Jerlamarel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 843
- 2,525
- Thread starter
-
- #41
Kiufupi hii series kila character alikuwa na somo kubwa sana kwenye maisha yetu ya kila siku.Ali's role in squid game taught us that no matter how kind or innocent you are, some people will still abuse and use you.
And the saddest thing about betrayal is that it never comes from enemies, it comes from those you trust
Personally I dont: I will trust you but always I'm very cautious.Yes I have the heart of trusting someone...
Ni kweli kabisa, maana production companies waliona kama ni idea ambayo imekaa kitoto sana, kumbe hawakujua, hawakujuaa[emoji23]Hapo kwenye kukataliwa tangu 2009 ni Kick ya Kuuzia hii Movie.
Mwamba alikula mbususu ya dem kisha akamkataaNaona umeamua kuwa huyu mwamba hapa chini[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1981699
Huyo mzee ndiyo yuko nyuma ya game nzima, na ndio maana hakuuwawa, na aliamua tuu mwenyewe kujifanyisha kapoteza kumbukumbu ili amsaidie jamaa asife.Huyu mzee alimpuna jamaa goroli zote sema ttz lilikua kumbukumbu hana
Na demu akamuambia I will kill you, na kweli akafa naye[emoji23]Mwamba alikula mbususu ya dem kisha akamkataa
Afu episode ya tisa mbn kama nilimuona hospitali au sio yeyeHuyo mzee ndiyo yuko nyuma ya game nzima, na ndio maana hakuuwawa, na aliamua tuu mwenyewe kujifanyisha kapoteza kumbukumbu ili amsaidie jamaa asife.
You betray me i kill youNa demu akamuambia I will kill you, na kweli akafa naye[emoji23]
Ndiyo yeye, mwishoni kabisa alimuita mshindi na kumuuliza hili swali: "Can You Still Trust Anybody to be Good After Everything You've Been Through?"Afu episode ya tisa mbn kama nilimuona hospitali au sio yeye
Jamaa hakumwelewa wala nini na frontman alikuepo mitaa ile ile.Ndiyo yeye, mwishoni kabisa alimuita mshindi na kumuuliza hili swali: "Can You Still Trust Anybody to be Good After Everything You've Been Through?"
Kwamba kwa yale uliyoyaona kwenye game, na ukilinganisha kwenye real life, utaendelea kuwaamini hawa binadamu kama mwanzo?
Vipi kwenye goroliHii series ni balaa asee na sehemu iliyonifurahisa ni pale kwenye vi biscuit unachonga ili ukatoe kwenye umbo lake, ukikosea tu unapewa [emoji28][emoji23][emoji23] star wetu kapata mwamnvuli akasema leo nimekufa!?? Nilicheka balaa
Hiyo scene ilinisikitisha sana kuliko scenes zote,Vipi kwenye goroli
Hapana mm namaanisha sio kweli kwamba ilikataliwa bali ni Uvumi tu ili Movie iuzwe.ni sawa na wanamuziki wanapohojiwa na kusema kuwa huu wimbo nimeutungia Studio..Mara nyingi sio kweli!!!Ni kweli kabisa, maana production companies waliona kama ni idea ambayo imekaa kitoto sana, kumbe hawakujua, hawakujuaa[emoji23]
Yes I have the heart of trusting someone...
She knows herself whom i trust...You trusted mahondaw right?
Mimi narudia hiyo sehemu kila mara..lile pozi la kuchonga mwamvuli aisee I can't get enough of it..nacheka na anavyotetemeka we achaHii series ni balaa asee na sehemu iliyonifurahisa ni pale kwenye vi biscuit unachonga ili ukatoe kwenye umbo lake, ukikosea tu unapewa [emoji28][emoji23][emoji23] star wetu kapata mwamnvuli akasema leo nimekufa!?? Nilicheka balaa
Wenzetu sio waongo waongo..hawahitaji hayo mambo ya kiki. Korea uaminifu ni kitu kikubwa na ndio maana hata ukikosea leo/ukidanganya na ikapita hata miaka 10 ikaja kufahamika ukweli basi wanahakikisha kila ulikitengeneza kupitia huo uongo kinaondoka.Hapana mm namaanisha sio kweli kwamba ilikataliwa bali ni Uvumi tu ili Movie iuzwe.ni sawa na wanamuziki wanapohojiwa na kusema kuwa huu wimbo nimeutungia Studio..Mara nyingi sio kweli!!!