mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Changamoto ya mwanaume mwenye hela anakutumia wewe ke kama chombo Cha starehe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina binamu yangu mmoja aliniambia mwanaume km humtaki muombe pesa 🤣🤣🤣Kwakweli wamekutana wote wana njaa kali😂😂😂🤭
Huo ujasiri sasa wa kunyanyua mdomo uombe ndo inakuaga changamoto 😂😂,, bora nitafute namna nyingine.... incase akikupa utaendelea naye na humtaki???Nina binamu yangu mmoja aliniambia mwanaume km humtaki muombe pesa 🤣🤣🤣
Sasa si humtaki unamtafutia sababu ya kumfurusha 😂😂😂Huo ujasiri sasa wa kunyanyua mdomo uombe ndo inakuaga changamoto 😂😂,, bora nitafute namna nyingine.... incase akikupa utaendelea naye na humtaki???
Kuna wengine wapuuzi anaweza akakupa,, utaanza kutafuta sababu nyingine 😃😃😃... me hua namwambia tu sikutaki basi😅😅🤭,, sema sasa wengine wanatia huruma maskini 🤦♀️🤦♀️Sasa si humtaki unamtafutia sababu ya kumfurusha 😂😂😂
Njoo PM nikupe mtaji,unakaaje na Mwanaume Buku ya Vocha mpaka mgombane??hayo ni Mahusiano au Machafuzi??halafu Mwanaume mwenyewe hana pesa na bado anaomba Tigo,khaaaNina mahusiano na mwanaume kazi yake ni udereva, tulianza mahusiano mwaka Jana mwezi wa 11 hadi sasa tuko pamoja huyu mwanaume ana cheti kizuri tu cha kidato cha nne hata pharmacy anaweza soma akihitaji lakini hataki kwenda shule anasema anapenda udereva
Shida ni kwamba hana pesa anasema anasubiri kazi za serikali, though akipata tenda anafanya means kama boss yeyote anamuhitaji lakini tu magari yawe ya private.
Hapendi kuendesha daladala wala magari ya mikoani anachopenda ni fursa za barabarani yaani kama imetokea issue za kutengeneza barabara, au kuendesha maboss (ma afisa)infact Mimi nampenda lakini kazi yake ya udereva sijawahi ipenda na ninatamani aiache tu afungue hata biashara
Kila ukimuomba hela ye hana nisaidie buku tu niweke vocha anakuambia sina though siku moja moja ukimuomba anakupatia lakini kwa ugomvi mkubwa buku tu hilo.
Unaweza omba Leo akakutumia kesho kutwa mtaanza kugombana hapo utasikia sina hela mama boss hajanipa bado. Siku ukimuomba elfu tatu ndo kabisa mtavutana hapo utasikia tu nitakutumia ,nitakutumia mara sina hela sina hela.
Sasa jamani hela ndogo ndogo tu anashindwa kunipa juzi kalalamika hana hela ikabidi Mimi nimpe elfu tano yani dah ili penzi langu nalipenda lakini pesa mume wangu changamoto sometime nawaza kumtia kibuti tu.
Anadai nimvumilie kwa sasa maisha yake hayako poa na familia inamtegemea Mara maza ake anaumwa ndo anamtegemea yeye na yeye hana kazi ya kueleweka mpaka apate tenda barabarani.
Kusema kweli sipendi kazi ya udereva bora aache tu na kazi yenyewe staki hata kuisikia yani. Na nilishawahi kumuambia Mimi nakupenda lakini kazi yako ya udereva siipendi akaniambia Mimi hii ndo inayonipa kula siwezi acha udereva na ninaupenda na baba yake alikuwaga dereva.friends wakiniuliza bwana ako anafanya kazi gani nawaambia tu mfanyabiashara kusema dreva naona ulimi mzito yani sipendi mambo ya magari mimi naona aibu kusema bwana angu dereva na kipindi tunaanza mahusiano rafiki ake alinidanganya kwamba kasoma engineer nilipofika kugundua sio engineer tayari nimeshampenda in deep nikawa nashindwa kumuacha.nawaza ata kumtambulisha home na iyo kazi yake bora awe mfanya biashara tu ata nikiwaambia wazazi wangu ni mfanyabiashara itakuwa 100% kuliko udereva dah
Utaendelea kumuomba pesa mpk akate tamaa 🤣🤣🤣Kuna wengine wapuuzi anaweza akakupa,, utaanza kutafuta sababu nyingine 😃😃😃... me hua namwambia tu sikutaki basi😅😅🤭,, sema sasa wengine wanatia huruma maskini 🤦♀️🤦♀️
Mmh hapana kwakweli... me nikiona mtu kinga'ang'anizi sana hua namwambia nina UTI sugu naogopa ntakuambukiza, maana sikuizi wanaogopa sana UTI hawa watu 😂😂😂😂😂Utaendelea kumuomba pesa mpk akate tamaa 🤣🤣🤣
We umependa mtu au nn angalia aman ya moyo na kwann una date over kama hakupi usiombeNina mahusiano na mwanaume kazi yake ni udereva, tulianza mahusiano mwaka Jana mwezi wa 11 hadi sasa tuko pamoja huyu mwanaume ana cheti kizuri tu cha kidato cha nne hata pharmacy anaweza soma akihitaji lakini hataki kwenda shule anasema anapenda udereva
Shida ni kwamba hana pesa anasema anasubiri kazi za serikali, though akipata tenda anafanya means kama boss yeyote anamuhitaji lakini tu magari yawe ya private.
Hapendi kuendesha daladala wala magari ya mikoani anachopenda ni fursa za barabarani yaani kama imetokea issue za kutengeneza barabara, au kuendesha maboss (ma afisa)infact Mimi nampenda lakini kazi yake ya udereva sijawahi ipenda na ninatamani aiache tu afungue hata biashara
Kila ukimuomba hela ye hana nisaidie buku tu niweke vocha anakuambia sina though siku moja moja ukimuomba anakupatia lakini kwa ugomvi mkubwa buku tu hilo.
Unaweza omba Leo akakutumia kesho kutwa mtaanza kugombana hapo utasikia sina hela mama boss hajanipa bado. Siku ukimuomba elfu tatu ndo kabisa mtavutana hapo utasikia tu nitakutumia ,nitakutumia mara sina hela sina hela.
Sasa jamani hela ndogo ndogo tu anashindwa kunipa juzi kalalamika hana hela ikabidi Mimi nimpe elfu tano yani dah ili penzi langu nalipenda lakini pesa mume wangu changamoto sometime nawaza kumtia kibuti tu.
Anadai nimvumilie kwa sasa maisha yake hayako poa na familia inamtegemea Mara maza ake anaumwa ndo anamtegemea yeye na yeye hana kazi ya kueleweka mpaka apate tenda barabarani.
Kusema kweli sipendi kazi ya udereva bora aache tu na kazi yenyewe staki hata kuisikia yani. Na nilishawahi kumuambia Mimi nakupenda lakini kazi yako ya udereva siipendi akaniambia Mimi hii ndo inayonipa kula siwezi acha udereva na ninaupenda na baba yake alikuwaga dereva.friends wakiniuliza bwana ako anafanya kazi gani nawaambia tu mfanyabiashara kusema dreva naona ulimi mzito yani sipendi mambo ya magari mimi naona aibu kusema bwana angu dereva na kipindi tunaanza mahusiano rafiki ake alinidanganya kwamba kasoma engineer nilipofika kugundua sio engineer tayari nimeshampenda in deep nikawa nashindwa kumuacha.nawaza ata kumtambulisha home na iyo kazi yake bora awe mfanya biashara tu ata nikiwaambia wazazi wangu ni mfanyabiashara itakuwa 100% kuliko udereva dah
Thubutuu!! Sio kwa hii mipaka mapepe 🤣🤣🤣Mmh hapana kwakweli... me nikiona mtu kinga'ang'anizi sana hua namwambia nina UTI sugu naogopa ntakuambukiza, maana sikuizi wanaogopa sana UTI hawa watu 😂😂😂😂😂
Au hua nawaambia nina mimba 😃😃Thubutuu!! Sio kwa hii mipaka mapepe 🤣🤣🤣
Hata uwatishie ngoma hawaogopi
Tena ndio watafurahi wanasema eti wajawazito wana joto zuri 🤣🤣🤣Au hua nawaambia nina mimba 😃😃
Hahahaha😂😂😂😂Tena ndio watafurahi wanasema eti wajawazito wana joto zuri 🤣🤣🤣
Na mtoto atalea atakwambia
Hapo chagua kimoja sasaNina mahusiano na mwanaume kazi yake ni udereva, tulianza mahusiano mwaka Jana mwezi wa 11 hadi sasa tuko pamoja huyu mwanaume ana cheti kizuri tu cha kidato cha nne hata pharmacy anaweza soma akihitaji lakini hataki kwenda shule anasema anapenda udereva
Shida ni kwamba hana pesa anasema anasubiri kazi za serikali, though akipata tenda anafanya means kama boss yeyote anamuhitaji lakini tu magari yawe ya private.
Hapendi kuendesha daladala wala magari ya mikoani anachopenda ni fursa za barabarani yaani kama imetokea issue za kutengeneza barabara, au kuendesha maboss (ma afisa)infact Mimi nampenda lakini kazi yake ya udereva sijawahi ipenda na ninatamani aiache tu afungue hata biashara
Kila ukimuomba hela ye hana nisaidie buku tu niweke vocha anakuambia sina though siku moja moja ukimuomba anakupatia lakini kwa ugomvi mkubwa buku tu hilo.
Unaweza omba Leo akakutumia kesho kutwa mtaanza kugombana hapo utasikia sina hela mama boss hajanipa bado. Siku ukimuomba elfu tatu ndo kabisa mtavutana hapo utasikia tu nitakutumia ,nitakutumia mara sina hela sina hela.
Sasa jamani hela ndogo ndogo tu anashindwa kunipa juzi kalalamika hana hela ikabidi Mimi nimpe elfu tano yani dah ili penzi langu nalipenda lakini pesa mume wangu changamoto sometime nawaza kumtia kibuti tu.
Anadai nimvumilie kwa sasa maisha yake hayako poa na familia inamtegemea Mara maza ake anaumwa ndo anamtegemea yeye na yeye hana kazi ya kueleweka mpaka apate tenda barabarani.
Kusema kweli sipendi kazi ya udereva bora aache tu na kazi yenyewe staki hata kuisikia yani. Na nilishawahi kumuambia Mimi nakupenda lakini kazi yako ya udereva siipendi akaniambia Mimi hii ndo inayonipa kula siwezi acha udereva na ninaupenda na baba yake alikuwaga dereva.friends wakiniuliza bwana ako anafanya kazi gani nawaambia tu mfanyabiashara kusema dreva naona ulimi mzito yani sipendi mambo ya magari mimi naona aibu kusema bwana angu dereva na kipindi tunaanza mahusiano rafiki ake alinidanganya kwamba kasoma engineer nilipofika kugundua sio engineer tayari nimeshampenda in deep nikawa nashindwa kumuacha.nawaza ata kumtambulisha home na iyo kazi yake bora awe mfanya biashara tu ata nikiwaambia wazazi wangu ni mfanyabiashara itakuwa 100% kuliko udereva dah
AahaaaaaUlilazimishwa? Huwaoni wenye pesa uende? Au na wewe huna hadhi kulingana na pesa zao?
Usitupigie kelele wewe binti mjinga.
Ngoja nimwangalie kwanza vizuri 😃🤔🤔Nani amegundua mtoa mada ni mwanaume???
amini kwambaNgoja nimwangalie kwanza vizuri 😃🤔🤔
Mbona nyuzi zake nyingi anajieleza kama ni ke😃😃amini kwamba