Maisha haya aisee, jana ilikuwa harusi leo imekuwa msiba

Sayansi hapa inasema ulichagua kuishi, ktk sperm kuna mamilioni ya sijui chromosome/gene hushindana mbio kuingia kwenye yai la mwanamke, so mbio zako zilikuponza, make uliwazidi wale wengine milioni kadhaa.
Chances za sperm kuwa fertilized ni tukio ambalo sikuwa na control nalo kama binadamu,
Halafu sio mimi niliyeamua kwenda kwenye yai.la mama , tukio alilianzisha baba kwa raha zake ,
Why would someone else luxury costs somebody else , yan furaha ya baba ije inisababishe majanga mja wake
 
Lengo ni kumfanya mtoto asiwe na masononeko.
 
Hapana. Ndugu yangu kwenye hii Dunia jitahid kuishi maisha ya kumpendeza Mungu. Maisha ni mafupi sana Tena yamejaa taabu na shida
Tunatofautiana katika hili.
 
Nimekumbuka mwanangu wa kwanza alivyopata ubatizo nilialika watu kama 7 hivi tuu jumla tulikuwa kama 11.yaan ile wamemaliza kupika uani chakula kinapakuliwa sebuleni kumbe kule uani moto waliojua umeshazima umewaka ukaenda hadi kwenye kuni (nyingi sana nilizozipata baada ya kukata mtu mkubwa sana kabla ya kujenga nyumba)na hizo kuni zilikuwa mbali tuu yaan ilikuwa ni balaa bonge la moto na shughuli akaishia hapo maana mpka kuja kula chakula hamna mtu anahamu tena
 
This is deep and thoughtfully
 
Inauma sana kwa kweli lakini ndio dunia. Furaha kidogo majonzi kibao!
 
Sayansi hapa inasema ulichagua kuishi, ktk sperm kuna mamilioni ya sijui chromosome/gene hushindana mbio kuingia kwenye yai la mwanamke, so mbio zako zilikuponza, make uliwazidi wale wengine milioni kadhaa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…