So event inapokuja upande wako sio kuwa Ni kwa akili zako ama uwezo wako ndio umefanya iyo outcome ije according to your expectations Bali ilikuwa itokee ivyo.
Kweli mkuu umelezea kitu kikubwa yan ukichek maisha yetu ulipanga ili linakuja ili..
Yes,wapo wajanja mno wanajua Mambo mengi mno,wanasoma mno,wanafanya kazi mno wanajinyima Ila hata kiwanja hawana,wapo wanaohonga,wanafanya Mambo kimzahazaha Ila wanatoboa.
Sasa ujue maisha Ni game na hapa njoo ucheki maana game ndio ujue
A game is an activity or sport usually involving
SKILL,
KNOWLEDGE, or
CHANCE, in which you follow fixed rules and try to win against an opponent or to solve a puzzle.
So na bahati huwa ipo kwenye success.
Wengi wanaangukiaga kwenye nyekundu hapo so wanachezea bahati na hairudi Tena wanabakia kujutia.
Ila skills unabeti mfano unarusha mpira wa kikapu like 100 unafaulu 60 Ila 40 unapoteza.
Mfano Kobe ama Jordan enzi zao wanacheza mpira mkicheza ama mkarusha mipira 10 wewe mgeni kabisa waweza kupata 6/10 Jordan/Kobe akapata 4/10 so ukawavimbia yaani ukatuna kifua mbele kuwa wewe Ni Bora zaidi Ila Sasa kwa vile wao Wana skills wewe hunazo mkirusha mipira 1000 kikapuni ndio utajua Kama hujui ,kiburi chako na matambo na video uliSombaza kwa mademu zako na washkaji wengine unajiona kidume kisa kumfunga legendary utaulizwa kuwa ivi ilikuwaje Sasa mbona siku zile uliahinda mipira mingi kuliko wao.
Hata karata ama poker iko ivyo ,wapo wanaocheza wanameki mane sema waweza kuwala shortly Ila in long run utakuwa tu yaani utaliwa tu Hakuna namna.
Ama predator anaweza akabahatishwa na prey ie nyumbu anaweza muua Simba Ila ukiweka game kwa muda mrefu nyumbu watauliwa wengi Mana wao Ni bahati Ila simba Anazo skills za kuua wao nyumbu hawana hizo skills pia hata Kama wanazo hawazifanyii mazoezi everyday to be part of their DNA.
Hapo chini Kuna diagram inaelezea chance/lucky and skills/knowledge.
lucky huwa inatokea once not many times.
Hapa kwenye lucky ndio gamblers wanaobeti wanaishi kwa njia iyo.
Unaweza ukapata kazi kilaza kabisa ukamuacha jamaa genius anayeogopwa. Wapo wengi maishani wanatembelewa na bahati ,wa mataifa watamuita anayo nyota Kali ,wale waaminio dini za kuletwa na meli wataita wenye upako,roho mtakatifu,Allah akbar akamuonyeshea njia.
Sie tunaoamini dini zetu za kiafrika tunasema mizimu ya mababu wa mababu wamechinjiwa damu sadaka imetolewa wamemkubali.
Thank you