Muda wowote ni wa kulala, unafikiri rubani anaeyatakiwa awafikishe watu Marekani kutoka Africa kuhudhuria kikao cha biashara atalala huko angani usiku??
Uwa tunafosi kufanya kazi usiku huo ndo ukweli.ila usiku ni kwa ajili ya kupumzika.sema shida tu ndo zinafanya muache kulala.mimi naingia saa 2 asubuhi natoka saa 11 narudi kwangu kupika na kula nalala