamika hana hela ikabidi Mimi nimpe elfu tano yani dah ili penzi langu nalipenda lakini pesa mume wangu changamoto sometime nawaza kumtia kibuti tu.

Anadai nimvumilie kwa sasa maisha yake hayako poa na familia inamtegemea Mara maza ake anaumwa ndo anamtegemea yeye na yeye hana kazi ya kueleweka mpaka apate tenda barabarani.

Kusema kweli sipendi kazi ya udereva bora aache tu na kazi yenyewe staki hata kuisikia yani. Na nilishawahi kumuambia Mimi nakupenda lakini kazi yako ya udereva siipendi akaniambia Mimi hii ndo inayonipa kula siwezi acha udereva na ninaupenda na baba yake alikuwaga dereva.

Friends wakiniuliza bwana ako anafanya kazi gani nawaambia tu mfanyabiashara kusema dreva naona ulimi mzito yaani sipendi mambo ya magari mimi naona aibu kusema bwana angu dereva na kipindi tunaanza mahusiano rafiki yake alinidanganya kwamba kasoma engineer nilipofika kugundua sio engineer tayari nimeshampenda in deep nikawa nashindwa kumuacha.

Nawaza hata kumtambulisha home na hiyo kazi yake bora awe mfanyabiashara tu hata nikiwaambia wazazi wangu ni mfanyabiashara itakuwa 100% kuliko udereva dah
Acha kutulalamikia mlee huyo dogo
 
Kuna demu nilikuwa nampa hela, sasa muda sio mrefu nikagundua huyu mbona KAMA chuma ulete??? Nikaanza funga vioo basi akaropoka sikupi Mbunye, nikamwambia MIMI NA SINGLE MOTHER wapi na wapi aliumia sana, nikamwambia wewe hela unayo?
 
Back
Top Bottom