Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mzee wa kilingeni akisema jambo kwenye sector yake, Uzi unatakiwa kufungwaHakuna kitu kibaya duniani kama ugomvi wa kifamilia ama kati ya ndugu.. Lakini sometimes kinga za kiroho zinapokuwa chini bila hata ushirikina hakuna rangi utaacha kuona
Jumbe kwa sehemu kubwa kauliwa na hofu, hofu ya kurogwa na ndugu, hofu ya kurogwa na wasiompenda nknk.. Hiyo dhana ikishakuingia hata ukipaliwa utadhani umerogwa
Hazitoshi kusema yote.Ndizo tulizosikia
Ukitaka uthibitisho kwa hii Sayansi iliyofungwa, haitowezekana. Ni mpaka utakaporuhusu Fikra za uwezekano wa uwepo wa Sayansi beyond the bookish science.Thibitisha.
Biology ? Nimesema wewe tumboni mwa mama yako chakula chako cha pekee kilikua ni damu ya mama yako, ulikua unakula damu unashiba damu via placenta,Biology ya wapi hio umefundishwa kwamba mtoto anaishi kwa Kula Damu?
Chanzo ilikua ni mgogoro na wenzake wa band aliokua anafanya nao kazi kabla ya kuanzishwa kwa band yake ya Talent Band anaturudisha nyuma tangu enzi za uhai wa Mzee Komba na TX Moshi akieleza Visa tofauti tofauti alivyovipitia kwenye masuala ya band, kwa Imani yake aliamini wale waliomzunguka ukiondoa mke na watoto wake walikua hawataki yeye apate mafanikio pamoja na kwamba alikua na kipaji Cha sauti, na alikua akisema pamoja na kwamba ana kipaji kikubwa Cha sauti, utunzi na uimbaji Ila hana mafanikio kiivyo ukilinganisha na wasanii wa sasa hawa wa kizazi kipya maana siku anahojiwa redioni aliulizwa maswali mengi na wachangiaji walikua wengi na alijibu maswali mengi pia, Ila hicho ndio alichokiamini marehemu Hussein JumbeHakuna kitu kibaya duniani kama ugomvi wa kifamilia ama kati ya ndugu.. Lakini sometimes kinga za kiroho zinapokuwa chini bila hata ushirikina hakuna rangi utaacha kuona
Jumbe kwa sehemu kubwa kauliwa na hofu, hofu ya kurogwa na ndugu, hofu ya kurogwa na wasiompenda nknk.. Hiyo dhana ikishakuingia hata ukipaliwa utadhani umerogwa
Unapo define neno uchawi, usitumie neno uchawi, kwa sababu neno uchawi ndilo linakuwa defined, ukilirudia neno uchawi katika definition ya uchawi una short circuit definition yako.Kwani wewe unajua uchawi ni nini? Maana yaweza ikawa kuna mbishano mwingi humu Ila kumbe kila mmoja ana maana yake ya neno uchawi, mfano kuna maneno ya mtaani (rahaja na misimu) utasikia anasema 'mchawi Pesa' au mwingine anasema 'mchawi Ndugu', Sasa wewe km wewe unajua nini maana ya uchawi ?
Ushirikina - Imani, mazoea, au ibada isiyo na mantiki inayodumishwa na ujinga wa sheria za asili au kwa imani katika uchawi.
Uchawi - Uchawi kwa kawaida humaanisha matumizi ya nguvu za uchawi au zisizo za kawaida kuwadhuru wengine.
Uchawi - Kijadi, zoezi au wito wa madai ya nguvu zisizo za kawaida kudhibiti watu au matukio.
Uchawi - Sanaa au mazoea ya kutumia hirizi, maneno/matamshi, au matambiko ili kujaribu kuzalisha athari zisizo za kawaida au kudhibiti matukio katika asili.
Uchawi - Kugawanywa kwa msaada, au msaada unaodhaniwa, wa pepo wabaya, au nguvu ya kuamrisha pepo wabaya.
Tutajua vipi haya maneno yako ni ukweli na si hadithi za kujidanganya tu?Ukitaka uthibitisho kwa hii Sayansi iliyofungwa, haitowezekana. Ni mpaka utakaporuhusu Fikra za uwezekano wa uwepo wa Sayansi beyond the bookish science.
Na ukipata ushahidi wa uwepo wake basi tambua kuwa hicho ndicho tunacholazimishwa kukiita Uchawi na kwamba ni kiovu.
Nimesema uzipe Fikra zako kwanza kuwa hujui kuhusu hili, ili kutoa uwezekano wa kuwa kweli ama laa. Ukishajifungia mahali kuwa hili ni uongo na haliwezekani, linageuka kuwa Imani kwako na kimsingi hatuwezi kuhangaika nayo imani yako, maana haina ukomo.Tutajua vipi haya maneno yako ni ukweli na si hadithi za kujidanganya tu?
Na nyimbo zake 95% zilikuwa za kulalamika kuonewa...Hakuna kitu kibaya duniani kama ugomvi wa kifamilia ama kati ya ndugu.. Lakini sometimes kinga za kiroho zinapokuwa chini bila hata ushirikina hakuna rangi utaacha kuona
Jumbe kwa sehemu kubwa kauliwa na hofu, hofu ya kurogwa na ndugu, hofu ya kurogwa na wasiompenda nknk.. Hiyo dhana ikishakuingia hata ukipaliwa utadhani umerogwa
Siyo nyingi ni jamii zote, ukisoma history kabla ya kuletewa dini na waarabu na wamisionari wazee wetu mpaka machifu waliheshimika na kuogopeka kwa mambo ya kishirikina...Jamii za Kitanzania nyingi kama sio zote zinafanya uchawi ila tunapenda sana kujibaraguza kujifanya hatuamini uchawi!
Mkuu hao hao wanaokataa hakuna uchawi ndio wachawi wenyeweJamii za Kitanzania nyingi kama sio zote zinafanya uchawi ila tunapenda sana kujibaraguza kujifanya hatuamini uchawi!
Bado hujajibu swali langu, maana na wewe pia unatakiwa uishi kwa kanuni yako uliyonipa.Nimesema uzipe Fikra zako kwanza kuwa hujui kuhusu hili, ili kutoa uwezekano wa kuwa kweli ama laa. Ukishajifungia mahali kuwa hili ni uongo na haliwezekani, linageuka kuwa Imani kwako na kimsingi hatuwezi kuhangaika nayo imani yako, maana haina ukomo.
Pemba piaMtu wa pwani yoyote haingii kazini bila kujipaka sijui madude gani, ukikaa naye karibu harufu inakera lakini kwao bila hayo haingii kazini. Awe amesoma hata P.H.D awe anasali masaa yote lakini manukato hayo yapatikanayo kwa ma sangoma lazima ajipake
Hiyo yote ni pwani tamaduni nimemaanisha Zanzibar yote, Yanga, Dar, mtwara na lindi, PwaniPemba pia
Tanga inahusikajeNikipitia maisha ya Hussein Jumbe, naona kama hakuwa na furaha, japo alikuwa anatumia muda mwingi katika kumbi za burudani zilizotarajiwa au zinazosemwa ni sehemu za furaha.
Moyo wake ulijaa mambo mazito, mzigo mzito, malalamiko, na kilio kwa Mungu. Alikuwa akionewa bila hatia. Hata uso wake haukuwa na Nuru ya furaha.
Mara kadhaa alilalamika kwamba Kuna vitendo vya kishirikina vilikuwa vinafanywa kwake. Aliugua sana, kipindi kile mpaka akatunga wimbo "nachechemea". Chanzo Cha kuugua, aliota nyoka anataka kumdhuru au amemdhuru, baada ya siku kadhaa, yule nyoka akaonekana chumbani kwake katika suruali, nyoka akauliwa na wanamtaa, hapo ndipo aliugua karibu kifo.
Baadae akajikuta tu anavunjika mfupa wa mguu, bila kujikwaa chochote. Hapo napo aliota ndoto ya ajabu, mara hiki na kile, anaamka asubuhi anaenda kusali, anarudi, mguu ukapata shida.
Stori ya huyu ndugu inanifanya niendelee kuiogopa Tanga. Na pia inanifanya nione jamii ya kiafrika Ina ushenzi fulani, kwa baadhi yetu.
Pumzika kwa amani Hussein Jumbe.
N.B: katika mahojiano fulani anaonekana kumsema kaka yake kwamba alikuwa anamzushia kuugua ngoma, kama kuzuia watu wasimsaidie, akapima akawa safi. Lakini bado anaumwa!!!!!
Medi Mpakanjia akampeleka Mombasa, akakutana na fundi, ndio akaponea huko, ila mchawi wake hakuchoka, aliendelea kumpa vitimbi. Bila shaka Sasa roho ya huyo mwanga itakuwa imetulia na atachinja kuku baada ya kusikia habari za kifo.
Sasa jamani mziki wa bendi posho kiduchu, ndio kumpiga mtu misumari hivyo?
Tatizo letu baadhi yetu hasa waisilamu mtu afanya mziki uchawi ulevi jamari anakula na kutoa riba uzinzi ushoga ubasha akiambiwa haya matendo mabaya ya ibirisi hayafai anachukia kibaya zaidi baadhi yao kutwa wako misikitini kwani mtu usichague 1 tu kuyahepuka kisha akaenda msikitini au kuyaendeleza ukahachana na habari za msikitini?hili tatizoNikipitia maisha ya Hussein Jumbe, naona kama hakuwa na furaha, japo alikuwa anatumia muda mwingi katika kumbi za burudani zilizotarajiwa au zinazosemwa ni sehemu za furaha.