Uchaguzi 2020 Maisha Baada ya Uchaguzi: CCM won the Battle and lost the War

MALIPO YA DHULUMA NI LAANA NA KIFO

LAANA YA MUNGU IWAPATE WOTE WALIOSHINDA KWA DHULMA NA WIZI

BARAKA ZA MUNGU ZIAMBATANE NA WALIOSHINDA KIHALALI NA WALIO TAYARI KUWATUMIKIA WANANCHI
 
MALIPO YA DHULUMA NI LAANA NA KIFO

LAANA YA MUNGU IWAPATE WOTE WALIOSHINDA KWA DHULMA NA WIZI

BARAKA ZA MUNGU ZIAMBATANE NA WALIOSHINDA KIHALALI NA WALIO TAYARI KUWATUMIKIA WANANCHI
Laana unaijua wewe. ..endeleeni kujifariji
 
tutulize munkari Watanzania wenzangu, nchi hii bado ni changa sana haijafikia kuongozwa mnavyotaka, upinzani umeshauliwa rayari tusubiri miaka 50 mbele ndo tutaongea habari ya kuongozwa na upinzani.
 
Tanzania ni nchi inayotawaliwa kwa misingi ya kishetani; so sishangai kwa kilichotokea.
 
Kuna walevi fulani walisikika wakisema safari hii hatuibiwi kura hata moja tunapiga kura na kuzilinda.

Na kwa idadi hii kwenye mikutano yetu ni dalili kubwa lazima Ni Yeye achukue nchi.

Sasa hivi wanalialia sijajua malengo yao ni kuhitaji huruma kutoka kwa nani.

Mitano tena inaendelea kama kawaida.
 
Mimi ninafikiri Africa tuna laana. Sina jibu lingine. Maana yaliyofanyika Tanzania yanafanyika Zimbabwe , Uganda, Burundi, na kwingineko.
 
Wahuni saccos mmebaki mitandaoni tu, endeleeni kubwabwaja Kama huyo mbwatukaji wenu aliyekimbilia ubalozini kukimbia kesi wakati anajiita mwanasheria masomi huku akisaidiwa na beberu lake Amsterdam.
 
Mbwatukaji kawakimbia kazama ubalozini.
 
Watanzania gani walioamua haya matokeo? Wa wapi? Acha unaa bhana.
 
Uchaguzi umeisha tujenge nchi,,mambo ya wizi wa kura nenda mahakamani kama una ushahidi
 
Hapana, haitatumika kabisa kwani mingi haitaisha.

Itakayoisha itatumika below capacity yake na kuwa hasara. Mfano ATCL.

Hizo Mega Projects ni white elephants ambazo kwa hali ya kifedha na kihuduma nchi yetu ingeweka nguvu kwenye vipaumbele vingine.

Hili nimelisema sana, Magufuli hana uwezo wa kupata 10t+ ndani ya hii miaka mitano kumalizia hiyo miradi miwili ya SGR & SG respectively. Ataumiza wananchi kwa kodi kandamizi, na atalazimisha kubaki madarakani kwa kisingizio cha kutaka kumalizia miradi yake, na wala hataweza. Wakati akifanya hayo atatengeneza maadui wengi wa ndani na nje, na ataona madarakani ni sehemu pekee ya kufia. Sioni akiachia madarakani kwa amani.
 
Uchaguzi umeisha tujenge nchi,,mambo ya wizi wa kura nenda mahakamani kama una ushahidi

Mahakama zenyewe ni sehemu ya huu wizi unaondelea, na matokeo ya urais hawapelekwi mahakamani.
 
Wahuni saccos mmebaki mitandaoni tu, endeleeni kubwabwaja Kama huyo mbwatukaji wenu aliyekimbilia ubalozini kukimbia kesi wakati anajiita mwanasheria masomi huku akisaidiwa na beberu lake Amsterdam.

Hana kesi yoyote zaidi ya maagizo ya dictator kumsumbua.
 
Mediocrity (Sabaya, Makonda, Mambosasa, Polepole, Kabudi et al) is the order of the day. Short-termism is the norm.
You nailed it. Said it all. You forgot naming Ndugai, Tulia and CAG Kicheere.
 
Nchi inaingia kwenye giza kubwa na kuishi mawazo ya mtu mmoja tu ambaye si mwerevu.
...this must be everyone's concern. Shall we survive living under the leadership of someone's personal feelings rather than wisdom?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…