Maisha, what is this now?

Maisha, what is this now?

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Yani ni kama utajiri wangu na mafanikio yangu yapo kwa mdada mmoja hata anifai kabisa. Ajatulia kabisa yani awezi kupoa sema awezi niacha, tumeachana tume ludiana a year later kama hatujaachana.

Tatizo ndo mtu pekee nikiongea naye jambo linafanikiwa 100% tatizo Ajatulia kabisa kabisa yani ana genes za prostitution kabisa. 😔 What is this now? Life is a puzzle. Mafanikio yapo kwenye miba. Always a price to pay. MAD

Watu wanaoa vitu vya ajabu nilikuwa nawaona wajinga? 🫥
 
Yani ni kama utajiri wangu na mafanikio yangu yapo kwa mdada mmoja hata anifai kabisa. Ajatulia kabisa yani awezi kupoa sema awezi niacha, tumeachana tume ludiana a year later kama hatujaachana.

Tatizo ndo mtu pekee nikiongea naye jambo linafanikiwa 100% tatizo Ajatulia kabisa kabisa yani ana genes za prostitution kabisa. [emoji17] What is this now? Life is a puzzle. Mafanikio yapo kwenye miba. Always a price to pay. MAD

Watu wanaoa vitu vya ajabu nilikuwa nawaona wajinga? 🫥
Watu wanaoa vitu vya ajabu nilikuwa nawaona wajinga? ... [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hii kitu sio kweli. Unajidanganya au umedanganywa. But It's human nature to justify your weaknesses

Ni illusion tu inakutokea na unaiamini sababu uko emotionally weak.

A man controls his fate, huwezi nambia eti malaya mmoja ndo kashikilia mafanikio yako.

Amka acha kuwa zwazwa
 
A boy makes excuse for his weakness
 
A boy makes excuse for his weakness
Mm naungana na mtoa mada. Kuna wadada wananyota hizo. Hili jambo ni sawa na wale husema kulala na malaya unaweza kujizolea mikosi ya kila aina. Basi, it's vice-versa is true. Kuna wanawake ukilala nao unaondoka na nahati including hao malaya.

Mwaka 2018-2020 nilikua na binti mmoja hivi. Alikua anapenda sana kuniomba pesa. Kwakua nilikua nampenda nilikua nampa kila anachokitaka. Hadi nikambadilishia ratiba ya kusuka ikawa kila jmosi lazima mtoto aende salon akang'arishwe kesho jpili church.

Cha ajabu sikua na kipato kikubwa ila pesa ilikua ikinifuata tu. Vi mishe havinipigi chenga.

Sasa tukaja kuzinguana tukaachana na vimishe vikakata fyuu.
 
Wazazi wemelea vijana dhaifu sana miaka hii. Imagine wewe ndie mchakalikaji halafu unaamini mwanamke ndie anafungua njia zako.

Sasa nikikuuliza hebu nielekeze namna na process inavyokwenda imekaaje kuanzia anavyoanza hadi anavyozifungua hizo njia zenyewe anafanyaje yaani ana maajabu gani yanayofungua njia?!

We unachohitaji ni uponyaji wa nafsi yako. Unaelekea unachangamoto kadhaa. Haujiamini, sio mtu wa kupangilia mambo yako unapenda kushirikisha mtu wa ziada katika kufanya lolote huo ni udhaifu, hauna malengo yako binafsi ya muda mrefu una associate maisha yako na mafanikio yako na mwanamke especially huyo uliyenae.

Hii ndio sababu wanawake wanawasumbua sana vichwa Vijana ambao bado ni wachanga, miili ina afya na nguvu, akili zipo active, mnauhuru wa kumove na kwenda kona yoyote ya Dunia hii ila mnalia lia upuuzi na mapenzi utadhani ndicho kitu pekee cha kufanya.

Sasa mimi kama kaka yako nakusadia hapa mwongozo, ukishindwa ufuata nitakuja nikuzabe makofi popote ulipo.

1. Kaa chini halafu jitafakari una uwezo gani na vipaji gani ambavyo vinaweza kukuingizia kipato na vipato na kukupa mkate wako wa kila siku. Ruhusu kichwa chako kikuonyeshe uwezo wako so tulia tafakari na omba saan roho mtakatifu akufungue nafsi yake ili usijidanganye hapa. Maana unaweza muona diamond ana mafanikio ukajidanganya kuwa wewe na diamond ni kitu kimoja so unatakiwa kuwa mwanamziki kumbe si kweli. Jitafakari kwa true nature uliyo nayo.

2. Anza kuweka mikakati ya kuanza kutumia hicho ulichoumbwa nacho ambacho kitakupa kipato. Kama ni uchawa haya katafute sasa mtu wa kumganda ili uanze pata mkate wako. Kama ni upishi katafute sehemu ya kuanza kupika watu waone mapishi yako.

3. Utakapoanza kuona mapato yanaonekana kutokana na ulichochagua kufanya sasa ni muda wa kusave na kutunza mapato yako na kujiwekeza zaidi njia zaidi za kuingiza kipato maana biashara ni nyingi sana so utapata tu cha kuwekeza kulingana na mazingira yako ulipo.

4. Anza kutengeneza makao yako kwa maana ya nyumba na sehemu ya kuishi ambapo utakuwa comfortable. Ukifika hatua hii utakutana na mwanamke wa kaliba yako na mtawezana maana atakuwa yupo aligned na purpose yako. Mwanamke akikukuta unauza chipsi na unamafanikio na akakukubali kwa kazi hiyo huyo mwanamke mtawezana sababu amekukuta ukiwa una serve purpose yako. Ila mwanamke mnakutana hauna kitu halafu ulazimishe mpange maisha huyo mtakosana baadae maana atajiona yeye ni purpose yako na si vile wewe unataka kufanya.
 
Acha utoto mkuu as a man you have to control your emotions and make decisions usikubali kuendeshwa na mwanamke ambaye unajua fika ni mcharuko be a man and not a little boy
 
Mm naungana na mtoa mada. Kuna wadada wananyota hizo. Hili jambo ni sawa na wale husema kulala na malaya unaweza kujizolea mikosi ya kila aina. Basi, it's vice-versa is true. Kuna wanawake ukilala nao unaondoka na nahati including hao malaya.

Mwaka 2018-2020 nilikua na binti mmoja hivi. Alikua anapenda sana kuniomba pesa. Kwakua nilikua nampenda nilikua nampa kila anachokitaka. Hadi nikambadilishia ratiba ya kusuka ikawa kila josi lazima mtoto aende salon akang'arishwe kesho jpili church.

Cha ajabu sikua na kipato kikubwa ila pesa ilikua ikifuata tu. Vi mishe havinipigi chenga.

Sasa tukaja kuzinguana tukaachana na vimishe vikakata fyuu.
Hizi ni imani tu. Mtu ambaye hana misimamo na hana muongozo mzuri ni lazima atakuwa na viimani vya kidwanzi ambavyo anatumia kujiongoza na kujenga hoja.
 
Kuna watu na nyota zao bana ,mie mungu amenilainishia nyota aisee ,pesa kunipigia chenga ni never , hata siku inikalie vp ,nikikaa hvi nipigie Sala nimuombe mungu ,ghafla Huwa simu zinakuja papo hapo ...
Ever since nikiwa mdogo imekuwa hvo ,nikilisha mifugo ya mzazi then ilikuwa unapata wanazaa pacha au pacha watatu kila mbuzi ,nikishika shamba vile vile tunapiga Hela ndefu , yani Mamangu alikuja jua Nina kismart ,akifanya jambo anataka tupige deal kimoja ...
Mungu tu ndiye formula hii life ,usimtegemee mwanadamu dhaifu Kama ww
 
Tuanzishe Ranchi ya mbuzi mazee...
 
Kazi unayo.... kwahiyo akiacha umalaya na nyota inazimika??
 
Mm naungana na mtoa mada. Kuna wadada wananyota hizo. Hili jambo ni sawa na wale husema kulala na malaya unaweza kujizolea mikosi ya kila aina. Basi, it's vice-versa is true. Kuna wanawake ukilala nao unaondoka na nahati including hao malaya.

Mwaka 2018-2020 nilikua na binti mmoja hivi. Alikua anapenda sana kuniomba pesa. Kwakua nilikua nampenda nilikua nampa kila anachokitaka. Hadi nikambadilishia ratiba ya kusuka ikawa kila jmosi lazima mtoto aende salon akang'arishwe kesho jpili church.

Cha ajabu sikua na kipato kikubwa ila pesa ilikua ikinifuata tu. Vi mishe havinipigi chenga.

Sasa tukaja kuzinguana tukaachana na vimishe vikakata fyuu.
Mkuu hata Mimi nishawahi kuwa kwenye situation kama hii ya kwako, nyota na mikosi vipo Sana Kwenye mapenzi.

Kuna mwanamke ukilala naye kupata hata Mia mbovu Ni ngumu Sana & vice versa is also true.
 
Back
Top Bottom