Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo gari South Africa, Botswana au Namibia nanunua kwa less than 6m.Mkuu, za 2010+ haugusi, unakuta Mil 15+
Mi naona wafanye hata mara tatu ya bei halisi kwa yale usedIla Tanzania mnakamuana saana wakuu hiyo gari Kodi million 8 ???? Seriously.....
Wanyonge hawatanunua magari mkuu...ndiyo maana Bongo kumiliki gari ni utajiri....inatakiwa isiwe hivi.Mi naona wafanye hata mara tatu ya bei halisi kwa yale used
Carina ni gari ya uhakika.Mi hata carina nanunua kikubwa nitembee nimekaa
Aisee IST imekomaa kwenye game kwa muda mrefu. Juzi baada ya kipindi kirefu nikapanda na kuendesha IST nilihisi nimekalia kigoda na ile gear lever yake ndefu kama rungu la kipepe.Niliona juzi kati kunaa mdau anaulizia gari ambalo akiendesha watu wajue amejipata.
Sasa leo nikawa nafanya comparison ya kutaka kuagiza magari mawili, yote ya mwaka mmoja 2006.
BMW 3 series, 2006 generation ya E90, model 320i, ikiwa mpya 2006 iliuzwa $40,000 na leo naweza ipata kwa $930 bila usafiri na $2,800 hadi inafika Dar.
View attachment 3185154
Ukiileta ukakutana na TRA wao watakuomba kama Mil 6.5 tu.
View attachment 3185155
Kwahiyo roughly jumla Mil 14 top top umemiliki Germany machine.
View attachment 3185156
Toyota IST, 2006 ya engine ya 1.5L ilivyokua mpya huo mwaka 2006 iliuzwa kwa $16,000 ila leo used naipata kwa $1,600 bila usafiri na $3,200 hadi inafika Dar.
View attachment 3185157
TRA wao watataka Mil 8 kwahiyo ukijumlisha na Mil 8 ya kununua na malipo mengine top top ni Mil 17.
Hii mifano tu, ila inatufundisha nini?Mi naona Luxury cars zina depreciate kwa kasi ya ajabu sana. Umeona BMW imetoka $40,000 hadi $900 wakati IST imetoka $20,000 hadi $1,600!
KWa wanaonunua gari uku wakiwaza kuna kuliuza mbeleni, ili nalo la kulitazama.
Mkuu hivi kapya kana bei ganiCarina ni gari ya uhakika.
Carina ina bei kubwa kuliko IST!! Ingia beforward utanielewa!!Mi hata carina nanunua kikubwa nitembee nimekaa
Ila ka carina ni kagumuCarina ina bei kubwa kuliko IST!! Ingia beforward utanielewa!!
Bei inaweza kufika mil 16 ama zaidi. Inategema na mwaka.Mkuu hivi kapya kana bei gani
Mi hata nikipata ka zamani haina shidaBei inaweza kufika mil 16 ama zaidi. Inategema na mwaka.
Carina ni gari hasa kwa mtu anaetaka usafiri wa uhakika
Hakuna mpya. Zote za zamani. Carina zilianza kutengenezwa 1970 hadi 2001 zilipokuwa succeeded na Allion (Japan) na Avensis (Europe). Kwa Beforward leo, Carina T.I My Road ya 99 ni $4000 (roughly 10mil) na ya bei nafuu ni ya 94 ($3500). TRA kwa hiyo ya 99 wanataka 7.2mil. Andaa 18mil hapo zikiwemo charges za bandarini.Mi hata nikipata ka zamani haina shida