Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Hakuna mbinu ya kuelezea kitu ambacho hakipo.

Kwa sababu hakipo kwa mbinu au namna yoyote ile ya kuelezeka.
Sasa hivi sayansi imefikia mbali pia,
Mambo ambayo wewe na mwenzako Kiranga pamoja na wengineo mnasema hayapo na hayamake sense

Wanasayansi wanaona ina make sense na wanayafanyia tafiti sasa hivi kila uchwao

Sasa wewe jamaa unayetokea shitombo unakuja na majibu mepesi kwamba vitu kama roho havipo na uwezekano wa kuwepo hakuna, Nakuona ni mtu uliyepagawa
 
Hoja yangu ya msingi hapa, ni kwamba je kwani ukiamini kama Mungu yupo unapungukiwa na nini
 
Umeishiwa hoja unaanza Viroja

Jikite kwenye mada.

Thibitisha uwepo wa huyo Mungu unayedai yupo.

Mnahangaika sana kumwelezea na kumuongelea Mungu ambaye hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea mwenyewe wala kujidhihirisha mwenyewe kwamba yupo.

Kwa nini uhangaike kumuongelea Mungu ambaye yupo?

Kwanza huyo Mungu angekuwepo kusingekuwa hata na haja ya kuhoji uwepo wake au kubishana uwepo wake.

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe yupo na kujiongelea yeye kama yeye.

Sio nyie kuhangaika kumuelezea.
 
Hakuna mbinu ya kuelezea kitu ambacho hakipo.

Kwa sababu hakipo kwa mbinu au namna yoyote ile ya kuelezeka.
Sasa kama hapa nikujibu nini ? Maana naona unaruka ruka mule mule alafu unaona kama ni hoja za maana

Unaandika vitu havieleweki na unarudia rudia wakati maswali nayokuuliza hakuna kitu cha maana unachojibu
 
Hoja yangu ipo kwenye maswali yangu, Sijapata majibu kutoka kwako

Msingi wa maswali ni kupata majawabu, Lakini maswali nliyokuuliza sijapata hayo majibu zaidi ya viroja na vitimbwi

Umejuaje na una uhakika gani kuwa Mungu hashikiki ? Umejuaje kuwa hayupo ?

Umewahi kwenda mbinguni ulimkosa ?
 
Huko mbinguni ni wapi?

Wewe unayedai huyo Mungu yupo, Ulishawahi kwenda huko mbinguni ukamuona huyo Mungu?

Au unaleta stori zako na hadithi za kusadikika?
 
Sasa kama hapa nikujibu nini ? Maana naona unaruka ruka mule mule alafu unaona kama ni hoja za maana

Unaandika vitu havieleweki na unarudia rudia wakati maswali nayokuuliza hakuna kitu cha maana unachojibu
Huja thibitishia huyo Mungu yupo.

Halafu unataka kuuliza maswali kwa kitu ambacho hakipo !!

Hivi wewe uko timamu kweli huko kichwani mwako?
 
Huko mbinguni ni wapi?

Wewe unayedai huyo Mungu yupo, Ulishawahi kwenda huko mbinguni ukamuona huyo Mungu?

Au unaleta stori zako na hadithi za kusadikika?
Una uhakika gani kuwa ni hadithi za kusadikika ?

Kuna Galaxy mabillion ipi kati ya hizo umewahi kufika ulimkosa ?

Mimi nasafiri kiroho kwenda popote nkufundishe na wewe ?
 
Huko mbinguni ni wapi?

Wewe unayedai huyo Mungu yupo, Ulishawahi kwenda huko mbinguni ukamuona huyo Mungu?

Au unaleta stori zako na hadithi za kusadikika?
Una uhakika gani kuwa ni hadithi za kusadikika ?

Kuna Galaxy mabillion ipi kati ya hizo umewahi kufika ulimkosa ?

Mimi nasafiri kiroho kwenda popote nkufundishe na wewe
Huja thibitishia huyo Mungu yupo.

Halafu unataka kuuliza maswali kwa kitu ambacho hakipo !!

Hivi wewe uko timamu kweli huko kichwani mwako?
Hilo swali ilibidi utafute kioo ujiangalie then ujiulize wewe, Kuwa upo timamu kweli ?

Maana unaleta sarakasi zako humu huwezi kujibu maswali unaforce vimajibu vyako uchwara havina muelekeo
 
Hiyo No 2 ni uongo mkubwa sana, hakuna asiye na uoga wala hofu na kifo!! Hata wanyama hawana dini ila huwa na hofu ya kifo, wewe ni nani usihofie kifo!!
 
DINI INATUWEKA MBALI NA MUNGU βœ…
DINI NI BIASHARA βœ…
HAKUNA MUNGU ❌ HAPO SIKUBALIANI NA WEWE
 
Pole sana kwa kupotea mazima.
 
Hongera sana kwa kujivua utumwa wa dini.

Karibia wote tumekulia kwenye utumwa wa uongo wa wazungu na waarabu (dini)..kujitoa huko ni utimamu wa akili ya mtu.
Ndugu, kila kitu huwa na chanzo then kinaenezwa kote, ulianza fika kwa wenzetu then tukapata nasi. Utumwa uko wapi mwamini MUNGU tu utaishi
 
Ndio maana nikakwambia masuala ya Mungu ni next, advanced level/scope nyingine hauwezi kulinganisha na phenomena za duniani.

Ni sawa sawa na kufananisha maumivu ya kung'atwa na n'nge na maumivu ya mapenzi.

Mimi nina experience ya ninachokwambia... najaribu kufungua box utoke nje wewe unaishia kupinga.

Mimi ninafikiri uthibitisho ulio bora zaidi ni ule wa kushuhudia wewe mwenyewe na sio kuelekezwa, especially katika suala hili.

Mkuu, Don't take it for granted... IMANI ni msingi na ni gateway/portal kwa yale unayodhani hayapo au hayawezekani.

Note: Ushanielewa context ya ninachokizungumzia ila umeamua tu kusimama katika misimamo yako, that's good spirit though.

Kwa msimamo/na attitude uliyonayo nina uhakika hauwezi hata kuthubutu kujaribu imani inafanya kazi (hutakua na muda huo) labda nyakati zibadilike,

Hili nilijua kupitia ndoto hii. πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Mkuu mimi sina la ziada.
 
DINI INATUWEKA MBALI NA MUNGU βœ…
DINI NI BIASHARA βœ…
HAKUNA MUNGU ❌ HAPO SIKUBALIANI NA WEWE
Tatizo linaanza Watu wanapochanganya Nguvu Kuu ya asili(Mungu) na Dini.

Dini zinamapungufu kwasababu binadamu anaweza kuingiza mawazo yake.

Siku hizi dini inatumika kwa malengo mbalimbali sio kwaajiri ya Mungu tu.
 
Hujathibitisha huyo Mungu yupo unaruka ruka tu.
 
Ndugu, kila kitu huwa na chanzo then kinaenezwa kote, ulianza fika kwa wenzetu then tukapata nasi. Utumwa uko wapi mwamini MUNGU tu utaishi
Utumwa ni wewe kudhibitiwa au kupangiwa maisha yako na dini uliyoletewa na watu wa jamii nyingine, wakati huo huo wakikuaminisha kwamba utamaduni wako ni wa kishenzi na usiofaa.
Mfano:
  • Una majina yao na si ya kwenu. (Wanasema ya kwenu ni ya kichawi)
  • Wamekuambukiza chuki zao nawe wachukiana na watu wa kwenu wasioamini mafundisho ya hao mabwana.
  • Huwezi hata kumuoa mtu uliyekua naye mtaa mmoja na unampenda kisa tu, dini za kuja.

Huu ni utumwa ndugu yangu.

Yapo mengi. Wacha tukomee hapa.

Tanbihi: Sihitaji kumuamini mungu wa mwarabu, myahudi wala mzungu ili niishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…