Mainjinia wa Maji wa Mikoa watakuwa wameenda field usiku huu kuhakikisha sehemu zote hatuna shida ya Maji

Mainjinia wa Maji wa Mikoa watakuwa wameenda field usiku huu kuhakikisha sehemu zote hatuna shida ya Maji

Hao wastaafu walifanya ya maana yapi Hadi warudishwe kazini kwa mkataba.?.

Hao ndio walikuwa wapigaji wakubwa enzi zao.
Walifanya haya unayoyaona sasa hivi au labda hapo ulipo hakuna mradi wowote wa maji kama haupo kuna maeneo ipo.Halafu unajua wastaafu wengi waliajiriwa enzi za awamu ya 1 na 2 upigaji haukuwepo
 
Mama Samia ukipita hapa hawa mainjia wa maji hasa kwa pale Dodoma %kubwa wana majibu ya shombo sijapata kuona weka watu wako wafuatilie kwa karibu ni tatizo kubwa.
 
Back
Top Bottom