Main theme ya "Squid Game" ni "Can You Still Trust Anybody to be Good After Everything You've Been Through?"

Main theme ya "Squid Game" ni "Can You Still Trust Anybody to be Good After Everything You've Been Through?"

Ali's role in squid game taught us that no matter how kind or innocent you are, some people will still abuse and use you.

And the saddest thing about betrayal is that it never comes from enemies, it comes from those you trust
Kiufupi hii series kila character alikuwa na somo kubwa sana kwenye maisha yetu ya kila siku.
 
Huyu mzee alimpuna jamaa goroli zote sema ttz lilikua kumbukumbu hana
Huyo mzee ndiyo yuko nyuma ya game nzima, na ndio maana hakuuwawa, na aliamua tuu mwenyewe kujifanyisha kapoteza kumbukumbu ili amsaidie jamaa asife.
 
Afu episode ya tisa mbn kama nilimuona hospitali au sio yeye
Ndiyo yeye, mwishoni kabisa alimuita mshindi na kumuuliza hili swali: "Can You Still Trust Anybody to be Good After Everything You've Been Through?"

Kwamba kwa yale uliyoyaona kwenye game, na ukilinganisha kwenye real life, utaendelea kuwaamini hawa binadamu kama mwanzo?
 
Jamaa hakumwelewa wala nini na frontman alikuepo mitaa ile ile.
 
Hii series ni balaa asee na sehemu iliyonifurahisa ni pale kwenye vi biscuit unachonga ili ukatoe kwenye umbo lake, ukikosea tu unapewa 😅😂😂 star wetu kapata mwamnvuli akasema leo nimekufa!?? Nilicheka balaa
 
Vipi kwenye goroli
Hiyo scene ilinisikitisha sana kuliko scenes zote,

Walivyochaguana partners wakijua ndio kusaidiana kumbe ndio ilikua mbaya zaidi kwao maana bora wangekua mbali mbali,
Yule mtu na mkewe daah mwanamke akafa,

Ali alikufa kwa ujinga wake tu me hata sikumuonea huruma, game ya kufa na kupona bado unadanganyika kizembe vile,

Yule jamaa alivyokua anamdhulumu yule mzee huku roho inamuuma, mzee kumbukumbu zilikua zinapotea (ingawa alikua anajifanyisha)

Wale wadada wawili ambapo mmoja ilibidi amuache mwenzie aishi sababu ana mdogo na mama wa kuwaangalia na yeye akijiona ni Yatima,

Kilichonishangaza kwanini hao wote walidhani wangebaki na kwenda kutumia pesa zao pamoja wakati Game inahitaji Mshindi MMOJA tu!?

Nilicheka walivyorudi ndani na kumkuta yule Mama kitandani anacheka tu huku wao wakijua aliuliwa baada ya kukosa partner.
 
Ni kweli kabisa, maana production companies waliona kama ni idea ambayo imekaa kitoto sana, kumbe hawakujua, hawakujuaa[emoji23]
Hapana mm namaanisha sio kweli kwamba ilikataliwa bali ni Uvumi tu ili Movie iuzwe.ni sawa na wanamuziki wanapohojiwa na kusema kuwa huu wimbo nimeutungia Studio..Mara nyingi sio kweli!!!
 
Hii series ni balaa asee na sehemu iliyonifurahisa ni pale kwenye vi biscuit unachonga ili ukatoe kwenye umbo lake, ukikosea tu unapewa [emoji28][emoji23][emoji23] star wetu kapata mwamnvuli akasema leo nimekufa!?? Nilicheka balaa
Mimi narudia hiyo sehemu kila mara..lile pozi la kuchonga mwamvuli aisee I can't get enough of it..nacheka na anavyotetemeka we acha
 
Hapana mm namaanisha sio kweli kwamba ilikataliwa bali ni Uvumi tu ili Movie iuzwe.ni sawa na wanamuziki wanapohojiwa na kusema kuwa huu wimbo nimeutungia Studio..Mara nyingi sio kweli!!!
Wenzetu sio waongo waongo..hawahitaji hayo mambo ya kiki. Korea uaminifu ni kitu kikubwa na ndio maana hata ukikosea leo/ukidanganya na ikapita hata miaka 10 ikaja kufahamika ukweli basi wanahakikisha kila ulikitengeneza kupitia huo uongo kinaondoka.
 
Back
Top Bottom