Maisha ya machimbo ya dhahabu ni zaidi ya jeshi, nilikimbia

Oyaa mwanangu Mpwayungu Village
Acha kuleta story za vijiwe vya bodaboda

Utembee misitu ya kongo unaijua wewe

Yani story umesimuliwa
Na aliekusimilia alisimuliwa
Na alisimuliwa na kak yake
 
Duuh hawa hawakuuana kwelii..
 
Sawa kama unaweza ukawa na ujasiri huo basi Chunya panakufaa.
 
Wewe naona umeamua kutuletea habari za SISU 😂
 
Billionaire gani huyu analalia tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]pesa ambayo hata Fred vunjabei anaipiga ndani ya mwaka mmoja tu, kweli pesa Zipo mjini tu
Kuna watu wanapesa mbaya hapa hapa Tz nadhani nikisema hivyo unaelewa but they always keep their profile low mkuu. Nenda Chunya wapo huko na hawataki kujulikana hata kidogo😆
 
Mpwayungu Village sio wa kumchukulia seriously analeta story za vijiweni hapa. Ndo huyu huyu kasema 8B ya Mdimi ndogo analeta story zake za kusadikika.

View attachment 2673591
Nyie mnasema ni Tajiri wa madini namm ninavyojua matajiri wa madini hiyo pesa ni ndogo sana hata kukopa hatakopa maana wanaingiza Kwa wiki tu, nenda katoro kaone watoto waliozaliwa 1992 wanachukua mzigo wa kilo tano mpaka kumi wa dhahabu kila siku nahawalingi
 
Unakadiri uwekezaji wa size ya kati kua kiasi gani mkuu?

Mkuu, siwezi kukupa a definite number ila inabidi ujipange maana hakika kuna changamoto si mchezo usiingie kinyonge kama hawa wadundulizaji uchwara wanaojiita wachimbaji. Unakuta hata kabla hujaanza uzalishaji vifaa vinaungua na kuharibika kila siku utatamani upige ukunga. Moreover, inabidi uwekeze sana and I insist sana kupata maarifa na utaalam. Nenda kaongee na wachimbaji wakati kama hao kina Mdimi, Achimwene, Isaya nk uzuri wengi wao wanatoa maarifa bure kabisa bila hiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…