Umasikini ndio mtaji wa ccm lengo la serikali ya ccm nikutengeneza wanyonge wengi ili uweze kutawala kwa miaka mingiWakuu kuna wakati mawahurumia sana vijana wetu, wanapitia hali tete sana.
Nililazimika kutoka saa 8.30 na kurudi saa 9.30.
Kila kijiwe cha boda boda nakuta vijana wamelala chali usingizi juu ya boda boda zao hata hawasikii hata mlio wa gari.
Mji umetulia hautii matumaini yoyote kwao angalau hata kuokota abiria hata mmoja.
Kijana huyu:
1. Huenda pkpk ni ya mkataba au
2. Anadaiwa rejesho na mmiliki
3. Huenda ana familia inasubiria apeleke chochote
4. Ana deni mahali
Ooh Mungu saidia vijana wetu hii hali sio kabisa...
Mama Abdul wakumbuke vijana wetu wenye elimu na hawana ajira
Vijana wanapata sana pesa ila ndio hivyo wanahonga sanaSi huyu huyu bodaboda huwa mnasema ana kipato kuliko mwalimu?
Dunia uwanja wa vita wanasemaWakuu kuna wakati mawahurumia sana vijana wetu, wanapitia hali tete sana.
Nililazimika kutoka saa 8.30 na kurudi saa 9.30.
Kila kijiwe cha boda boda nakuta vijana wamelala chali usingizi juu ya boda boda zao hata hawasikii hata mlio wa gari.
Mji umetulia hautii matumaini yoyote kwao angalau hata kuokota abiria hata mmoja.
Kijana huyu:
1. Huenda pkpk ni ya mkataba au
2. Anadaiwa rejesho na mmiliki
3. Huenda ana familia inasubiria apeleke chochote
4. Ana deni mahali
Ooh Mungu saidia vijana wetu hii hali sio kabisa...
Mama Abdul wakumbuke vijana wetu wenye elimu na hawana ajira
Wakuu kuna wakati mawahurumia sana vijana wetu, wanapitia hali tete sana.
Nililazimika kutoka saa 8.30 na kurudi saa 9.30.
Kila kijiwe cha boda boda nakuta vijana wamelala chali usingizi juu ya boda boda zao hata hawasikii hata mlio wa gari.
Mji umetulia hautii matumaini yoyote kwao angalau hata kuokota abiria hata mmoja.
Kijana huyu:
1. Huenda pkpk ni ya mkataba au
2. Anadaiwa rejesho na mmiliki
3. Huenda ana familia inasubiria apeleke chochote
4. Ana deni mahali
Ooh Mungu saidia vijana wetu hii hali sio kabisa...
Mama Abdul wakumbuke vijana wetu wenye elimu na hawana ajira
Mbona hayo sio mateso ni kawaida sanaa ata ulaya kuna wanao kesha makazini na hawaruhusiwi hata kusinzia sembuse hao boda boda wanao piga usingizi vizuri, kuna vijana vubarua kwenye viwanda mchana na usiku wanabeba mzigo na kalele za kiwanda juu. Wewe acha utani hujui maisha.Wakuu kuna wakati mawahurumia sana vijana wetu, wanapitia hali tete sana.
Nililazimika kutoka saa 8.30 na kurudi saa 9.30.
Kila kijiwe cha boda boda nakuta vijana wamelala chali usingizi juu ya boda boda zao hata hawasikii hata mlio wa gari.
Mji umetulia hautii matumaini yoyote kwao angalau hata kuokota abiria hata mmoja.
Kijana huyu:
1. Huenda pkpk ni ya mkataba au
2. Anadaiwa rejesho na mmiliki
3. Huenda ana familia inasubiria apeleke chochote
4. Ana deni mahali
Ooh Mungu saidia vijana wetu hii hali sio kabisa...
Mama Abdul wakumbuke vijana wetu wenye elimu na hawana ajira
Ndio wao mashogaWakuu kuna wakati mawahurumia sana vijana wetu, wanapitia hali tete sana.
Nililazimika kutoka saa 8.30 na kurudi saa 9.30.
Kila kijiwe cha boda boda nakuta vijana wamelala chali usingizi juu ya boda boda zao hata hawasikii hata mlio wa gari.
Mji umetulia hautii matumaini yoyote kwao angalau hata kuokota abiria hata mmoja.
Kijana huyu:
1. Huenda pkpk ni ya mkataba au
2. Anadaiwa rejesho na mmiliki
3. Huenda ana familia inasubiria apeleke chochote
4. Ana deni mahali
Ooh Mungu saidia vijana wetu hii hali sio kabisa...
Mama Abdul wakumbuke vijana wetu wenye elimu na hawana ajira
Mwalimu mkuu wa shule ya msingi?πππ½Kwani wewe ni mwalimu mkuu?
Mnafananisha kipato cha Ulaya na Afrika ukikesha Ulaya pana nyongeza kutokana na muda kitu ambacho ukikesha Tanzania ni risk tu ya kupokonywa piki piki na kuuawa...Mbona hayo sio mateso ni kawaida sanaa ata ulaya kuna wanao kesha makazini na hawaruhusiwi hata kusinzia sembuse hao boda boda wanao piga usingizi vizuri, kuna vijana vubarua kwenye viwanda mchana na usiku wanabeba mzigo na kalele za kiwanda juu. Wewe acha utani hujui maisha.
Wewe Canada haipo hivyo, vijana hata kazi hawataki wanabembelezwaNchi nyingi hali iko hivyo. Kila mtu apambane
Si kweli. bodaboda kwa siku nafunga zaidi ya 15,000 /- na hapo tajiri anapewa 10,000/-Wakuu kuna wakati mawahurumia sana vijana wetu, wanapitia hali tete sana.
Nililazimika kutoka saa 8.30 na kurudi saa 9.30.
Kila kijiwe cha boda boda nakuta vijana wamelala chali usingizi juu ya boda boda zao hata hawasikii hata mlio wa gari.
Mji umetulia hautii matumaini yoyote kwao angalau hata kuokota abiria hata mmoja.
Kijana huyu:
1. Huenda pkpk ni ya mkataba au
2. Anadaiwa rejesho na mmiliki
3. Huenda ana familia inasubiria apeleke chochote
4. Ana deni mahali
Ooh Mungu saidia vijana wetu hii hali sio kabisa...
Mama Abdul wakumbuke vijana wetu wenye elimu na hawana ajira
Nimesema nchi nyingi sio nchi zote.Wewe Canada haipo hivyo, vijana hata kazi hawataki wanabembelezwa