Main theme ya "Squid Game" ni "Can You Still Trust Anybody to be Good After Everything You've Been Through?"

Kuna maudhui nyingi Sana kwenye hii series.

Kwa mtazamo wangu yule jamaa hakupewa ushindi na yule kikongwe
 
Hapa umetupiga ndugu
 
Mimi narudia hiyo sehemu kila mara..lile pozi la kuchonga mwamvuli aisee I can't get enough of it..nacheka na anavyotetemeka we acha

Afu sang woo kwenye hio scenes ailshafahamu mchezo unaokwenda kutokea ,kama unakumbuka alimuuliza yule dada kama ameona chochote wakati alivyoenda chooni kuchungulia ,akamjibu ameona wanayeyusha sukari....wakati wanaangalia maumbo akukmbuka mchezo unavyo chezwa lkn hakumwambia mshikaji wake hata baada ya kuulizwa umegundua chochote akimjibu hapana
 
Hii series ni balaa asee na sehemu iliyonifurahisa ni pale kwenye vi biscuit unachonga ili ukatoe kwenye umbo lake, ukikosea tu unapewa [emoji28][emoji23][emoji23] star wetu kapata mwamnvuli akasema leo nimekufa!?? Nilicheka balaa
Mwamvuli ilikuwa balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mate yalimsaidia sana.

View attachment 1984360
 
Ahahaha, yule mama alitisha sana, aliwadolishia sana[emoji1787]
 
 
Hii series ni balaa asee na sehemu iliyonifurahisa ni pale kwenye vi biscuit unachonga ili ukatoe kwenye umbo lake, ukikosea tu unapewa πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚ star wetu kapata mwamnvuli akasema leo nimekufa!?? Nilicheka balaa
Sio kwamba ilikuwa ni sukari mkuu biskuti ukilamba vile si itateketea mwishowe upigwe shaba..🀣

Kuna mwamba alipata umbo la mwamvuli akajitahidi akaitoa lakini ikavunjika kule mwishoni kakipande kadogo akaona msinitanie akaanza kukimbia! Hata hakufika mbali yani mule watu wanakufa kama njugu!.
 
Wenzetu sio waongo waongo..hawahitaji hayo mambo ya kiki. Korea uaminifu ni kitu kikubwa na ndio maana hata ukikosea leo/ukidanganya na ikapita hata miaka 10 ikaja kufahamika ukweli basi wanahakikisha kila ulikitengeneza kupitia huo uongo kinaondoka.
Jamaa anadhani wale pia wanaishi kwa kiki kama bongo, namuambia ni kweli ilikataliwa lkn hataki kuamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…