Si kweli. bodaboda kwa siku nafunga zaidi ya 15,000 /- na hapo tajiri anapewa 10,000/-
Bodaboda ana mke, mchepuko na danga lake.
Bodaboda anabeti, anabando kuangalia mpira online na kuvaa vitu vya thamani.
Bodaboda anafanya kazi siku 30 * 15,000= 450,000/=
bodaboda halipi kodi yeyote na tin yake ni ya kuchululia leseni tu.
Hana PAYE,WCF<NSSF,FIRE,Bima wala nini.
Waambie walipe kodi zote alafu watajua mamuzi ya kuwekewa mafuta ya buku tano na kuimba sijui nani anaupiha mwingi kama watarudia.
Mimi nina kijana anauza duka jirani ni Pharamcy analipwa 150,000/- kwa mwezi na analipa kodi zote, analea familia, ana mke na anauguza mkwe wake.
Kupanga ni kuchagua.