min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Sasa unalaumu kitu gani wakati hata kupost hauwezi mkuu? Kula unachopata kama hauna uwezo wa kutafuta unachotaka🤔Soma na uelewe usikulupuke,,kuna sehemu nimesema nilikuwa naposti?humu zamani watu wamepona magonjwa,,watu walipata ushauri ,,watu walipata kazi kupitia humu,,siku hizi mtu analeta habari za akina Giggy money na mwijaku