Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

Sasa kama havipo ina maana na akili haipo, kama akili haipo unakubali kua wewe huna akili (maana umesema haipo) , je unakubali hilo kwanza kisha nikupe prof ya uwepo wa akili na Mungu?
Akili haipo katika uhalisia bali ni dhana ya kufikirika tu.

Mimi siwezi kusema nina Akili kwa vile hiyo akili ni dhana ya kufikirika tu.

Sasa wewe Thibitisha kwamba una Akili maana umesema unayo na unaweza kuthibitisha kwamba unayo.
 

Najua nini unapitia, najua hata ukipewa ushauri hautausikiliza maana haukufai.
Niseme tu Sikio la kufa ndo halisikii dawa
Usitake kupita njia ngumu nenda hospitali watakupa dawa uendelee kula maisha kijana
 
Nimesema wapagani hawazikwi? Ukanikosoa hapaπŸ‘‡

Sasa nataka unisaidie mpagani ni mtu gani?
Pagani ni neno la kilatino lilianza kutumika kwa wale watu waliofuata dini zao za asili na sio ukristo , waliitwa hivyo na waliuawa vikali na wengine walilazimishwa kuwa wakristo kwa nguvu ya mkuki na upanga.
 

Truth is subjective. Smart people fabricated it for you, without any evidence. They created fear and made fake promises to your great grandparents. Now, you are the 3rd or 4th generation glorifying the lie, with your tail between your legs, scared of the imaginary eternal fire and hoping for the non-existent heavens.
 
Love the life you live.
Case closed.
Hujathibitisha una Akili.

Ila unadai una akili.

Unarukia kujibu vitu vingine ambavyo hata hujaulizwa.

Hujibu ulicho ulizwa Unajibu usivyo ulizwa.

Naku uliza hivi πŸ‘‡

Thibitisha una akili.

Wewe si unadai unayo?
 
Kwa mara ya kwanza, nimekutana na shetani live.
 
Hujathibitisha una Akili.

Ila unadai una akili.

Unarukia kujibu vitu vingine ambavyo hata hujaulizwa.

Hujibu ulicho ulizwa Unajibu usivyo ulizwa.

Naku uliza hivi πŸ‘‡

Thibitisha una akili.

Wewe si unadai unayo?
Sasa wewe umesema huna akili utalielewaje jibu langu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…