jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Sasa hapa Dr Matola PhD, ndiyo umejibu nini!?Kwani hayo majini si yanaswali nayo au hujui?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapa Dr Matola PhD, ndiyo umejibu nini!?Kwani hayo majini si yanaswali nayo au hujui?
Hapana unaweza kurogwa wewe ukiwa Uingereza na Mrogaji akiwa Kigoma.Kwa taratibu za kichawi ni rahisi kulogeka endapo mchawi ataweza kukufikia kwenye mwili wako, nguo au msosi. Inawezekana kuna watu wengi nje nao wanakuloga ila wanafeli kwasababu uchawi wireless ni ngumu sana ku-connect
Huwa natamani Kiranga siku Moja aje aiubili injili ya Yesu kristo kua ni Bwana na mwokozi wa maisha yetu....Hakuna uchawi. Ni watu tu wanaendekeza imani za uchawi.
Kwa hiyo wwe ulitaka aondoke nayo!!?Kafa kaacha bendi yake ya talent band
Kwa tafsiri yako hii, inamaana Binaadamu wote ni wachawi!!?Huamini katika kuzaliwa ? Haujatoka kwenye tupu ya mwanamke wewe ? Hujawahi kuishi gizani peke yako miezi 9 tumboni mwa mama yako ukila damu tu, hufanyi kazi, huogi, hutembei, wewe kazi yako kula damu tu, hujawahi ? Huo pia ni moja ya uchawi (inafikirisha sana), au ulikua haujui ?
Utasema biology, nimekwambia kithibitisho Cha kwanza ni wewe kuachishwa kutoka kua mla damu (mtoto tumboni) kwenda kua mnyonya maziwa ambayo pia ni damu, usichokijua wewe ulikua unaishi gizani peke yako chakula chako kikuu kilikua ni damu ya binadamu (mama yako), ukaja kuzaliwa kutoka pangoni (tumboni) mwenye Giza mpaka unaletwa duniani kwenye Nuru kisha unatenganishwa na msosi wako pendwa wa damu kwa kukatwa kitovu (wewe ulikua mla damu ya binadamu) umekua ukila damu ya mama yako miezi 9 ukiwa tumboni damu ndio kilikua chakula chako cha pekee, huo ni uchawi (inafikirisha sana) that's Magic acha kua mbishi,
Inawezekana ndiyo ila waganga wanaoweza hivyo ni wachache.Hapana unaweza kurogwa wewe ukiwa Uingereza na Mrogaji akiwa Kigoma.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
asubuhi sihisi chochote Mkuu, sure inabidi nianze maombi maana huwa nalala tu bila kuomba
Mkuu unayoongea ni sahihi ila dont underestimate hoja za mleta mada, Uchawi upooo na mambo yA halucination yapoWatz wengi wanachanganya magonjwa hasa UKIMWI na uchawi au ulozi. Mathalani hapo kwa Jumbe atakuwa alipata hallucinations ( kuona maluweluwe) aidha kutokana na dawa ( Efavirenz-waliowahi kutumia PEP ni mashahidi) au ugonjwa wenyewe km ulimletea HIV encephalitis ( infection ya bacteria au fangasi kwenye ubongo wa mbele).
Tatizo ninaloliona ni Watz wengi wakipata UKIMWI kusingizia kulogwa na majini, vitu ambavyo havipo. Kuhusu kuvunjika bila kupigwa ni kweli mtu anaweza kuvunjika bila kupata ajali( kitaalam inaitwa pathological fracture) na kuna sababu zake chungu nzima na wala sio ulozi. Watu wengi walioathirika na UKIMWI pia hupata magonjwa mbalimbali ya mifumo na mishipa ya fahamu hivyo sio ajabu kuhisi anaguswa, moto unawaka n.k ilhali sio kweli ( kitaalam inaitwa HIV polyneuropathy)
Tatizo letu kubwa ni kupenda majibu mepesi kwenye maswali magumu. Mtu akienda dispensary anapima Typhoid, mkojo na Malaria anakwambia kapima kila kitu hana shida hivyo basi amelogwa. Madaktari wetu na wao akishindwa kutambua tatizo la mgonjwa ( kakosa diagnosis ama kwa kutojua au incomptence yake) basi anamwambia mgonjwa ajaribu upande wa pili atakuwa kalogwa. Hapo aliyelogwa ni mgonjwa au Daktari?
Ni Kweli mkuu ila kwa uzoefu wako ushakutana na watu wangapi ambao wameshika dini kikamilifu??? Hapo ndo shida inapoanza.Tuache dhambi na tushike imani kikamilifu uchawi hautatupata, ila ukiwa michanganganyo basi utapata shida sana.
Aisee. Wachawi wapo, walikuwepo na watakuwapo. Hawa watu wanaumiza watu sana mtu asikuambie. Uamini usiamini hiyo haibadilishi kitu wao wapo tu. Jinsi ya kuwashinda ni kumwabudu Mungu wa kweli.Hakuna uchawi. Ni watu tu wanaendekeza imani za uchawi.
asante sana kwa ushauri Mkuu, ninaufanyia kaziInabidi uombe. Kama alikuchoma ina maana alifanikiwa, hata kama sio rafiki yako ila kuna mtu anakushambulia. Ungeona umekwepa ina maana hatafanikiwa katika mashambulizi yake. Omba sana mkuu, mpaka uote umeshinda hilo shambulizi.
😂sawa MkuuShukuru sana umepewa maombi bure,wenzako kule kwa Mwamposa au kule kwa Mzee wa Upako tunalipia alafu ndiyo tunaombewa!!
Hahahaha. Najua Mungu amemtetea. Juu ya sadaka, anaweza kutoa kwenye madhabahu yoyote iliyo sahihi au hata kuwapa maskini mkuu. Maana amhurumiaye maskini humkopesha BWANA. Mithali 19:17.Mkuu umesahau kuweka no ya kupokelea sadaka baada ya maombezi yako!!
Hapo hakuna uchawi,ni umaskini tu,kwenye umaskini na ufukara kila kitu ni uchawi,na mambo ya kiswahili tu,kama alikuwa hali vzr,Hana kipato Cha kutosha kuweza kupata huduma Bora za matibabu sio za muhimbili,huduma za kibingwa,angeweza kupona,Nikipitia maisha ya Hussein Jumbe, naona kama hakuwa na furaha, japo alikuwa anatumia muda mwingi katika kumbi za burudani zilizotarajiwa au zinazosemwa ni sehemu za furaha.
Moyo wake ulijaa mambo mazito, mzigo mzito, malalamiko, na kilio kwa Mungu. Alikuwa akionewa bila hatia. Hata uso wake haukuwa na Nuru ya furaha.
Mara kadhaa alilalamika kwamba Kuna vitendo vya kishirikina vilikuwa vinafanywa kwake. Aliugua sana, kipindi kile mpaka akatunga wimbo "nachechemea". Chanzo Cha kuugua, aliota nyoka anataka kumdhuru au amemdhuru, baada ya siku kadhaa, yule nyoka akaonekana chumbani kwake katika suruali, nyoka akauliwa na wanamtaa, hapo ndipo aliugua karibu kifo.
Baadae akajikuta tu anavunjika mfupa wa mguu, bila kujikwaa chochote. Hapo napo aliota ndoto ya ajabu, mara hiki na kile, anaamka asubuhi anaenda kusali, anarudi, mguu ukapata shida.
Stori ya huyu ndugu inanifanya niendelee kuiogopa Tanga. Na pia inanifanya nione jamii ya kiafrika Ina ushenzi fulani, kwa baadhi yetu.
Pumzika kwa amani Hussein Jumbe.
N.B: katika mahojiano fulani anaonekana kumsema kaka yake kwamba alikuwa anamzushia kuugua ngoma, kama kuzuia watu wasimsaidie, akapima akawa safi. Lakini bado anaumwa!!!!!
Medi Mpakanjia akampeleka Mombasa, akakutana na fundi, ndio akaponea huko, ila mchawi wake hakuchoka, aliendelea kumpa vitimbi. Bila shaka Sasa roho ya huyo mwanga itakuwa imetulia na atachinja kuku baada ya kusikia habari za kifo.
Sasa jamani mziki wa bendi posho kiduchu, ndio kumpiga mtu misumari hivyo?
Urogwe na agent wa shetani, halafu uende Kwa agent mwingine wa shetani Ili akupe ulinzi?Cha msingi kwanza elewa uchawi upo, ila achana nao Fanya yako.
Kuna stage ukiona mambo huyaelewi jiongeze.
Ukijifanya wewe ni mtu wa dini nakuhakikishia wapo wachungaji wanakwenda kwa waganga wa kienyeji, na upande wa masheikh ndio sina hata la kusema wao ndio mafundi wenyewe.
Yesu Si mwanafalsafa,Maisha bila kumjua Kiongozi wetu Yesu Kristo ni hasara tupu.
Mwanafalsafa Mwisraeli Yesu Kristo alifundisha kanuni bora kabisa za maisha.
Kanuni zinazomstawisha binadamu na kumlinda dhidi ya adui wa kimwili na Kiroho.
Bado hujachelewa soma kitabu c
Chake cha Habari Njema kwa jina lingine Injiri, kitakusaidia sana.