Mahusiano yangu magumu mwanaume wangu hana hela

Kuna issue nasikilizia hawafai,.Kama wanavyochaguachagua nasi tuna haki kuchagua a man for our best future.... Maisha ni sasa,mambo ya nasikilizia nini sijui,hapana
Bado kuna mchongo naskilizia kama unaona nakuchelewesha nenda kwa hao mapedeshee ukachezee za uso[emoji1787]
 
Kama hapendi kazi muache

Wanawake mmeumbwa kuja kupata furaha hapa dunianiπŸ˜‚πŸ˜‚
 
kwanini wewe usitafute hela zako mwenyewe hivi kuomba omba huwa hamuoni aibu? sawa wewe ni mwanamke lakini huoni aibu kuomba buku? kingine hutaki kazi ya udereva unasema afungue biashara mtaji utampa wewe au atapata wapi mtaji kama buku tu hana?[emoji3]🫒
Sijui kama nakosea lakini mimi ishu ya kuomba omba ata kama ni kitu kingine tofaut na pesa huwa sipendi kabisa kama sina bora nitulie tu.
 
kumbe ulimpenda kwa sababu uliambiwa kuw ni engineer nimegundua kitu wew unapenda pesa sio bure...badilika dada acha kila mmja apambanie ndoto zake
 
Yote kenda kumi shukuru anafanya kazi ya halali maisha ya wabongo tunayajua wenyewe
 
Acha kutulalamikia mlee huyo dogo
 
Kuna demu nilikuwa nampa hela, sasa muda sio mrefu nikagundua huyu mbona KAMA chuma ulete??? Nikaanza funga vioo basi akaropoka sikupi Mbunye, nikamwambia MIMI NA SINGLE MOTHER wapi na wapi aliumia sana, nikamwambia wewe hela unayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…