Maisha Kitendawili: Ni sahihi IGP Mstaafu kuwa Mkuu wa Mkoa, kama ilivyo sasa kwa Sirro?

Maisha Kitendawili: Ni sahihi IGP Mstaafu kuwa Mkuu wa Mkoa, kama ilivyo sasa kwa Sirro?

Aggrey mwanri aliwahi kua naibu waziri wa maji kipindi Cha kikwete na badae akaja kua mkuu wa mkoa wa tabora kipindi Cha magufuli.
Pia amosi makala kabla ya kuwa RC aliwahi kua mbunge Jimbo Moja huko morogoro
 
Ni kweli kwamba Kazi ni Kazi tu ili mradi mkono uende kinywani, lakini Je inawezekanaje aliyekuwa IGP akawe RC?

Soma Pia: UTEUZI: Balozi Simon Sirro ateuliwa kuwa RC wa Kigoma, Kenan Kihongosi kuwa RC wa Arusha. TRC yapata Mkurugenzi Mpya

Katika uteuzi ulifanyika Usiku huu Balozi Simon Sirro kapelekwa Kigoma kuwa Mkuu wa Mkoa.

Toa maoni yako
Yaani, huyo aliyekuwa IGP hana uwezo wa mkono kwenda kinywani hadi lazima awe mwajiriwa?

Mbona hiyo demotion ni udhalilishaji au mimi fikra zangu zikoje?
 
Hapana IGP sio equivalent ya CDF. Labda kama Major General hata Luten General sidhani. Swali Major General wapo walioteuliwa kuwa wakuu wa mikoaha
Hapo hamna equivalent, mwalimu mkuu wa shule ya msingi ni sawa na mkuu wa shule ya sekondari?
Au mwl mkuu wa shule ya msingi ni sawa na mwl wa kawaida wa sekondari?(hawako sawa, wa shule ya msingi kasomea elimu tofauti kbsa na wa sekondari ni elimu tofauti kbsaa)

Jwtz na PT wanaweza fanana vyeo lkn Kuna tofauti kubwa sanaaa.
Mfano jwtz mwenye nyota Tatu ni captain lkn PT mwenye nyota Tatu ni mrakibu msaidizi wa polisi ( ana hadhi ya kua mkuu wa kituo Cha wilaya) mishahara Yao ni tofauti kbsaaa.
 
Hii siyo mara ya kwanza. Go back to history enzi ya mwalimu . P.N Mgaya. RC Tabora
 
Back
Top Bottom