Maisha ya machimbo ya dhahabu ni zaidi ya jeshi, nilikimbia

Maisha ya machimbo ya dhahabu ni zaidi ya jeshi, nilikimbia

Apex the biggest tax payer wilaya ya Chunya wanachimba Itumbi. Achimwene wenye Mabasi ya achimwene wanachimba Itumbi. Mdimi ana shafts Itumbi. Hawa wamefanya uwekezaji wa nguvu.

Watu wengi including mleta Uzi hawajafanya uchimbaji bali ubangaizaji tu kama machinga hawapo hata level ya mchimbaji mdogo. Tatizo watu wanajazana ujinga kwamba wataenda migodini na sululu na jembe watoboe, that will never happen. Watarudi kwao wamechakaa ndugu zao wawasahau.
Mdimi namjua sana huyu jamaa, kwanza miaka ya nyuma pale centre alikuwa ana mabasi yake makali alikuwa anapiga trip za Chunya to Mbeya.

Huyu jamaa ndio alikuja kumiliki Crem ya Alialuu baada ya wachina kumaliza mission yao.

Amefanya investment ya maana sana kwenye madini, mwanzoni alionekana mtu wa kawaida aliyezidiwa na Mwembe lakini kaja na kasi ya ajabu sana.

Naskia amekuja na mtambo mpya wa kuchenjua zile cynet kutoka Plant. Mdimi ana hela kwanza zile gari za pale kituo cha polisi mara nyingi yeye ndio anazifanyia service tena sio kwa kuombwa.
 
mulemule mwanangu ,hilo life ulilo liacha 2007 lipo mpaka leo ,mm nimetoka majuzi juzi tu itumbi,matundas, mkwajuni ,saza kwenye maduara,plant na karashani yote ni kanda hio hio ya chunya mpaka mkoa wa sngwe.

mm naongezea niliyo yaona vibarua hudhulumiwa na maboss zao, mauaji ya kiholela na uharifu, starehe na ngono za kupindukia.

the same to me nilipata msaala nikalala mahabusu wiki mbili mkwajuni, ndugu wakaja wakanitoa kutokana na ishu ya kuuza dhahabu feki(kakumba)

vijana tunakata kona ambazo hazikati kutafuta ridhiki,japo sijatusua naimani jah atablesi tu
Itumbiii starehe ndiyo maisha Yao nilikimbia saza kote napajua

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Machimboni sio kabisa aisee bora ukae town uwe dalali.

Imagine sehemu ya kutafutia riziki ambayo 80% ya wajuba wanaamini ramani za waganga, 80% ya raia hawana connection na dunia civilized maana yake hamna mwenye address wala ID yoyote, 80% wanajisaidia porini na ni hadi ale ugolo vinginevyo ngoma haitoki na hii husababishwa na kuishi kwa mandazi ya azam na energy drink za mo.

Watu hawaendi kwao hata miaka 10 ni mwendo wa kuhama mgodi hadi mgodi. Unaenda na mamilioni ya hela kwa namna biashara isivoeleweka unarudi na begi chakavu lenye nguo chakavu.

Kuna dingi aliingizwa king na madalali akaingia mgodini mazima bila kushirikisha kichwa katika tani 540 ya material aliondoka na gram 49, aisee almanusura ampige nyundo meneja wa Elution plant.

Hii biashara tuwaachie wazungu kiukweli haieleweki kwa asilimia 90.

Wizi nao ni mkubwa sana.
 
Mkuu, I agree. Ndo maana nasema uchimbaji unahitaji investment ya nguvu sio ubangaizaji ambao wengi wamekua wakiongelea hapa jukwani. Kina Achimwene wamepata pesa na wamejua kuiendeleza huko huko migodini that speaks volume. Mabasi yao wamenunua mwaka huu huu baada ya mdogi kutema. Mbona hawajakimbia machimbo kama hakulipi?

Wale wachina wa Saza nilisikia wameondoka ila sina uhakika, kuna wachina wengine Mdimi alinunua claim yao na kavuta umeme kwa 800M TSH. Wachina wajinga wajinga tu.
Uchimbaji unahitaki mtaji mkubwa ndio utaona madini,wachimbaji wadogo watapata kidogo sana ...kwenye machimbo mengi madogo huishia kutumia mtaji mkubwa ila faida ni kiduchu,nimeona geita,mahenge mererani
 
Leo nimepokea taarifa ya kifo cha ndugu yangu akiwa machimboni huko Mkwajuni.

Sababu ya kifo bado haijaelezwa ila taarifa ya mwanzo tuliyopokea tulibiwa kulitokea ajali.
Mzee baba huko machimboni mkwajuni, makongolosi, sangambi, itumbi, mererani, saza sio poa kabisaa,

Huwa naenda sana ila life style ya wachimbaji au nyoka sio poa kabisaa, vifo njenje
 
Mzee baba huko machimboni mkwajuni, makongolosi, sangambi, itumbi, mererani, saza sio poa kabisaa,

Huwa naenda sana ila life style ya wachimbaji au nyoka sio poa kabisaa, vifo njenje
Maeneo ya mile 5 kama unaelekea kambi katoto ama kuitafuta Tabora kuna koboko wengi mno.

Moja ya kitu ambacho kinaniboa na kunikosesha raha nikiwa porini ni hofu ya nyoka.
 
So illogical. Mtoto inabidi aendelee mzazi alipoishia na mzazi ana wajibu wa kufanya maisha ya mwanae marahisi sio kumrudisha nyuma makusudi kwa kigezo cha kujifunza, hakuna tuzo ya kupitia maisha magumu zaidi ya kukuharibu tu. I hope wewe hautakua na mawazo ya kijima ya kumfukuza mwanao.
Wazazi wengi wa Tanzania hawalielewi hili wakiwa hai, labda wakiwa huko kuzimu wanakumbuka
 
Mdimi namjua sana huyu jamaa, kwanza miaka ya nyuma pale centre alikuwa ana mabasi yake makali alikuwa anapiga trip za Chunya to Mbeya.

Huyu jamaa ndio alikuja kumiliki Crem ya Alialuu baada ya wachina kumaliza mission yao.

Amefanya investment ya maana sana kwenye madini, mwanzoni alionekana mtu wa kawaida aliyezidiwa na Mwembe lakini kaja na kasi ya ajabu sana.

Naskia amekuja na mtambo mpya wa kuchenjua zile cynet kutoka Plant. Mdimi ana hela kwanza zile gari za pale kituo cha polisi mara nyingi yeye ndio anazifanyia service tena sio kwa kuombwa.

Yes, Mkuu. Kule kwa wachina kavuta umeme mwenyewe for almost 1 Billion TSH, msikilize hapa chini:

Wazazi wengi wa Tanzania hawalielewi hili wakiwa hai, labda wakiwa huko kuzimu wanakumbuka

They ought to learn from Indians. Wahindi wanawahusisha watoto wao kwenye biashara zote from the very young age sio kufukuza mtoto nyumbani anaondoka hajui dingi unafanya mishe gani. Mambo mengine ya kijinga sana.
 
Familia za Kitanzania zinataka kila mtu aanzie ground

Kamwe hutaona ngozi nyeusi ina ukwasi ka Manji, MO, GSM, Azam, Sayona etc.

Sisi sana sana mtu akifanikiwa ni kuwa Mwanasiasa ambapo huwezi rithisha
 
Exactly. Tena I'll add to that Kuna wengine wanajazana kwamba ukinunua Karasha (crusher) tu umemaliza kazi utasagia mawe wengine utapata hela. That's a big fat lie. Hata Uwe na Karasha na jaw crusher bado kabisa. Inabidi uwekeze kwenye vifaa na maarifa yani vinaenda sambamba.

Kadhalika asikujaze mtu kwamba utaenda Leo upate hela next month ni uongo mkavu. Utasota ila inalipa na inalipa big time sio hela za mbuzi sijui 20M au 50M. Ukiingia vizuri huwezi acha Wengine tunaona kazi zingine ni kupoteza muda tu sijui kilimo unalima mwaka mzima ili upate 20M tena kama huo mwaka mzuri na serikali haijawaingilia sokoni. Dhahabu Bei inatoka soko la Dunia.
Mwanzo mgumu, ishu inatakiwa kufanya vitu in sequence, unaanza kidogo ukipata fedha unadevelop ulichoanza,mataita wa chunya walianza uchimbaji miaka ya 90, 33yrs back wanahaki leo kuwa na navyo hivyo vitu na hata uwekezaji huo ni sahihi ila kwa wanaoanza suluru, jembe kwao ni sahihi cha msingi wakipata wajitanue kidogo kidogo hivyo hivyo
 
Maeneo ya mile 5 kama unaelekea kambi katoto ama kuitafuta kuna koboko wengi mno.

Moja ya kitu ambacho kinaniboa na kunikosesha raha nikiwa porini ni hofu ya nyoka.
Mbona story zenu zimeegamia kwenye kutisha tu no hope kabisa unataka kusema sehemu za madini hakuna vitu vizuri vya kujivunia?
 
Leo nimepokea taarifa ya kifo cha ndugu yangu akiwa machimboni huko Mkwajuni.

Sababu ya kifo bado haijaelezwa ila taarifa ya mwanzo tuliyopokea tulibiwa kulitokea ajali.
Kuna kuumwa, kupata ajari na kufa ni kawaida tu kwahiyo huyo hata angekuwa dar anauza nguo angekufa tu msikuze vitu hapa, unataka kusema kafa kisa yupo machimhon? Kila hatua ni risk mkuu
 
Back
Top Bottom