Maisha ya machimbo ya dhahabu ni zaidi ya jeshi, nilikimbia

Mdimi namjua sana huyu jamaa, kwanza miaka ya nyuma pale centre alikuwa ana mabasi yake makali alikuwa anapiga trip za Chunya to Mbeya.

Huyu jamaa ndio alikuja kumiliki Crem ya Alialuu baada ya wachina kumaliza mission yao.

Amefanya investment ya maana sana kwenye madini, mwanzoni alionekana mtu wa kawaida aliyezidiwa na Mwembe lakini kaja na kasi ya ajabu sana.

Naskia amekuja na mtambo mpya wa kuchenjua zile cynet kutoka Plant. Mdimi ana hela kwanza zile gari za pale kituo cha polisi mara nyingi yeye ndio anazifanyia service tena sio kwa kuombwa.
 
Itumbiii starehe ndiyo maisha Yao nilikimbia saza kote napajua

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Wizi nao ni mkubwa sana.
 
Uchimbaji unahitaki mtaji mkubwa ndio utaona madini,wachimbaji wadogo watapata kidogo sana ...kwenye machimbo mengi madogo huishia kutumia mtaji mkubwa ila faida ni kiduchu,nimeona geita,mahenge mererani
 
Leo nimepokea taarifa ya kifo cha ndugu yangu akiwa machimboni huko Mkwajuni.

Sababu ya kifo bado haijaelezwa ila taarifa ya mwanzo tuliyopokea tulibiwa kulitokea ajali.
Mzee baba huko machimboni mkwajuni, makongolosi, sangambi, itumbi, mererani, saza sio poa kabisaa,

Huwa naenda sana ila life style ya wachimbaji au nyoka sio poa kabisaa, vifo njenje
 
Mzee baba huko machimboni mkwajuni, makongolosi, sangambi, itumbi, mererani, saza sio poa kabisaa,

Huwa naenda sana ila life style ya wachimbaji au nyoka sio poa kabisaa, vifo njenje
Maeneo ya mile 5 kama unaelekea kambi katoto ama kuitafuta Tabora kuna koboko wengi mno.

Moja ya kitu ambacho kinaniboa na kunikosesha raha nikiwa porini ni hofu ya nyoka.
 
Wazazi wengi wa Tanzania hawalielewi hili wakiwa hai, labda wakiwa huko kuzimu wanakumbuka
 
Yes, Mkuu. Kule kwa wachina kavuta umeme mwenyewe for almost 1 Billion TSH, msikilize hapa chini:

Wazazi wengi wa Tanzania hawalielewi hili wakiwa hai, labda wakiwa huko kuzimu wanakumbuka

They ought to learn from Indians. Wahindi wanawahusisha watoto wao kwenye biashara zote from the very young age sio kufukuza mtoto nyumbani anaondoka hajui dingi unafanya mishe gani. Mambo mengine ya kijinga sana.
 
Familia za Kitanzania zinataka kila mtu aanzie ground

Kamwe hutaona ngozi nyeusi ina ukwasi ka Manji, MO, GSM, Azam, Sayona etc.

Sisi sana sana mtu akifanikiwa ni kuwa Mwanasiasa ambapo huwezi rithisha
 
Mwanzo mgumu, ishu inatakiwa kufanya vitu in sequence, unaanza kidogo ukipata fedha unadevelop ulichoanza,mataita wa chunya walianza uchimbaji miaka ya 90, 33yrs back wanahaki leo kuwa na navyo hivyo vitu na hata uwekezaji huo ni sahihi ila kwa wanaoanza suluru, jembe kwao ni sahihi cha msingi wakipata wajitanue kidogo kidogo hivyo hivyo
 
Maeneo ya mile 5 kama unaelekea kambi katoto ama kuitafuta kuna koboko wengi mno.

Moja ya kitu ambacho kinaniboa na kunikosesha raha nikiwa porini ni hofu ya nyoka.
Mbona story zenu zimeegamia kwenye kutisha tu no hope kabisa unataka kusema sehemu za madini hakuna vitu vizuri vya kujivunia?
 
Leo nimepokea taarifa ya kifo cha ndugu yangu akiwa machimboni huko Mkwajuni.

Sababu ya kifo bado haijaelezwa ila taarifa ya mwanzo tuliyopokea tulibiwa kulitokea ajali.
Kuna kuumwa, kupata ajari na kufa ni kawaida tu kwahiyo huyo hata angekuwa dar anauza nguo angekufa tu msikuze vitu hapa, unataka kusema kafa kisa yupo machimhon? Kila hatua ni risk mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…