Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Watu wanasema ushindi ungebaki tanzania hata kama kura hazijatosha !mfano kule mwanza watu wamesema kapata sababu ya kuwa anatoka katika jiji yalipofayika mashindano bila kubadilika katika fikra tutabaki kubwabwaja tu na kama watu walitaka tushinde sisi ilikuwa haina maana ya kupanua wigo wa mashindano bado tuna safari ndefu ndugu yangu.Hivi ni kapewa ushindi au kashinda? Anastahili acheni majungu
Kama hukumuona mtz anaye stahili kushinda ndio nnao uita ugonjwa wa kupenda wageni huo[emoji1] [emoji1] [emoji1]Sawa mkuu.
Huo ndo uzalendo wa kweli, ila kusiwe na upendeleo itaharibu mashindano.
Hilo la Yanga kufungwa na Simba haiwezekani kabisa[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Maisha plus ilkuaga ileeeee ya msim wa kwnza wa akina abdul na msimu wa akina boniface. Ila hii iliyofuata cjui inaendeshwa vpMshindi wa maisha plus ni mdada kutoka Kenya.
Jamani naombeni kujua wanatumiaga vigezo gan kumpata mshindi maana naonaga wanakaaga porini tu mimi.
KWELI MAISHA HAYANA FOMULA MKENYA KAONDOKA NA M 30
Kama hukumuona mtz anaye stahili kushinda hiyo nayo ni shda nyingneso mkuu ww unataka mtanzania ashinde tu?
mi nadhan anayetakiwa kushinda ni yule anayestahili kutokana na vigezo walivyoweka waandaaji...awe mtz, mkenya au yeyote yule
Kwanza naamini kigezo hakikuwa kura tuuWatu wanasema ushindi ungebaki tanzania hata kama kura hazijatosha !mfano kule mwanza watu wamesema kapata sababu ya kuwa anatoka katika jiji yalipofayika mashindano bila kubadilika katika fikra tutabaki kubwabwaja tu na kama watu walitaka tushinde sisi ilikuwa haina maana ya kupanua wigo wa mashindano bado tuna safari ndefu ndugu yangu.
Nadhani hii ni biashara tu kama biashara nyingineMaisha plus ilkuaga ileeeee ya msim wa kwnza wa akina abdul na msimu wa akina boniface. Ila hii iliyofuata cjui inaendeshwa vp
Mm nliachaga kuangalia maana ni ubabaishaj
Angeshinda mtanzania ingeonekana ni kupendelea na kusingekuwa na maana ya kuleta washiriki kutoka east Africa nzima.......so kuweka mambo sawa inabidi wampe ushindi mtu wa nje ya tanzania hata kama wa tanzania alikuwa vizuri ili kuwavutia washiriki wa nchi nyingine mbali na tz kushiriki kwa wingi.Mshindi wa maisha plus ni mdada kutoka Kenya.
Jamani naombeni kujua wanatumiaga vigezo gan kumpata mshindi maana naonaga wanakaaga porini tu mimi.
KWELI MAISHA HAYANA FOMULA MKENYA KAONDOKA NA M 30
angebeba wapi wakenya wa binafsi acha ila masoud naye kuchola katuni Kote kule Kumbe naye hamna kituHivi hilo shindano linge andaliwa Kenya mbongo yeyote angeweza kubeba kweli!!? Nawaza tuu lakin
mkuu kuna kitu umekikosea tangu mwanzo ktk argument yako nayo ni kudai kwamba mbongo ndio alistahili kushinda simply kwa sbabu ni mbongo, mi nadhan ulitakiwa kusema alistahili na alikuwa na vigezo vyote na ungetueleza ni kwanini unadhani kaonewa...lkn kuja hapa na kutuambia eti kuwa m bongo ndio kigezo cha ushindi ni big nooh....mara ooh wabongo hatupendani.Kama hukumuona mtz anaye stahili kushinda hiyo nayo ni shda nyingne
Na ndio nnacho kiongelea hiko kuwa tuna tatizo kama wabongo
Kuna kitu umekikosea toka mwanzomkuu kuna kitu umekikosea tangu mwanzo ktk argument yako nayo ni kudai kwamba mbongo ndio alistahili kushinda simply kwa sbabu ni mbongo, mi nadhan ulitakiwa kusema alistahili na alikuwa na vigezo vyote na ungetueleza ni kwanini unadhani kaonewa...lkn kuja hapa na kutuambia eti kuwa m bongo ndio kigezo cha ushindi ni big nooh....mara ooh wabongo hatupendani.
kama mnataka kujipa ushindi basi msishirikishe mataifa mengine....lile ni shindano bhana acheni fitina zenu....
Wangempa dogo Aloyce wa dom, dogo alifafanya fureshi.angebeba wapi wakenya wa binafsi acha ila masoud naye kuchola katuni Kote kule Kumbe naye hamna kitu
Pole sana mkuu mzalendo wa kweli.Kama hukumuona mtz anaye stahili kushinda ndio nnao uita ugonjwa wa kupenda wageni huo[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Imeniuma sana bro ujue
Ebu kwanza saa hiz nimelala nikiamka ntakujibuPole sana mkuu mzalendo wa kweli.
Mimi sikuangalia fainali ya Maisha Plus leo nilikuwa biz sana, sasa hivi naangalia Fainali ya club raha leo show muda huu LIVE tbc 1 nasubiri mshindi.
Mkuu kwenye kigezo cha kura kwa cc watanzania tusiangalie sana maana kabla hata Mshind ajapatikana masoud alisema kuwa wakiangalia kura tuu Tanzania itakuwa inashinda kwa sababu hili shindano linafuatiliwa sana na watanzania .....Plus kupiga kura hamtaki. We mleta mada umempigia huyo mbongo kura ngapi???
Nimekuelewaa mkuuAngeshinda mtanzania ingeonekana ni kupendelea na kusingekuwa na maana ya kuleta washiriki kutoka east Africa nzima.......so kuweka mambo sawa inabidi wampe ushindi mtu wa nje ya tanzania hata kama wa tanzania alikuwa vizuri ili kuwavutia washiriki wa nchi nyingine mbali na tz kushiriki kwa wingi.
Tatizo hamkumpigia kura, mlitaka wapite njia za mkato kumtangaza mtanzania ambaye kura zake hazikutosha kwa uzembe wetu wa kutompigia?Wanazingua kina masoud wameongozwa na hisia kuwa mshindi akitoka kwetu wataonekana wanaupendeleo Kijana wa dodoma alikuwa ana sifa zote za kuwa mshindi alafu wanampa mkenya