Main theme ya "Squid Game" ni "Can You Still Trust Anybody to be Good After Everything You've Been Through?"

Mkuu hii movie inakufunza maisha real.. katika maisha hata wewe huwezi kubaki tu nyumbani bila kufanya kazi mahitaji yako utayatimiza vipi..?
Life is racing kila siku unaamka kwenda kupambana na haujui utapata au utakosa.. wapo watu wanachoresha ramani za wewe kupata fedha na kuitumia na usiijaze ili kesho wakakosa mtu wa kumtumia.
 
Jamaa aliamua kufa na mmoja wao[emoji3]
 
Mimi narudia hiyo sehemu kila mara..lile pozi la kuchonga mwamvuli aisee I can't get enough of it..nacheka na anavyotetemeka we acha
Yule kenge aligonoka si mchezo unachezea bunduki wewe! Ila niliowahurumia zaidi waliochagua nyota na mwamvuli!! Waliokuwa na uhafadhari ni wenye umbo pembe tatu na duara.
 
Matukio mengi ktk hii movie yanamaana Sana ktk maisha halisi na namna watu wengine wenye kuona mbali wanavyo tengeneza fedha kupitia maskini.. Ni muhimu kuangalia system za maisha yetu it kutumbukia kwenye mitego ya watu wakubwa wenye fedha zao kisa driving forces tulizonazo but nyengine ni natural driving forces Kama jamaa aliechukua mtonyo aliachwa na mwanamke kisa hana fedha hivyo mtoto wake alilelewa na baba wa kambo!,hii ilimuuma sana jamaa pia mama yake alikuwa anaumwa na nimzee jamaa nae hakuwa na mishe ya kuingiza fedha na anamadeni lukuki mpk anapewa visago..😅

Kwa mazingira haya lazima mtu wakufanye mbuzi wa sadaka.
 
Wenzetu sio waongo waongo..hawahitaji hayo mambo ya kiki. Korea uaminifu ni kitu kikubwa na ndio maana hata ukikosea leo/ukidanganya na ikapita hata miaka 10 ikaja kufahamika ukweli basi wanahakikisha kila ulikitengeneza kupitia huo uongo kinaondoka.
upo
 
Ila netflix series zao lazima wahusishe sex scene na ushoga..mnakumbuka yule mpuuzi kule chooni alivyomla mtu..na wale VIPs mmoja wao alivyotaka kum.fira jamaa yule askari..Hivi wakuu kwahiyo hatima ya lile chimbo kule kisiwani itakuaje..
 
Hapana hawakukujua kama mshindi ni mmoja
 
Aisee
 
Ila netflix series zao lazima wahusishe sex scene na ushoga..mnakumbuka yule mpuuzi kule chooni alivyomla mtu..na wale VIPs mmoja wao alivyotaka kum.fira jamaa yule askari..Hivi wakuu kwahiyo hatima ya lile chimbo kule kisiwani itakuaje..
tusubiri season two. hivi waliokuwa wakifanya biashara haramu ya viungo ni wakina nani???

pia hivi yule askari jasiri alikufa ule muda alivyo pigwa risasi baharini????

front man
 
Wakorea hii series imewainua sana sana, wameonesha uwezo kwamba they can act anything na bado waka-make it.
 
Ila netflix series zao lazima wahusishe sex scene na ushoga..mnakumbuka yule mpuuzi kule chooni alivyomla mtu..na wale VIPs mmoja wao alivyotaka kum.fira jamaa yule askari..Hivi wakuu kwahiyo hatima ya lile chimbo kule kisiwani itakuaje..
Lile chimbo bado lipo na analisimamia Front Man.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…