Congressman
JF-Expert Member
- Jun 2, 2020
- 781
- 2,305
Inasikitisha sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is how we can live.Media zimefungwa, unasikia tu habari ya upande wao tu, mpka unajiuliza kwani hawakuwa na upinzani?
JK na Mfumo walifanya kosa kubwa sana 2015, yaani kosa kubwa sana kwa Taifa letu, naona giza mbele
Kwasababu miradi pia itakuja kutumika na watu wa nje
Dah, Huyu jamaa anatia hasiraHuna akili timamu
Na ndugai alishajiapizaThey had no reasonable option.
Only way to rig then was to get the Sukuma votes. Otherwise Lowassa angewapa shida.
Sasa wote wanajuta.
Aah kwahio barabara ya Tazara imefungwa na pale ubungo siku hizi tunazungukia kinyereziHapana, haitatumika kabisa kwani mingi haitaisha.
Itakayoisha itatumika below capacity yake na kuwa hasara. Mfano ATCL.
Hizo Mega Projects ni white elephants ambazo kwa hali ya kifedha na kihuduma nchi yetu ingeweka nguvu kwenye vipaumbele vingine.
Hapa mtaani nawaona, wengi ni wamama ambao kutwa kucha wanatozwa pesa kila wakienda hospitali kupata huduma, vijana walevi ambao maisha yao ni kula mirungi tu, yani huoni mtu wa maana akishangilia, sijui banaWanaoshangilia ushindi wa namna hii ni wasioona mbali ni wachumia tumbo. mtoa mada ameona mbali lakini hawa wanaokejeli hawajui wanachokejeli maana gharama ya uchaguzi huu kwa jamii ya kitanzania ni kubwa. Uchaguzi huu umewaachia watanzania chuki, hasira na sononeko kubwa.
Wacha wakakae wenyewe bungeni,Na ndugai alishajiapiza
"ktk bunge lijalo tutakua 100% wenyew, atake asitake tutaondoa ukomo"
Giza nene kwa kwel
Wanaoshangilia ushindi wa namna hii ni wasioona mbali ni wachumia tumbo. mtoa mada ameona mbali lakini hawa wanaokejeli hawajui wanachokejeli maana gharama ya uchaguzi huu kwa jamii ya kitanzania ni kubwa. Uchaguzi huu umewaachia watanzania chuki, hasira na sononeko kubwa.
Mkuu kukaa kimya ni kuzuri kwa nyakati kana hizi. Na ubaya ni kwamba huwezi kufuta hiki ulichoandika!Chadema ni watu wasio na staha kabisa , watu wafedhuli , wapenda matusi tuuu, inasikitisha Sana hata mode walikuwa upande wao daily kupigana ban ovyo ovyo just to defend their cowardnes , nashukru Wananchi wamewanyoosha ipasavyo ...hawa watu siwez wahurumia hata kdogo very ridiculous....
Its will be fun to watch Raia Wanyonge wakizidi unyonge.Wakandarasi wa hii miradi wote ni wa nje. Wafanyakazi wazawa wengi ni casual laborers tu.
Unakusanya kodi kwa asilimia kubwa kwa shilingi, miradi unalipa kwa dola kwa kampuni za kigeni.
Hapo nusu ya makusanyo ni kulipa madeni ambayo pia ni dola, euro n.k.
Kwa sababu umeongeza waimba kwaya wa kusifu na kuabudu gharama za kuendesha serikali nazo zitaongezeka.
Tutakuja hapa kutafutana mchawi wetu nani.
Aah kwahio barabara ya Tazara imefungwa na pale ubungo siku hizi tunazungukia kinyerezi
Basi sawa, sote tukubaliane kwamba wamefutiliwa mbali, halafu?Mkuu kukaa kimya ni kuzuri kwa nyakati kana hizi. Na ubaya ni kwamba huwezi kufuta hiki ulichoandika!
Hivi unasema kabisa kwamba unashukuru kwa wananchi kuwafutilia mbali Chadema! Au ulimaanisha wananchi wa Tume ya uchaguzi, PoliCCM, JWTZ na TISSccm?