Maisha bila ya kuingia JF

Maisha bila ya kuingia JF

Soma na uelewe usikulupuke,,kuna sehemu nimesema nilikuwa naposti?humu zamani watu wamepona magonjwa,,watu walipata ushauri ,,watu walipata kazi kupitia humu,,siku hizi mtu analeta habari za akina Giggy money na mwijaku
Sasa unalaumu kitu gani wakati hata kupost hauwezi mkuu? Kula unachopata kama hauna uwezo wa kutafuta unachotaka🤔
 
FB_IMG_17321683238871298.jpg
 
Hongera sana. Mimi pia ban siijui kabisa.
Hadi natamani siku niiombe nijue nikipigwa ndio inakuwaje nikitaka ku log in.
Mi bado ni mpya kabisaa,hivi niwaulize nyie wazoefu wa kupigwa ban,uwa ni kipi chapelekea kupigwa ban?,na admin wa jf ni kina nani hasa?,naipenda sana jf,miaka ya nyuma nilikuwemo humu lkn kwasababu zilizo nje ya uwezo wangu,nilitoweka Kama miaka sita sasa imepita ndo narudi tena,mungu akijaalia ntakuja kutoa ushuuda wangu humu,manufaa gani nilipata wakati huo kwa kujiunga na jf,ngoja nitulie kwanza

.
 
Back
Top Bottom