Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
- Thread starter
- #21
Tunaishi na kuwaza mafanikio makubwa bila kuwa na mikakati ya kufikia ndoto hizoTatizo vijana wa siku hizi akiajiriwa anataka awe na gari kali na nyumba ndani ya Mwaka.
Yaani unakuta kuanzia top boss Hadi mtu wa chini anawaza kupiga tu.