mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Uwa tunafosi kufanya kazi usiku huo ndo ukweli.ila usiku ni kwa ajili ya kupumzika.sema shida tu ndo zinafanya muache kulala.mimi naingia saa 2 asubuhi natoka saa 11 narudi kwangu kupika na kula nalalaMuda wowote ni wa kulala, unafikiri rubani anaeyatakiwa awafikishe watu Marekani kutoka Africa kuhudhuria kikao cha biashara atalala huko angani usiku??