Mahusiano yangu magumu mwanaume wangu hana hela

Nina mahusiano na mwanaume kazi yake ni udreva tulianza mahusiano mwaka Jana mwezi wa 11 hadi sasa tuko pamoja huyu mwanaume ana cheti kizuri tu cha kidato cha nne ata pharmacy anaweza soma akihitaji lakini hataki kwenda shule anasema anapenda udreva,shida ni kwamba hana pesa anasema anasubiri kazi za serikari,though akipata tenda anafanya means kama boss yeyote anamuhitaji lakini tu magari yawe ya private. Hapendi kuendesha daladala wala magari ya mikoani anachopenda ni fursa za barabarani yaani kama imetokea issue za kutengeneza barabara,au kuendesha maboss (ma afisa)infact Mimi nampenda lakini kazi yake ya udreva sijawahi ipenda na ninatamani aiache tu afungue ata biashara,kila ukimuomba ela ye hana nisaidie buku tu niweke vocha anakuambia sina though siku moja moja ukimuomba anakupatia lakini kwa ugomvi mkubwa buku tu ilo.unaweza omba Leo akakutumia kesho kutwa mtaanza kugombana hapo utasikia sina ela mama boss ajanipa bado ,siku ukimuomba elfu tatu ndo kabisa mtavutana hapo utasikia tu nitakutumia ,nitakutumia Mara sina ela sina ela.sasa jamani ela ndogo ndogo tu anashindwa kunipa juzi kalalamika hana ela ikabidi Mimi nimpe elfu tano yani dah ili penzi langu nalipenda lakini pesa mume wangu changamoto sometime nawaza kumtia kibuti tu.anadai nimvumilie kwa sasa maisha yake hayako poa na familia inamtegemea Mara maza ake anaumwa ndo anamtegemea yeye na yeye hana kazi ya kueleweka mpaka apate tenda barabarani.kusema kweli sipendi kazi ya udereva bora aache tu na kazi yenyewe staki ata kuisikia yani.Na nilishawahi kumuambia Mimi nakupenda lakini kazi yako ya udereva siipendi akaniambia Mimi hii ndo inayonipa kula siwezi acha udereva na nina upenda na baba ake alikuwaga dereva.

Kwenye uhusiano pesa ndio ikiwa kipaumbele basi hiyo inakua ni biashara ya mapenzi.

Kwenye uhusiano kulaumiana na kulalamikiana kukiwa kwingi hiyo ina kua ni maigizo, tamthilia na riwaya.

Kwenye uhusiano kukiwa na kusthakiana kwenye public mara mtu wangu yuko hivi au vile, ujue hapo hakuna uhusiano ni KIKI.
 
Nina mahusiano na mwanaume kazi yake ni udereva, tulianza mahusiano mwaka Jana mwezi wa 11 hadi sasa tuko pamoja huyu mwanaume ana cheti kizuri tu cha kidato cha nne hata pharmacy anaweza soma akihitaji lakini hataki kwenda shule anasema anapenda udereva

Shida ni kwamba hana pesa anasema anasubiri kazi za serikali, though akipata tenda anafanya means kama boss yeyote anamuhitaji lakini tu magari yawe ya private.

Hapendi kuendesha daladala wala magari ya mikoani anachopenda ni fursa za barabarani yaani kama imetokea issue za kutengeneza barabara, au kuendesha maboss (ma afisa)infact Mimi nampenda lakini kazi yake ya udereva sijawahi ipenda na ninatamani aiache tu afungue hata biashara

Kila ukimuomba hela ye hana nisaidie buku tu niweke vocha anakuambia sina though siku moja moja ukimuomba anakupatia lakini kwa ugomvi mkubwa buku tu hilo.

Unaweza omba Leo akakutumia kesho kutwa mtaanza kugombana hapo utasikia sina hela mama boss hajanipa bado. Siku ukimuomba elfu tatu ndo kabisa mtavutana hapo utasikia tu nitakutumia ,nitakutumia mara sina hela sina hela.

Sasa jamani hela ndogo ndogo tu anashindwa kunipa juzi kalalamika hana hela ikabidi Mimi nimpe elfu tano yani dah ili penzi langu nalipenda lakini pesa mume wangu changamoto sometime nawaza kumtia kibuti tu.

Anadai nimvumilie kwa sasa maisha yake hayako poa na familia inamtegemea Mara maza ake anaumwa ndo anamtegemea yeye na yeye hana kazi ya kueleweka mpaka apate tenda barabarani.

Kusema kweli sipendi kazi ya udereva bora aache tu na kazi yenyewe staki hata kuisikia yani. Na nilishawahi kumuambia Mimi nakupenda lakini kazi yako ya udereva siipendi akaniambia Mimi hii ndo inayonipa kula siwezi acha udereva na ninaupenda na baba yake alikuwaga dereva.friends wakiniuliza bwana ako anafanya kazi gani nawaambia tu mfanyabiashara kusema dreva naona ulimi mzito yani sipendi mambo ya magari mimi naona aibu kusema bwana angu dereva na kipindi tunaanza mahusiano rafiki ake alinidanganya kwamba kasoma engineer nilipofika kugundua sio engineer tayari nimeshampenda in deep nikawa nashindwa kumuacha.nawaza ata kumtambulisha home na iyo kazi yake bora awe mfanya biashara tu ata nikiwaambia wazazi wangu ni mfanyabiashara itakuwa 100% kuliko udereva dah
Binadamu ni Utu na kazi sasa hapo utajiongeza. Au njoo kwangu nina kazi nzuri tu na senti ya kukupa ninazo. Mwanamke na hela ni sawa na Shetani na dhambi.
 
Usipoteze muda maisha ni sasa piga chini hilo fukara
 
Mumeo ni dereva mzembe huyo, madereva hua tunakula maisha asikwambie wengine Hadi kumiliki yakwetu wenyewe, in short jama Ako ni mkulima anae chagua jembe
 
Back
Top Bottom