Mahusiano yangu magumu mwanaume wangu hana hela

Nina mahusiano na mwanaume kazi yake ni udereva, tulianza mahusiano mwaka Jana mwezi wa 11 hadi sasa tuko pamoja huyu mwanaume ana cheti kizuri tu cha kidato cha nne hata pharmacy anaweza soma akihitaji lakini hataki kwenda shule anasema anapenda udereva

Shida ni kwamba hana pesa anasema anasubiri kazi za serikali, though akipata tenda anafanya means kama boss yeyote anamuhitaji lakini tu magari yawe ya private.

Hapendi kuendesha daladala wala magari ya mikoani anachopenda ni fursa za barabarani yaani kama imetokea issue za kutengeneza barabara, au kuendesha maboss (ma afisa)infact Mimi nampenda lakini kazi yake ya udereva sijawahi ipenda na ninatamani aiache tu afungue hata biashara

Kila ukimuomba hela ye hana nisaidie buku tu niweke vocha anakuambia sina though siku moja moja ukimuomba anakupatia lakini kwa ugomvi mkubwa buku tu hilo.

Unaweza omba Leo akakutumia kesho kutwa mtaanza kugombana hapo utasikia sina hela mama boss hajanipa bado. Siku ukimuomba elfu tatu ndo kabisa mtavutana hapo utasikia tu nitakutumia ,nitakutumia mara sina hela sina hela.

Sasa jamani hela ndogo ndogo tu anashindwa kunipa juzi kalalamika hana hela ikabidi Mimi nimpe elfu tano yani dah ili penzi langu nalipenda lakini pesa mume wangu changamoto sometime nawaza kumtia kibuti tu.

Anadai nimvumilie kwa sasa maisha yake hayako poa na familia inamtegemea Mara maza ake anaumwa ndo anamtegemea yeye na yeye hana kazi ya kueleweka mpaka apate tenda barabarani.

Kusema kweli sipendi kazi ya udereva bora aache tu na kazi yenyewe staki hata kuisikia yani. Na nilishawahi kumuambia Mimi nakupenda lakini kazi yako ya udereva siipendi akaniambia Mimi hii ndo inayonipa kula siwezi acha udereva na ninaupenda na baba yake alikuwaga dereva.friends wakiniuliza bwana ako anafanya kazi gani nawaambia tu mfanyabiashara kusema dreva naona ulimi mzito yani sipendi mambo ya magari mimi naona aibu kusema bwana angu dereva na kipindi tunaanza mahusiano rafiki ake alinidanganya kwamba kasoma engineer nilipofika kugundua sio engineer tayari nimeshampenda in deep nikawa nashindwa kumuacha.nawaza ata kumtambulisha home na iyo kazi yake bora awe mfanya biashara tu ata nikiwaambia wazazi wangu ni mfanyabiashara itakuwa 100% kuliko udereva dah
Kwahiyo unataka tufanyeje?
 
Kuna watu wanajua kuomba khaa!!
Me kitu kilinishinda kuomba pesa aisee!!
Nina huruma sana, ndio kinachoniponza 😜
Wewe upo kama mimi jirani,,kuomba omba hapana kwakweli....mwanamke inabidi utafute zako then uje utunukiwe tu na mpenzi wako, tena inakuwaga hela ya maana😉😉...
Leo ndo nimeamini ile thread ya mtu aliombwa af tatu Pm😃😃🤔
 
Wewe upo kama mimi jirani,,kuomba omba hapana kwakweli....mwanamke inabidi utafute zako then uje utunukiwe tu na mpenzi wako, tena inakuwaga hela ya maana[emoji6][emoji6]...
Leo ndo nimeamini ile thread ya mtu aliombwa af tatu Pm[emoji2][emoji2][emoji848]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Uzi wa Afu tatu...

Wanawake tunaojielewa, hatuombi na tunapewa Tena pesa nzuri tu...
 
Mpaka sasa mtoa mada pages zote tano hajajibu, kaukimbia uzi wake mwenyewe, maana kaonekana hamnazo.
 
Nina mahusiano na mwanaume kazi yake ni udereva, tulianza mahusiano mwaka Jana mwezi wa 11 hadi sasa tuko pamoja huyu mwanaume ana cheti kizuri tu cha kidato cha nne hata pharmacy anaweza soma akihitaji lakini hataki kwenda shule anasema anapenda udereva

Shida ni kwamba hana pesa anasema anasubiri kazi za serikali, though akipata tenda anafanya means kama boss yeyote anamuhitaji lakini tu magari yawe ya private.

Hapendi kuendesha daladala wala magari ya mikoani anachopenda ni fursa za barabarani yaani kama imetokea issue za kutengeneza barabara, au kuendesha maboss (ma afisa)infact Mimi nampenda lakini kazi yake ya udereva sijawahi ipenda na ninatamani aiache tu afungue hata biashara

Kila ukimuomba hela ye hana nisaidie buku tu niweke vocha anakuambia sina though siku moja moja ukimuomba anakupatia lakini kwa ugomvi mkubwa buku tu hilo.

Unaweza omba Leo akakutumia kesho kutwa mtaanza kugombana hapo utasikia sina hela mama boss hajanipa bado. Siku ukimuomba elfu tatu ndo kabisa mtavutana hapo utasikia tu nitakutumia ,nitakutumia mara sina hela sina hela.

Sasa jamani hela ndogo ndogo tu anashindwa kunipa juzi kalalamika hana hela ikabidi Mimi nimpe elfu tano yani dah ili penzi langu nalipenda lakini pesa mume wangu changamoto sometime nawaza kumtia kibuti tu.

Anadai nimvumilie kwa sasa maisha yake hayako poa na familia inamtegemea Mara maza ake anaumwa ndo anamtegemea yeye na yeye hana kazi ya kueleweka mpaka apate tenda barabarani.

Kusema kweli sipendi kazi ya udereva bora aache tu na kazi yenyewe staki hata kuisikia yani. Na nilishawahi kumuambia Mimi nakupenda lakini kazi yako ya udereva siipendi akaniambia Mimi hii ndo inayonipa kula siwezi acha udereva na ninaupenda na baba yake alikuwaga dereva.friends wakiniuliza bwana ako anafanya kazi gani nawaambia tu mfanyabiashara kusema dreva naona ulimi mzito yani sipendi mambo ya magari mimi naona aibu kusema bwana angu dereva na kipindi tunaanza mahusiano rafiki ake alinidanganya kwamba kasoma engineer nilipofika kugundua sio engineer tayari nimeshampenda in deep nikawa nashindwa kumuacha.nawaza ata kumtambulisha home na iyo kazi yake bora awe mfanya biashara tu ata nikiwaambia wazazi wangu ni mfanyabiashara itakuwa 100% kuliko udereva dah
Watoto wa mjini mapenzi ni pexa... Bora usimuanike hadharani. mfukuze na utafute mwenye pexa. Yy amearidhia maesha yake!!!
 
Wewe upo kama mimi jirani,,kuomba omba hapana kwakweli....mwanamke inabidi utafute zako then uje utunukiwe tu na mpenzi wako, tena inakuwaga hela ya maana😉😉...
Leo ndo nimeamini ile thread ya mtu aliombwa af tatu Pm😃😃🤔
Sasa mtu unaomba afu tatu kweli? 🤣🤣🤣
Ndiomana wanafunguliwa nyuzi wamekutana wote matapeli
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Uzi wa Afu tatu...

Wanawake tunaojielewa, hatuombi na tunapewa Tena pesa nzuri tu...
Ndo iko hivyo,, yani unakua na mtu hadi anawaza huyu nimpe nini ili anione na mimi nina uwezo, maana ukizingatia kila kitu unacho haoni gape la kujipatia sifa😉😉
 
😀😁😄😄😅😄😀😁Akija Kusoma Atazinduka Usingizini
Bora azinduke mapema kwakweli maana ef3 au ef5 sio hela za kusababisha maugonvi na kuandikiana nyuzi kama hivi 😂🤭
 
Wewe ni binti mjinga sana na mpumbavu.

Kama hana hela nenda kwa wenye hela ukawe chombo cha starehe kwani inakushinda nini
 
Nina mahusiano na mwanaume kazi yake ni udereva, tulianza mahusiano mwaka Jana mwezi wa 11 hadi sasa tuko pamoja huyu mwanaume ana cheti kizuri tu cha kidato cha nne hata pharmacy anaweza soma akihitaji lakini hataki kwenda shule anasema anapenda udereva

Shida ni kwamba hana pesa anasema anasubiri kazi za serikali, though akipata tenda anafanya means kama boss yeyote anamuhitaji lakini tu magari yawe ya private.

Hapendi kuendesha daladala wala magari ya mikoani anachopenda ni fursa za barabarani yaani kama imetokea issue za kutengeneza barabara, au kuendesha maboss (ma afisa)infact Mimi nampenda lakini kazi yake ya udereva sijawahi ipenda na ninatamani aiache tu afungue hata biashara

Kila ukimuomba hela ye hana nisaidie buku tu niweke vocha anakuambia sina though siku moja moja ukimuomba anakupatia lakini kwa ugomvi mkubwa buku tu hilo.

Unaweza omba Leo akakutumia kesho kutwa mtaanza kugombana hapo utasikia sina hela mama boss hajanipa bado. Siku ukimuomba elfu tatu ndo kabisa mtavutana hapo utasikia tu nitakutumia ,nitakutumia mara sina hela sina hela.

Sasa jamani hela ndogo ndogo tu anashindwa kunipa juzi kalalamika hana hela ikabidi Mimi nimpe elfu tano yani dah ili penzi langu nalipenda lakini pesa mume wangu changamoto sometime nawaza kumtia kibuti tu.

Anadai nimvumilie kwa sasa maisha yake hayako poa na familia inamtegemea Mara maza ake anaumwa ndo anamtegemea yeye na yeye hana kazi ya kueleweka mpaka apate tenda barabarani.

Kusema kweli sipendi kazi ya udereva bora aache tu na kazi yenyewe staki hata kuisikia yani. Na nilishawahi kumuambia Mimi nakupenda lakini kazi yako ya udereva siipendi akaniambia Mimi hii ndo inayonipa kula siwezi acha udereva na ninaupenda na baba yake alikuwaga dereva.friends wakiniuliza bwana ako anafanya kazi gani nawaambia tu mfanyabiashara kusema dreva naona ulimi mzito yani sipendi mambo ya magari mimi naona aibu kusema bwana angu dereva na kipindi tunaanza mahusiano rafiki ake alinidanganya kwamba kasoma engineer nilipofika kugundua sio engineer tayari nimeshampenda in deep nikawa nashindwa kumuacha.nawaza ata kumtambulisha home na iyo kazi yake bora awe mfanya biashara tu ata nikiwaambia wazazi wangu ni mfanyabiashara itakuwa 100% kuliko udereva dah
Cha msingi uje niwe nakuhudumia,Nina familia Ila Kuna kitu nakosa
 
Back
Top Bottom