Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Watu wanaoa vitu vya ajabu nilikuwa nawaona wajinga? ... [emoji3][emoji3][emoji3]Yani ni kama utajiri wangu na mafanikio yangu yapo kwa mdada mmoja hata anifai kabisa. Ajatulia kabisa yani awezi kupoa sema awezi niacha, tumeachana tume ludiana a year later kama hatujaachana.
Tatizo ndo mtu pekee nikiongea naye jambo linafanikiwa 100% tatizo Ajatulia kabisa kabisa yani ana genes za prostitution kabisa. [emoji17] What is this now? Life is a puzzle. Mafanikio yapo kwenye miba. Always a price to pay. MAD
Watu wanaoa vitu vya ajabu nilikuwa nawaona wajinga? 🫥
Ameshaingia kwenye 18 za nyota kali kuchomoka ni ngumuHuyo ndio chaguo lako mkuu. Kama unaweza mbadilisha mbadilishe
Na atajikuta wameshazeeka pamoja. Mapenzi bwana hayana formulaAmeshaingia kwenye 18 za nyota kali kuchomoka ni ngumu
Daaah! 😅Na atajikuta wameshazeeka pamoja. Mapenzi bwana hayana formula
A boy makes excuse for his weaknessHii kitu sio kweli. Unajidanganya au umedanganywa. But It's human nature to justify your weaknesses
Ni illusion tu inakutokea na unaiamini sababu uko emotionally weak.
A man controls his fate, huwezi nambia eti malaya mmoja ndo kashikilia mafanikio yako.
Amka acha kuwa zwazwa
Mm naungana na mtoa mada. Kuna wadada wananyota hizo. Hili jambo ni sawa na wale husema kulala na malaya unaweza kujizolea mikosi ya kila aina. Basi, it's vice-versa is true. Kuna wanawake ukilala nao unaondoka na nahati including hao malaya.A boy makes excuse for his weakness
Hizi ni imani tu. Mtu ambaye hana misimamo na hana muongozo mzuri ni lazima atakuwa na viimani vya kidwanzi ambavyo anatumia kujiongoza na kujenga hoja.Mm naungana na mtoa mada. Kuna wadada wananyota hizo. Hili jambo ni sawa na wale husema kulala na malaya unaweza kujizolea mikosi ya kila aina. Basi, it's vice-versa is true. Kuna wanawake ukilala nao unaondoka na nahati including hao malaya.
Mwaka 2018-2020 nilikua na binti mmoja hivi. Alikua anapenda sana kuniomba pesa. Kwakua nilikua nampenda nilikua nampa kila anachokitaka. Hadi nikambadilishia ratiba ya kusuka ikawa kila josi lazima mtoto aende salon akang'arishwe kesho jpili church.
Cha ajabu sikua na kipato kikubwa ila pesa ilikua ikifuata tu. Vi mishe havinipigi chenga.
Sasa tukaja kuzinguana tukaachana na vimishe vikakata fyuu.
Kuna watu na nyota zao bana ,mie mungu amenilainishia nyota aisee ,pesa kunipigia chenga ni never , hata siku inikalie vp ,nikikaa hvi nipigie Sala nimuombe mungu ,ghafla Huwa simu zinakuja papo hapo ...
Ever since nikiwa mdogo imekuwa hvo ,nikilisha mifugo ya mzazi then ilikuwa unapata wanazaa pacha au pacha watatu kila mbuzi ,nikishika shamba vile vile tunapiga Hela ndefu , yani Mamangu alikuja jua Nina kismart ,akifanya jambo anataka tupige deal kimoja ...
Mungu tu ndiye formula hii life ,usimtegemee mwanadamu dhaifu Kama ww
Sawa mkuu🤌Hizi ni imani tu. Mtu ambaye hana misimamo na hana muongozo mzuri ni lazima atakuwa na viimani vya kidwanzi ambavyo anatumia kujiongoza na kujenga hoja.
Mkuu hata Mimi nishawahi kuwa kwenye situation kama hii ya kwako, nyota na mikosi vipo Sana Kwenye mapenzi.Mm naungana na mtoa mada. Kuna wadada wananyota hizo. Hili jambo ni sawa na wale husema kulala na malaya unaweza kujizolea mikosi ya kila aina. Basi, it's vice-versa is true. Kuna wanawake ukilala nao unaondoka na nahati including hao malaya.
Mwaka 2018-2020 nilikua na binti mmoja hivi. Alikua anapenda sana kuniomba pesa. Kwakua nilikua nampenda nilikua nampa kila anachokitaka. Hadi nikambadilishia ratiba ya kusuka ikawa kila jmosi lazima mtoto aende salon akang'arishwe kesho jpili church.
Cha ajabu sikua na kipato kikubwa ila pesa ilikua ikinifuata tu. Vi mishe havinipigi chenga.
Sasa tukaja kuzinguana tukaachana na vimishe vikakata fyuu.