Maisha ya bongo ni magumu mnoo vijana wa kiume wanapitia pagumu...Hasa bodax2

Maisha ya bongo ni magumu mnoo vijana wa kiume wanapitia pagumu...Hasa bodax2

Hili nalijua sana lkn inategemea uko wp
Ila mkuu,
Ni bora kijana wa kiume atoke akahaso mtaani, hata kama ni bodaboda kuliko kumaliza chuo na kubweteka kulala ndani tu...

Hakuna mitaji ya kuwekeza biashara kubwa, watu wataishije, hakuna ajira rasmi...lakini pia hakuna maisha rahisi.
 
Ila mkuu,
Ni bora kijana wa kiume atoke akahaso mtaani, hata kama ni bodaboda kuliko kumaliza chuo na kubweteka kulala ndani tu...

Hakuna mitaji ya kuwekeza biashara kubwa, watu wataishije, hakuna ajira rasmi...lakini pia hakuna maisha rahisi.
Ninaunga mkono mapambano lkn ninasikitishwa na kukesha bila mteja
 
Umesema wanakesha makazini maana yake kuna ujira.
HTa mimi hukesha kazini hayo sio mareso...hawa hawajui wanamsubiri nani
Huyo jamaa analinganisha bodaboda anaekesha hajui anamsubiri nani na mtu anaefanya night shift Ulaya akilipwa si chini ya €15 kwa saa.
 
Huyo jamaa analinganisha bodaboda anaekesha hajui anamsubiri nani na mtu anaefanya night shift Ulaya akilipwa si chini ya €15 kwa saa.
Kutokujua kuwa huwajui ndilo tatizo kubwa nchi hii.
Wanajua kubishania Yanga na Simba tu na huo ubishi wanauhamishia kwa mjadala muhimu
 
Wakuu kuna wakati mawahurumia sana vijana wetu, wanapitia hali tete sana.
Nililazimika kutoka saa 8.30 na kurudi saa 9.30.
Kila kijiwe cha boda boda nakuta vijana wamelala chali usingizi juu ya boda boda zao hata hawasikii hata mlio wa gari.

Mji umetulia hautii matumaini yoyote kwao angalau hata kuokota abiria hata mmoja.
Kijana huyu:
1. Huenda pkpk ni ya mkataba au
2. Anadaiwa rejesho na mmiliki
3. Huenda ana familia inasubiria apeleke chochote
4. Ana deni mahali

Ooh Mungu saidia vijana wetu hii hali sio kabisa...

Mama Abdul wakumbuke vijana wetu wenye elimu na hawana ajira
Kwanini aoe na anajua hajajipata.. vijana mnaona na mnajua hamna uwezo wa kuhudumia familia
 
Glenn ,naona umetumia hisia kuliko uhalisia.
Sawa,ni vizuri kwanza kuwa na moyo wa kuwapazia sauti wenzako.
Ila,swali moja,ulilinganisha na vijana wa wapi uone wanavyohangaika na kuteseka?
Kuna nchi jirani kama mbili,waendesha pikipiki hao,ni wahitimu wa vyuo vikuu. Na pikipiki,za mkataba. Bora hao ni wanaume. Umewahi jiuliza wanawake aanapitia wakati gani?
Kosa kubwa la vijana,wanahitaji maendeleo ya hapo hapo. Na huwa wakikuta mambo ni tofauti na wanavofikilia,ndo yanakuwaga hivyo.
Fursa zilizopo ni nyingi sana. Tena sana.

Ningekuelewa au kukubaliana na wewe,ungesema serikali imewatelekeza.

1. Kwanza kabisa,kwenye ngazi za serikali,kuna watu wanajua machimbo hasa ya vyakula na vitu vingine,na wao hawapeleki chochote,na wana uwezo wa kufanya connection. Unajua mfano tikiti maji lina bei gani ulaya au uarabuni? Unajua parachichi kilo ni bei gani? Uliwahi kuuliza ndizi sukari?

Hivi vitu vipo tena kwa wingi nchini. Serikali ingewahimiza kilimo na kuwatafutia soko la uhakika,achana na sasa tikiti kubwa linachukuliwa kwa elfu 3 linaenda kuuzwa 15k,mkulima ana faida gani hapo?
Uliza watu wa Shinyanga. Nyanya wakulima wanawauzia Rwanda na DRC. Na hazitoshi. Je,wangekuwa wanapeleka wakulima wenyewe?
Mfano wa nyama. Unajua DRC nyama ina bei gani? Kwa vile huwezi safilisha mifugo hivi hivi,wakiweka standard za nyama,na magari ya reflegeration,hiyo pesa wataiweka wapi?

2. Vijana wenyewe,wanachagua kazi. Na ukiangalia waliokamaa na kilimo mfano,miaka 5,wamejenga,wanaweza kutatua shida zao,wana akiba,na pikipiki zao za kutembelea. Wamejenga wanaishi kwao na familia zao.

Sasa watu kama wewe,kuliko kulalamika,mngetafuta hata taasisi husika,msaidizane kuwapa semina na mitaji muone kama hawatoboi.
 
Ninaunga mkono mapambano lkn ninasikitishwa na kukesha bila mteja
Mbona watu wanafungua maduka na wanakaa siku nzima bila wateja, bidhaa zipo na wateja hamna.

Binafsi nasimamia kwenye kujibidisha coz hakuna maisha rahisi. Hata huko majuu ambapo ukifanya kazi pesa ipo, bado maisha sio rahisi, costs of living ziko juu sana kiasi kwamba kipato hakitoshi.

Nikupe mfano, nenda viwanda kama kiboko pale mikocheni, ulizia posho ya mfabyakazi kwa siku ni bei gani, baada ya kufanyishwa kazi ngumu za hatari siku nzima...utaacha kuwahurumia bodaboda.
 
Huyo jamaa analinganisha bodaboda anaekesha hajui anamsubiri nani na mtu anaefanya night shift Ulaya akilipwa si chini ya €15 kwa saa.
Sehemu zingine makampuni mazuri kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa tisa malipo tofauti kutoka saa Tisa mpaka saa mbili inaongezeka na saa mbili mpaka saa nne hivyo hivyo tena kuanzia hapo inakua double na bonus ya wiki au mwezi juu yake hawa wadogo hawataki kutoka kujaribu fursa nje kisa kubaki kudanganyana tu hapa...
 
Back
Top Bottom