Maisha ya bongo ni magumu mnoo vijana wa kiume wanapitia pagumu...Hasa bodax2

Maisha ya bongo ni magumu mnoo vijana wa kiume wanapitia pagumu...Hasa bodax2

Tumia akili ....umeme ndiyo kitu pekee ambacho kipo kwa sasa chenye kuweza kupunguzwa bei kama serikali ina nia njema maana bwawa limekamilika na mitsmbo 7 yote ila umewashwa mmoja hapo tunajifunza kitu kuwa serikali dhalimu ya samia haina nia njema wala dhamira njema kwa watanganyika hilo bwawa ni mali ya serikali kwa asilimia 100%...kama bei ya umeme ingeshuka kwa nusu basi bei za vitu vyote zingeshuka kwa asilimia zaidi ya 25% kuanzia gesi ingeshushwa bei ila yupo muhuni ROSTAM AZIZI huyu ndiyo tatizo kuu
Wewe ni kinyozi?
 
Halafu wake zao home wakijua kabisa wanaume wao wanakedha nje wanaingiza wanaume ndani, wanawapikia na wanalala nao, mbele ya watoto!

Baadhi ya wanawake ni Malaya Mbwa kabisa, hasa walioolewa, kama umeoq na una hustle una 97% mkeo wana mla, ngumu sana kuamini!
WAtu wa nchi hii wabinafsi sana mkuu
 
Mbona hayo sio mateso ni kawaida sanaa ata ulaya kuna wanao kesha makazini na hawaruhusiwi hata kusinzia sembuse hao boda boda wanao piga usingizi vizuri, kuna vijana vubarua kwenye viwanda mchana na usiku wanabeba mzigo na kalele za kiwanda juu. Wewe acha utani hujui maisha.
Umesema wanakesha makazini maana yake kuna ujira.
HTa mimi hukesha kazini hayo sio mareso...hawa hawajui wanamsubiri nani
 
Wakuu kuna wakati mawahurumia sana vijana wetu, wanapitia hali tete sana.
Nililazimika kutoka saa 8.30 na kurudi saa 9.30.
Kila kijiwe cha boda boda nakuta vijana wamelala chali usingizi juu ya boda boda zao hata hawasikii hata mlio wa gari.

Mji umetulia hautii matumaini yoyote kwao angalau hata kuokota abiria hata mmoja.
Kijana huyu:
1. Huenda pkpk ni ya mkataba au
2. Anadaiwa rejesho na mmiliki
3. Huenda ana familia inasubiria apeleke chochote
4. Ana deni mahali

Ooh Mungu saidia vijana wetu hii hali sio kabisa...

Mama Abdul wakumbuke vijana wetu wenye elimu na hawana ajira
Hapa ndipo mnaanzaga kujikataa, sasa kwani ukisema ukweli wewe ni bodaboda kuna shida gani?
 
Si kweli. bodaboda kwa siku nafunga zaidi ya 15,000 /- na hapo tajiri anapewa 10,000/-
Bodaboda ana mke, mchepuko na danga lake.
Bodaboda anabeti, anabando kuangalia mpira online na kuvaa vitu vya thamani.

Bodaboda anafanya kazi siku 30 * 15,000= 450,000/=
bodaboda halipi kodi yeyote na tin yake ni ya kuchululia leseni tu.
Hana PAYE,WCF<NSSF,FIRE,Bima wala nini.
Waambie walipe kodi zote alafu watajua mamuzi ya kuwekewa mafuta ya buku tano na kuimba sijui nani anaupiha mwingi kama watarudia.


Mimi nina kijana anauza duka jirani ni Pharamcy analipwa 150,000/- kwa mwezi na analipa kodi zote, analea familia, ana mke na anauguza mkwe wake.
Kupanga ni kuchagua.
Inategemea location
 
Back
Top Bottom