Maimartha: Jux na Diamond wana urafiki zaidi ya tuujuavyo, Wakubwa mtanielewa

Hizi ndiyo Habari ambazo waTanzania Wanapenda Sana kuzifuatilia, huku wakiyaacha mambo ya msingi yakijiendea yenyewe na kusababisha nchi kwenda mrama!
Nchi imeenda mrama halafu wewe uko kwenye keyboard? Nani atawafuatilia wanasiasa matapeli kama Braza K na Mdudu? Nenda Sudani ndio utajua maana ya nchi kwenda mrama.
 
Nchi imeenda mrama halafu wewe uko kwenye keyboard? Nani atawafuatilia wanasiasa matapeli kama Braza K na Mdudu? Nenda Sudani ndio utajua maana ya nchi kwenda mrama.
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Wakat wake ulishamtupa mkono. Alivuma enzi za Tv na Radio, hazikua zinalipankama enz hiz za Social media.
Atafute tu ishu zingine za kufanya kuliko kupakazia watu. Bila kujalisha ni kwel au uongo, haitamsaidia kitu
Muache mshangazi wetu
 
Achana na udaku, na umbea. Haulipi kodi wala kulijenga taifa
 
Inamuhusu nini au inatuhusu nini, yeye kipi kinamuumiza, kama wana ukaribu huo ukaribu alitaka apewe yeye? Na yeye atafte kuwa karibu naye aache wivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ