Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Umesema umesoma biblia pia, Ungekua umesoma usingeandika kitu kama hikiYani kuhitaji kufuata kanuni yoyote nako ni uthibitisho kuwa Mungu hayupo.
Hili ni jambo ambalo, katika ulimwengu ambao Mungu huyo yupo, lilitakiwa kuwa guaranteed default ambalo halihitaji uamuzi wowote.
Ukishaona habari za kufuata kanuni ujue hilo ni changa la macho la kuficha ukweli kuwa Mungu hayupo.
Mambo yanahitaji kanuni kwa sababu Mungu hayupo.Ni jambo gani Duniani halihitaji kanuni ???????
Hata wewe kufanikiwa kwenye maisha utahitaji kanuni za kufuata
Biblia imejaa contradictions.Umesema umesoma biblia pia, Ungekua umesoma usingeandika kitu kama hiki
Ndio maana nmesema mimi sio mdau wa hivyo vitabuBiblia imejaa contradictions.
Nikikuwekea hapa huwezi kumaliza kuzitatua.
Huu ni mtazamo wako, Wewe umeamua kuishi kwa kufuata mitizamo yako binafsiMambo yanahitaji kanuni kwa sababu Mungu hayupo.
Tunahitaji kusoma na kujifunza mambo kwa kanuni, kwa tabu kubwa, kwa sababu Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Angekuwepo, Mungu huyu asingependa viumbe wake wataabuke ili kujua mambo, angewapa ujuzi tu wajue mambo bila kutaabika.
Na cha msingi kabisa, angetupa ujuzi kuhusu uwepo wake, kwa namna ambayo kika kiumbe angemjua vizuri, bila utata, na hata mjadala huu wa Mungu yupo au hayupo, usingewezekana kufanyika.
Ukishaona mjadala wa kubishana Mungu yupo au hayupo tu, mjadala huo wenyewe ni uthibitisho Mungu hayupo.
Mungu angekuwepo, mjadala huo usingewezekana kuwepo.
Yani mimi na wewe kubishana kuhusu Mungu yupo au hayupo ni uthibitisho kwamba Mungu hayupo.
Na 7navyozidi kubisha kunielewesha Mungu yupo, ndivyo unavyozidi kuthibitisha Mungu hayupo.
Angekuwepo, usingehitaji kunielimisha, Mungu mwenyewe angejidhihirisha kwangu kwa namna ambayo wewe usingehitaji kuthibitisha lolote.
Unaji contradict.Ndio maana nmesema mimi sio mdau wa hivyo vitabu
Hapana, huu si mtazamo wangu, hii ni mantiki, logic.Huu ni mtazamo wako, Wewe umeamua kuishi kwa kufuata mitizamo yako binafsi
Upo sahihi 🤝
Mkuu kuna msemo unasema "No research no right to say"Smartkahn
Ukishaona kuna watu hawamuamini Mungu fulani anayedaiwa kuwa ni mjuzi wa yote, mwenye uwezo wotena upendo wote, huko kutomuamini ni ushahidi kwamba huyo Mungu hayupo.
Angekuwepo, kwa sifa zake hizo za ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote, kila mtu angemjua vizuri kabisa na kumuamini kwa namna ambayo mjadala wa Mungu kuwapo au kutokuwapo usingeweza kufanyika.
Yani ukiona utata katika uelewa juu ya kuwepo kwa huyo Mungu tu,maana yake ni kwamba huyo Mungu hayupo, angekuwepo, kusingekuwa na utata popote, kwa ntu yeyote, muda wowote.
Huelewi kipi hapo?
Roho ni nini na unaweza kuthibitisha kuwa ipo?Mkuu kuna msemo unasema "No research no right to say"
Je Wewe binafsi umeshawahi kufanya jitihada zozote za uwepo wa Mungu kwa kuzingatia kigezo cha Roho Mtakatifu na imani ukiachilia mbali mafundisho ya nyumba za ibada!?
============================
Usiku wa Leo nimestuka usingizini baada ya kuota nipo na CANTER mbovu imechoka balaa kila nikijitahidi kuiendesha inanishinda nikirekebisha hiki kinaregea kingine nikiweka sawa hiki kile kinavurugika, ghafla ndoto ika-shift Nikajikuta nipo na pikipiki hio ndio imechoka zaidi nilikua nataka kuitumia sasa kila nikipakia mzigo stand inatenguka pikipiki liko legelege nimeangaika nalo weee!? Nikachemka kufanya nilichokua nakifanya nikiwa nimechoka na nimekata tamaa, wazo likanijia niombe msaada kwa watu wazuefu wakutengeneza hizi pikipiki(hapa wazo lilibadilisha ndotoni kua sio kukitumia /kuendesha tena pikipiki ile bali kukitengeneza) wakati huo najiwazia moyoni kwanini nahangaika/nang'ang'ana ilihali mimi sio fundi /mtaalam /mzoefu na haya mambo. Nikiwa nimechoka nakukata tamaa watu mbalimbali waliokua wananiangalia pale nikiwa na wazo la kuomba msaada kwa wazoefu nikastuka.
Sina uhakika saana na maana yake ila nadhani nilikua na hallucinate tu.
Chukua muda wako kujifunza, Utapata maarifa mengiRoho ni nini na unaweza kuthibitisha kuwa ipo?
Maana isije kuwa umeshindwa kuthibitisha uongo mmoja (kuwa Mungu yupo), unachomekea uongo mwingine (kuwa Roho ipo).
Mimi kuhitaji kujifunza ili kumjua Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote nako ni uthibitisho kwamba Mungu huyo hayupo.Chukua muda wako kujifunza, Utapata maarifa mengi
Wewe kinachokusumbua ni kuwa hauna maarifa kuhusu haya mambo,
Kama kila kitu ungekua unahitaji uthibitisho kwanza kabla ya kujifunza nna uhakika hata sayansi usingekuja kuielewa, Lakini ulikubali kwanza kujifunza ukapata maarifa kisha ukaielewa.
Wengi huangamia kwa kukosa maarifa mkuu. Mtu asiyeelewa Roho,Nafsi na Mwili vinatendaje kazi ni wa kuachana naye anakupotezea mudaChukua muda wako kujifunza, Utapata maarifa mengi
Wewe kinachokusumbua ni kuwa hauna maarifa kuhusu haya mambo,
Kama kila kitu ungekua unahitaji uthibitisho kwanza kabla ya kujifunza nna uhakika hata sayansi usingekuja kuielewa, Lakini ulikubali kwanza kujifunza ukapata maarifa kisha ukaielewa.
Kwa hiyo huyo Mungu alionekana Goba tu, ukamuona wewe mwenyewe?Nlimuona Goba tarehe 12/12/1997
Kuangamia kivipi?Wengi huangamia kwa kukosa maarifa mkuu.
Kwanza thibitisha uwepo wa hiyo roho na nafsi kisha ndio uelezee utendaji kazi wake?Mtu asiyeelewa Roho,Nafsi na Mwili vinatendaje kazi ni wa kuachana naye anakupotezea muda
Habari wana-JF!
Najua huu uzi wafia dini watausoma kwa kusonya ila ndiyo hivyo inabidi tuvumiliane tu.
Mimi nimekulia katika Ukristo, sijaukana ila nimeliacha kanisa kimyakimya. Baada ya kuanza kukua na kujitambua nilikuwa na maswali mengi sana juu ya nadharia zote kumuhusu Mungu na maswali yangu yote yalikuwa hayana majibu yaliyonyooka.
Baada ya udadisi wa muda mrefu nikafikia hitimisho kuwa "hakuna Mungu" kwasababu angekuwepo na majibu ya maswali yangu yangekuwepo.
Uwanda wa imani ni mpana ila ukiwa ndani ya imani chini ya tawi la dini ni mwiko kudadisi uwepo wa Mungu, huko ni "ndiyo" tu hakuna kuhoji.
Maisha baada ya kulikimbia kanisa yamekuwa na amani kwasababu:
1. Maisha yangu yapo mikononi mwangu.
2. Sina hofu juu ya kifo wala kuzimu kwasababu siamini hadithi za maisha baada ya kifo.
3. Naishi kwa kufuata katiba na sheria za nchi na si vinginevyo.
4. Siishi maisha kwaajili ya kumpendeza yoyote au kitu chochote.
5. Napata muda mwingi wa kufanya mambo ya msingi, siku ya Jumapili kwangu ni kama siku nyingine ya wiki.
6. Badala ya kuhangaika kutafuta maarifa ya maisha ya mbinguni (kusoma biblia), natafuta zaidi maarifa yatakonisaidia kwenye maisha ya hapa duniani maana ndiyo sehemu pekee ninayothibitisha ni ya kweli.
7. Najiheshimu. Kwangu kulia na kuomba msaada kwa M(i)ungu ni kutojiheshimu kama binadamu.
8. Nikipata matatizo sikai chini kuomba na kusubiri miujiza badala yake natumia maarifa niliyonayo kutafuta ufumbuzi.
9. Siishi kwa matumaini ya kuzawadiwa uzima wa milele.
10. Nimepishana na utapeli. Kama wanavyosema "wajinga ndiyo waliwao".
Siamini kama kweli Mungu yupo, lakini kama yupo hawezi kuwa mjinga kama anavyoelezewa kwenye vitabu vya dini.
Mungu hayupo, lakini kama angekuwepo hastahili utukufu wala unyenyekevu kutoka kwangu.
The sweet, sweet relief of knowing I'm going to hell no matter what I do! 🙃
Lengo la mnyama 666 limetimiaHuyo Mungu Alishindwaje kuumba binadamu wasio wapumbavu?
Uwepo wa binadamu wapumbavu, wasio mtambua muumba wao kama Mungu wao,
Ni uthibitisho tosha kwamba huyo Mungu muumba, Kazi yake ya uumbaji ina dosari na kasoro kwa kuumba binadamu ambao ni wapumbavu.
Na automatically Mungu huyo ni Mpumbavu vilevile kwa kuumba binadamu wenye upumbavu uliotokana na kazi yake ya uumbaji
Iv Ile hali unakua umelala usiku alaf ghafla tu ukaanza kuhisi kama Kuna kitu hakipo sawa mara kidogo unajiona huna uwezo wa kutingisha kiungo chochote Cha mwili wako alaf hata ukitoa sauti ya kuomba msaada inakua kama unajiskia peke ako tuKuangamia kivipi?
Kwanza thibitisha uwepo wa hiyo roho na nafsi kisha ndio uelezee utendaji kazi wake?
Kuna mwislam anaitwa Dr Zakir naik aliwahi kusema uki fata Kila kilicho fundisho la yesu basi inshallah unaenda mbinguni.Lengo la mnyama 666 limetimia
Kwanza mnyama 666 anakuingizeni katika dini yake ya uongo ambayo ni ukristo
Kisha unajiongeza mwenyewe kuongeza makufuru
Hata siku Moja hauwezi kukumkuta mtoto aliyezaliwa na kulelewa katika uislam aje kusema na kuamini kuwa hakuna Mungu
Haya yanayokukuteni ni matokeo ya kudanganywa na Wazungu na ndio lengo lao
Poleni sana wakristo Jahannam inakusubirini Kwa hamu kabisa
Yupo sahihi Kwa sababu Yesu dini yake ni uislam na Mungu wa Yesu ni AllahKuna mwislam anaitwa Dr Zakir naik aliwahi kusema uki fata Kila kilicho fundisho la yesu basi inshallah unaenda mbinguni.
Mungu kajifunua kwa namna mbili au tatu:Kwa sababu, Mungu huyo angekuwapo, angejiweka wazi kwa kila mtu amjue by default bila kuhitaji kujifunza.