Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Uchawa tu upo mbeleTeuzi za TZ nyingi hazieleweki
amewekwa eneo strategic sana, eneo hilo mkuu wa mkoa kama sio polisi alitakiwa kuwa mjeshi.Ni kweli kwamba Kazi ni Kazi tu ili mradi mkono uende kinywani, lakini Je inawezekanaje aliyekuwa IGP akawe RC?
Soma Pia: UTEUZI: Balozi Simon Sirro ateuliwa kuwa RC wa Kigoma, Kenan Kihongosi kuwa RC wa Arusha. TRC yapata Mkurugenzi Mpya
Katika uteuzi ulifanyika Usiku huu Balozi Simon Sirro kapelekwa Kigoma kuwa Mkuu wa Mkoa.
Toa maoni yako
chief of protocol yeye kazi yake ni kuchukua tu mshahara.Kwa Sirro kakosea watu wa protocol watamwambia
Kwa nchi yetu hata waziri mkuu mstaafu anaweza kuteuliwa kuwa Katibu tawala wa Mkoa na maisha yakaendelea tuNi kweli kwamba Kazi ni Kazi tu ili mradi mkono uende kinywani, lakini Je inawezekanaje aliyekuwa IGP akawe RC?
Soma Pia: UTEUZI: Balozi Simon Sirro ateuliwa kuwa RC wa Kigoma, Kenan Kihongosi kuwa RC wa Arusha. TRC yapata Mkurugenzi Mpya
Katika uteuzi ulifanyika Usiku huu Balozi Simon Sirro kapelekwa Kigoma kuwa Mkuu wa Mkoa.
Toa maoni yako
Ni angalizo kwa makamanda wengine, wajiangalie wataishia wapiSana kama ni adhabu basi sirro kapewa mbaya zaudi
Hao waliokuwa kabla yake waliwahi kuokoa nini? Acheni kutukuza uongoamewekwa eneo strategic sana, eneo hilo mkuu wa mkoa kama sio polisi alitakiwa kuwa mjeshi.
Daaah!!Kwa nchi yetu hata waziri mkuu mstaafu anaweza kuteuliwa kuwa Katibu tawala wa Mkoa na maisha yakaendelea tu
Lissu humjui wewe, endelea kufanya usafi hapo ofisi ya kata kizimkaziNi sahihi Tundu Lissu atateuliwa awe mkuu wa wilaya ya Kakonko usijali
Lissu atateuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya kakonko akasimamiwe na Sirro maana anahitaji usimamiziLissu humjui wewe, endelea kufanya usafi hapo ofisi ya kata kizimkazi
CCM ni laana, yaani Sirro na Kihongosi wako sawa yaani!Lissu atateuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya kakonko akasimamiwe na Sirro maana anahitaji usimamizi
Kwa nn unasema adhabuSana kama ni adhabu basi sirro kapewa mbaya zaudi