Tatizo vijana wa siku hizi akiajiriwa anataka awe na gari kali na nyumba ndani ya Mwaka.
Yaani unakuta kuanzia top boss Hadi mtu wa chini anawaza kupiga tu.
Tatizo vijana wa siku hizi akiajiriwa anataka awe na gari kali na nyumba ndani ya Mwaka.
Yaani unakuta kuanzia top boss Hadi mtu wa chini anawaza kupiga tu.
Walifanya haya unayoyaona sasa hivi au labda hapo ulipo hakuna mradi wowote wa maji kama haupo kuna maeneo ipo.Halafu unajua wastaafu wengi waliajiriwa enzi za awamu ya 1 na 2 upigaji haukuwepo
Mama Samia ukipita hapa hawa mainjia wa maji hasa kwa pale Dodoma %kubwa wana majibu ya shombo sijapata kuona weka watu wako wafuatilie kwa karibu ni tatizo kubwa.