Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #41
Na JK kwa Tamaa aliyonayo atakubali haraka sanaAnaweza hata kumteua JK kuwa mkuu wa mkoa, katiba haimzuii 🐼
Na JK kwa Tamaa aliyonayo atakubali haraka sanaAnaweza hata kumteua JK kuwa mkuu wa mkoa, katiba haimzuii 🐼
Hizi si enzi za ujimaHii siyo mara ya kwanza. Go back to history enzi ya mwalimu . P.N Mgaya. RC Tabora
HaihusianiAggrey mwanri aliwahi kua naibu waziri wa maji kipindi Cha kikwete na badae akaja kua mkuu wa mkoa wa tabora kipindi Cha magufuli.
Pia amosi makala kabla ya kuwa RC aliwahi kua mbunge Jimbo Moja huko morogoro
chief of protocol yeye kazi yake ni kuchukua tu mshahara.
Nimekutukana kimoyo moyo kwa siri 😂Anaweza hata kumteua JK kuwa mkuu wa mkoa, katiba haimzuii 🐼
IGP ni mteule wa Rais kama ilivyo CDF hata kaa yao unaona huwa wanafatana. Mie sijazungumzia functionality mkuuHapo hamna equivalent, mwalimu mkuu wa shule ya msingi ni sawa na mkuu wa shule ya sekondari?
Au mwl mkuu wa shule ya msingi ni sawa na mwl wa kawaida wa sekondari?(hawako sawa, wa shule ya msingi kasomea elimu tofauti kbsa na wa sekondari ni elimu tofauti kbsaa)
Jwtz na PT wanaweza fanana vyeo lkn Kuna tofauti kubwa sanaaa.
Mfano jwtz mwenye nyota Tatu ni captain lkn PT mwenye nyota Tatu ni mrakibu msaidizi wa polisi ( ana hadhi ya kua mkuu wa kituo Cha wilaya) mishahara Yao ni tofauti kbsaaa.
Mkuu uwe na Safari njemaHahahaha umenichekesha mpaka humu kwenye basi abiria wananishangaa
Hamna loloteHuenda Kapelekwa kigoma kwa kazi maalum!!!
Si unajua kigoma na congo ni hapa na pale.
Na kama unavyojua October hii hapo, Na kuna pande mbili zinavutana.
Wengine wanasema October tunachanja, wengine wanasema October hatuchanji
Na mwisho wa kuvutana ni kukunjana, hatimae kupigana, na katika kupigana unaweza ukatumia SILAHA yoyote iliyo karibu.
Huenda kazi ya kuzuia pale mpakani anaiweza mstaafu pekee.
Hee!!Hahahaha umenichekesha mpaka humu kwenye basi abiria wananishangaa
Tusije kushangaa Mkuu wa Majeshi mstaafu Davis Mwamunyange akateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya KinondoniNi angalizo kwa makamanda wengine, wajiangalie wataishia wapi
IGP ukimpelela Jeshini ni sawa na Mkuu wa JKt.IGP to mkuu wa mkoa .. 🧐🧐.. lakini equivalent ya IGP huwa ni Brigadier general au Major General?
Ambae ni Major GeneralIGP ukimpelela Jeshini ni sawa na Mkuu wa JKt.
Hii sio mara ya kwanzaKwa Sirro kakosea watu wa protocol watamwambia
Jikite kwenye madaHii sio mara ya kwanza
Andengenye alikuwa kamishna wa polisi.
Halafu akateuliwa kuwa Kamishna jenerali wa Zimamoto(CGF)
Akatolewa Zimamoto na kwenda kuwa mkuu wa mkoa wa Kigoma.
Ni kweli kwamba Kazi ni Kazi tu ili mradi mkono uende kinywani, lakini Je inawezekanaje aliyekuwa IGP akawe RC?
Soma Pia: UTEUZI: Balozi Simon Sirro ateuliwa kuwa RC wa Kigoma, Kenan Kihongosi kuwa RC wa Arusha. TRC yapata Mkurugenzi Mpya
Katika uteuzi ulifanyika Usiku huu Balozi Simon Sirro kapelekwa Kigoma kuwa Mkuu wa Mkoa.
Toa maoni yako
Huenda siro njaa kalinl kaomba kazi kwa mamaKwa Sirro kakosea watu wa protocol watamwambia
Mkuu IGP ni top yupo kamati ya ulinziwa taifa leo akawe RCIGP to mkuu wa mkoa .. 🧐🧐.. lakini equivalent ya IGP huwa ni Brigadier general au Major General?
Dogo unajizima sana dataNi sahihi Tundu Lissu atateuliwa awe mkuu wa wilaya ya Kakonko usijali